uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Safari ya Uhuru wa Tanganyika 1954 - 1961

    SAFARI YA UHURU WA TANGANYIKA Video hii imenivutia kwa kule kuieleza historia ya TANU na kutoka vyanzo vilivyoko nje ya historia rasmi na kutumia picha alizoacha Ali Msham na nyingine kutoka Nyaraka za Sykes. Halikadhalika kwa msomaji kutoa maelezo yake kama yalivyoandikwa ndani ya kitabu cha...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kwanini Rais Uhuru Kenyatta anampigia kampeni Raila Odinga?

    Naomba kueleweshwa hapa. Raila ni mpinzani wa Uhuru miaka mingi. Iweje leo Uhuru ampe support Raila?
  3. JamiiForums Tanzania Uhuru wa wanachama dhidi ya wenyeviti wao CHADEMA as sample

    Najaribu kuwaza pia Mtu ambaye anashawishiwa na M/K "at individual capacity" kwa ahadi ya kutafutiwa kazi Nje ya Nchi, ili aachane na maamuzi yake, akikubali kufanya hivyo, uhuru wake utakuwaje ndani ya Chama!!. Hii inatakiwa kuitafakari bila Muhemko Wala matusi Bado najiuliza pia anayetoa...
  4. JamiiForums Tanzania Tanganyika :Wakazi wa Mishamo walalamikia kukosa Uhuru kama Raia wengine

    Wananchi katika makazi ya Mishamo katika Mkoa wa Katavi, yenye vijiji kumi na sita (16)wamelalamikia uongozi wa mkuu wa makazi kuwakosesha uhuru wa kufanya chochote na kujiona bado ni wakimbizi ilhali walishapewa Uraia. Baadhi ya viongozi wa vijiji hivo wameeleza kuwa hawana uhuru wa kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Chawa wa Samia wanatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe

    Maisha yanaenda kasi sana! Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max. Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya...
  6. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili hii Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Siku ya Mei 3 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Nchini Tanzania, siku hii imeadhimishwa Kitaifa jijini Arusha, mgeni...
  7. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Sudan Kusini walia kukosa uhuru

    Waandishi wa habari wa Sudan na Sudan Kusini wameeleza kuwa wanakabiliwa na vitisho, ukandamizwaji na ukamataji holela hali ambayo inaondoa uhuru wa utendaji kazi wao. Inadaiwa kati ya Januari na Machi 2022, maafisa wa usalama waliondoa makala kadhaa katika Gazeti la Juba Monitor, ambalo...
  8. JamiiForums Tanzania Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

    Kwa aina ya Ukaguzi Huu Huyu Kiongozi Wakimbiza Mwenge Anaonekana ni Mkuda SAna. . Ni Kwamba Hajui Kuna Aina Ngapi Za Lami?
  9. JamiiForums Tanzania Balile: Kwa miaka sita mfululizo Tanzania ilikuwa na anguko la uhuru wa vyombo vya habari mpaka Rais Samia ulipolidhibiti

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini. Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea...
  10. JamiiForums Tanzania Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - 2022: Rais Samia awahimiza wanahabari kuzingatia mila na desturi za Kiafrika

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (WPFD) ambayo inafanyika leo Mei 3, 2022 Jijini Arusha. Kabla ya Rais Samia kuanza kuzungumza, mijadala imeendelea ukumbini: DKT. RIOBA: MAMLAKA ZINAPATA UGUMU KUZUIA NGUVU YA DIGITALI...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta patana kwanza na makamu wako ndio usuluhishe migogoro ya DRC

    Katika hali ya kustaajabisha siasa za Africa,Raisi wa taifa moja kusimamia mazungumzo ya kuleta amani DRC baina ya waasi na serikali ya Tshikedi ili hali raisi wa taifa ilo ndani ya nchi ana mgogoro na makamu wake wa Raisi Tena mgogoro wa wazii kabisaa wa maslai ya madaraka, mgogoro huu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya HabariLeo na UHURU mna uhakika kuwa Jana Rais Samia amepandisha Mishahara kama mlivyoandika leo katika Vichwa vyenu vya Habari?

    Tafadhali Wahariri wa Magazeti ya HabariLeo na UHURU ( ambao najua mpo hapa JamiiForums ) hebu tuwekeeni hapa Sauti ya Rais Samia ya jana ( Mei Mosi ) akisema kuwa amepandisha rasmi Mishahara kama ambavyo mmeripoti ( mmeandika ) leo katika Vichwa vyenu vya Habari. Kwa Upuuzi na Ujuha ( Uzuzu )...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyata yeye kaongeza mshahara bila kumug'unya hata maneno. Hapa kwetu mshahara unaongezwa kwa kificho

    Sikiliza jembe hili linafunguka.Haina kusubiri mpaka July 1. 👇
  14. JamiiForums Tanzania WPFD 2022: Maadhimisho yaanza rasmi Nchini Tanzania. Ripoti ya Dunia yaonesha Uhuru wa Habari unazidi kuporomoka

    Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari (Mei 03, 2022), Maadhimisho hapa Nchini yameanza rasmi leo Mei 01, 2022 Jijini Arusha Kaulimbiu ya Siku hii kwa Mwaka 2022 inasema "Uandishi wa Habari na Changamoto za Kidijiti" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto zipo katika...
  15. JamiiForums Tanzania Historia ya TANU baada ya uhuru 1961

  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Uhuru Kenyatta na Paulo Kagame hawajamuiga Samia Suluhu ?

    nimemsoma member mmoja humu JF akisema movie ya mama Samia ya royal tour inaweza kuingiza mpaka 1.5 trillion kwa kukodishwa pekee kwenye mtandao wa amazon na bado kuna faida nyingine kama ongezeko la watalii nk sasa kama movie iliyogharimu billion 7 inaweza kuingiza pesa mingi kiasi huko kwa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amani DRC: Rais Uhuru aongoza viongozi wa EAC kutoa onyo kwa waasi

    Waasi waamrishwa waamue moja, kati ya makubaliano ya amani au watembezwe kichapo kutoka kwa jeshi la pamoja la EAC. ======== East African leaders on Thursday issued a warning to armed groups in the Democratic Republic of Congo, urging them to choose dialogue or be considered enemies of all...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru ni mara ya kwanza sherehe za Muungano kuhudhuriwa na Marais wote kutoka upande wa Zanzibar

    Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo. Anyways, hakuna ubaya ni...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi kilele Siku ya Uhuru wa vyombo vya habari

    IDARA ya Habari-Maelezo imemtaja Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi kilele cha maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari ambayo kitaifa yatafanyika Mei 3,2022 Jijini Arusha. Kaimu Mkurungenzi Idara ya habari-Maelezo Rodney Mbuya amesema hayo leo...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka Xinjiang hadi Ningxia, jinsi ninavyoona uhuru wa kuabudu dini nchini China

    Kadiri siku zinavyosonga mbele, uhuru wa watu kuabudu dini nchini China unazidi kuwa mkubwa. Na hii inatokana na sera nzuri za China katika masuala ya dini, kwani katiba ya China katika kifungu chake cha 36 inaeleza waziwazi kuwa “wananchi wana uhuru wa kuamini dini watakazo”. Serikali ya China...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…