uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo. Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ifike muda Mwenge wa Uhuru uhifadhiwe Makumbusho ili kupambana na COVID-19

    Leo ulikuwa maeneo ya Chalinze. Tumesimama tangu asubuhi hadi muda huu gari haziendi kisa Mwenge! Wanafunzi wamekatishwa masomo yao wapo wamejipanga mistari hapo kushuhudia Mwenge! Tunaanzaje kupona na hii Corona? Wagonjwa wangapi wameathirika kutokana na kucheleweshwa na misafara ya Mwenge...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

    Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama. Mama shituka mapema you will thank me later. PIA, SOMA: - Gazeti la...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

    Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini. Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
  5. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kesi dhidi ya Mwalimu Nyerere kabla ya Uhuru (wakati wa ukoloni).

    Mwishoni mwa miaka ya 50 Mwalimu Nyerere alishitakiwa na wakoloni na akafikishwa mahakamani, siku za kusikilizwa kesi watanganyika walijaa nje ya mahakama kushuhudia tukio hilo muhimu la kiongozi wao kusurubiwa na mkoloni. Enzi hizo jeshi la polisi lilikuwa chini ya malkia wa uingereza na...
  6. JamiiForums Tanzania Harakati za kudai uhuru wa Tanganyika

  7. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru nini maana yake?

    Mungu alipo iumba dinia na kuwakabidhi Adam na Hawa Mali zote ktk dunia hii ili kuzitunza na kuzitawala. Najambo kubwa zaidi aliwapa Uhuru wa kuchagua jema au baya. Sasa kama Mungu muumbaji alitoa Uhuru wa kuchagua mini ufanye ktk dunia hii inakuaje serikali ya CCM inalazimisha tuikubali ktk...
  8. JamiiForums Tanzania Swali kwa Dkt. Hosea: Rais Samia hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika?

    Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara. Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi tumekuwa tukiingilia Uhuru wa Mahakama, tubadilike

    Kumekuwa na tabia kwa wananchi kusema katika mihimili ya serikali, kuna muhimili mmoja huwa unaingilia mamlaka za mihimili nyingine. Mihimili inayotambulika hadi sasa ni Serikali Kuu(Executive), Bunge na Mahakama. Lakini kwa kiasi kikubwa wananchi wamekuwa wakiingilia uhuru wa mahakama mara kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Lini tutafika kama Taifa?

    Mwaka 1961, taifa letu pendwa la Tanganyika lilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza na kuamua kuanza safari yake ya kujitegemea katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa. Ilipofika mwaka 1964 Taifa liliamua kuungana na taifa lingine lililokuwa huru la Zanzibar na kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu PANOPTICONISM na jinsi inavyoweza kusigina haki na uhuru wa raia

    Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu PANOPTICONISM na jinsi inavyoweza kusigina haki na uhuru wa raia

    Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru: Kwanini Katiba Mpya?

    Habari Tanzania! Naomba kuuliza wapenda nchi eti kwa muda wote huo wa umri wa nchi miaka 60 ndio tutake KATIBA MPYA? Kwanini kwa miaka yote 60 eti ninyi mnawaza maendeleo tu yasiyo kikomo au kuakisi mahitaji? Kwanini hawa wapenda siasa na waishio ndani yao wanapenda kuaminisha UMMA yakuwa...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna fikra bora na uhuru wa kusema vitavyochochea mapinduzi ya kiuchumi kwa jamii ya Watanzania

    Mada yangu itajikita zaidi kuonesha namna uhuru wa fikra na kusema unaweza kuwa ni chachu ya kuleta mapinduzi ya maendeleo ya kiuchumi kwa jamii, hususani ya watanzania. Hivo, natoa pia fursa kwa mada nyingine katika uwanda huu wa ‘uhuru wa fikra na kusema’ na namna zinavoweza kuleta mapinduzi...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru did not ink Sh16bn JKIA rail contract in Paris

    Safi sana!👍 Kibinafsi I didnt see the viability of this project anymore when expressway was initiated and is on steroids right now, running concurrently na rail! How was it going to get value for money in the near term basis? Wacha French waendelee na Mau Summit - Nakuru Highway, makes more...
  16. JamiiForums Tanzania Uhuru wa fikra na sanamu za shaba

    Mungu ibariki Afrika. Heshima kwenu ndugu zangu katika Jamii forum, washiriki katika Jamii forum page Facebook, Telegram na search engine zote zenye unapata kuunganishwa na nyuzi zote makini kutoka JF. Kwanza kabisa napenda kuupongeza uongozi wa JF kwa kuleta mabadiliko na elimu pana...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna bara lenye uhuru kama Afrika

    Africa kiukweli kuna Uhuru sana wa kufanya shughuli nyingi za kujipatia rizki ,ukilinganisha na mabara ya ulaya na Asia ,mfano hapa bongo ukitaka kufanya biashara yoyote unafanya hakuna vipingamizi vingi ,yaan ,hakuna ufuatiliaji sana. Mfano kuna jamaa yangu ni gold prospectus hana leseni...
  18. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

    Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii. Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru to vaccine sceptics: Some education about it is crucial

    President Kenyatta has now declared that no Kenyan will be forced to take the COVID-19 vaccination, which will be provided free of charge to all adults by the government. The Head of State who announced a slew of revised containment measures on Tuesday was addressing what he claimed were...
  20. JamiiForums Tanzania Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama

    Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo. Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama. Ili uweze kufikia uhuru wa kifedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…