uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Picha: Miaka 60 ya uhuru viongozi wa CCM wakikagua shule iliyojengwa kwa nyasi mkoani Morogoro

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjU
  2. JamiiForums Tanzania Shaka: Ikitokea kuna dalili za Uhuru wetu kutaka kuwekwa rehani na sisi tukakaa kimya tusishangae makaburi ya wasisi wetu yatakapotetemeka

    == "Kazi ya kulinda tunu ya uhuru na Mapinduzi matukufu ya Zanzibar ni jukumu la kufa na kupona kwa kila mzalendo kwani fatiki ya kupigania uhuru imepoteza maisha na mali za watu, nguvu na jasho jingi" Shaka Mwenezi Taifa "Urithi wa Uhuru unapaswa kuthaminiwa na watanzania wote ambao ni...
  3. JamiiForums Tanzania Tusisherehekee Uhuru kwa kurusha tu ndege za kivita na kuvunja matofali

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la Bwana wa Majeshi. Wote tunajua jinsi uhuru wa Tanganyika ulivyopatikana. Kwa kifupi ulipatikana kwa njia za majadiliano na diplomasia. Ningependa sana kuona kila tunapokaa kusherehekea uhuru wetu, tukumbushane jinsi gani majadiliano, ustaarabu na diplomasia...
  4. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba sakata la OIC na IAO 1993

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: SALIM AHMED SALIM NA JOSEPH WARIOBA SAKATA LA OIC NA IAO 1993 Picha hiyo ya Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba niliwapiga mwaka wa 2017 nyumbani kwa Kleist Sykes, Kawe Beach siku ya mazishi yake baada ya kuwaomba ruhusa. Leo katika kupita Maktaba...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika: John Rupia katika kamati ya mapendekezo ya katiba ya Tanganyika 1950

  6. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika 1961: tunamuenzi John Godfrey Rupia (1904 - 1978)

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: TUNAMUENZI JOHN GODFREY RUPIA (1904 - 1978) Wajukuu ni watamu kuliko wana uliozaa mwenyewe. Huwezi kujua ukweli wa maneno haya sharti upate mjukuu. Wajukuu na wao wana mapenzi na babu na bibi zao kushinda wanavyowapenda baba na mama zao. Nimemjua Joyce...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sheherekeeni Uhuru wenu Uwanja wa Uhuru na 'Makomandoo' wenu na Sisi CHADEMA tunasheherekea Makao Makuu Kwetu

    Na Sisi CHADEMA hatoishia tu Kusheherekea Siku hiyo ya Uhuru bali hata Kauli Mbiu yetu itakuwa ni Katiba Mpya kwa Tanzania tuitakayo. Halafu na nyie Watu fulani ambao huwa mnatumwa na mnapenda kuja Kutuvamia na hata Kutupiga taarifa iwafikieni kuwa wana CHADEMA wote Siku hiyo tumekubaliana...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

    Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta, Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru: kwa nini tumewasahau mashujaa wetu?

  10. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Bevin Tipha Msowoya mpiga picha nguli wa wakati wa kupigania Uhuru wa Tanganyika

    MIAKA 60 YA UHURU: BEVIN TIPHA MSOWOYA MPIGA PICHA NGULI WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana kupita kiasi. Niko online na binti mmoja namjua kwa jina la Charming Girl kaniona akaniuliza kama namjua Bevin Tipha Msowoya? Nikamwambia naam namjua Msowoya...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ni Ardhi ya Uhuru na Odinga

    Salaam Kenya haitakaa ipate Serikali ya kutawala. KANU itatawala milele. Forum for the Restoration of Democracy–Kenya (FORD–Kenya) is a Kenyan political party. It was part of the National ya Udinga Watakuwa Wapinzani Milele sababu ya Kinyata. Jeneza la Kinyatta lipo Bungeni, liondolewe pale...
  12. JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Taifa kutimiza miaka 60 ya uhuru wake, linahangaika kuwatafutia wananchi umeme na maji

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kama Taifa tunakwamia wapi? Hivi Tanzania ya leo, ndiyo ihangaike kuwatafutia wananchi wake umeme na maji, baada ya kujitawala toka kwa mkoloni miaka 60 iliyopita? Nchi iliyojaa rasilimali tele, kama vile mito inayotiririka maji mwaka mzima, maziwa matatu makubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wazulu wa Imhambane, Kwalikunyu - Msumbiji katika kupigania Uhuru wa Tanganyika

    WAZULU WA IMHAMBANE, MOZAMBIQUE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Kisa hiki nimekitoa hapa hapa barzani nikizungumza na ndugu yangu Abdulkarim. "Abdulkarim, jina hasa ni Saudtz Thomas Plantan. Baba yake ni Thomas Saudtz Plantan na alikuwa Mwalimu Mkuu wa Mchikichini Primary School na...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru bado kuna Mgao wa Maji

    Yaani miaka 60 ya uhuru nchi inaingia kwenye mgao wa maji!! Tena mgao maji yanapatikana siku moja kwa wiki Bado kuna watu wanajiona eti wao ndio wenye hati miliki ya kuongoza nchi hii. Siku hizi sasa wamechanganyikiwa na kuanza kuvuana nguo hadharani. Mmoja anaweka jiwe la msingi kujenga...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Wabunge tangu uhuru yanaakisi maendeleo?

    Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo? Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Pesa za Sherehe za Uhuru 9 Disemba, 2021 zisitishwe na Pesa zielekezwe katika Changamoto za Umeme na Maji nchini

    Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
  17. JamiiForums Tanzania Apple kuwapa watumiaji wake uhuru wa kutengeneza simu zao wenyewe

    Kwa muda mrefu Apple imekuwa ikizuia wateja wake wasijitengenezee simu, Macs au vifaa vya Apple; au kutumia mafundi ambao hawajasajiliwa na Apple. Hali hiyo ilipelekea Apple kufunga na kuzuia watu wasirekebishe simu kwa mafundi wa mitaani ambao sio authorized na Apple. Kutokana na baadhi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 60 ya uhuru tunakopa IMF kujenga Madarasa?

    Ni mshangao mkubwa TZ baada ya miaka 60 tunakopa tena kwa riba fedha za kujenga madarasa ya shule Za sekondari.? Kama Taifa tujiulize tumekosea wapi au tumelogwa na nani? Nilitarajia mikopo iombwe kwa ajili ya miradi mikubwa mfano SGR . Next year kuna uwezekano kuomba tena mkopo kutoka WB...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kusheherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wakati tokea Uhuru hadi leo Taifa lina Changamoto za Kimsingi zifuatazo ni Uzuzu uliotukuka

    1. Ujinga uliochanganyika na Upumbavu. 2. Elimu mbovu na inayozalisha Mazuzu wengi na Ajira kuwa Janga la Kitaifa. 3. Umeme usio na uhakika nchini. 4. Kutopatikana Maji kwa Wananchi. 5. Ukabila, Udini na Ufisadi mkubwa. 6. Afya duni kwa Watanzania wengi. 7. Siasa mbovu na Demokrasia ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali za CCM miaka 70 ya uhuru zimeweza nini mbona vitu muhimu kama Maji na umeme bado shida kuu?

    Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…