Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Uhuru Kenyatta na Rais wa Angola Joao Lorenco, kutetea malalamiko yao...
Hivi shida ni nini? Kwanini wanaotuongoza wanaonyesha uwezo mdogo wa fikra ama ni kutokujali. Kwanini hatuna umeme wa Gesi?
Kwanini Hatuna umeme wa Makaa y mawe? Kwanini hakuna mfumo wa kukinga maji yanayotengeza umeme yasipotee kwa 100%, ili yaweze kutumika tena.?
Naamini shida sio TANESCO...
KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani.
Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums.
Eti wataalam wa mipango miji, kulikuwa na umuhimu gani kwa viwanja vya soccer vya Uhuru pamoja na ule wa Benjamin William Mkapa kujengwa sehemu moja?
Eneo ulipojengwa uwanja wa Mkapa lilikuwa eneo la wazi na ndio sehemu ambayo chuo cha ufundi...
Hata waisrael walifikia kipindi kuchoka na shida wanazopata safarini kuelekea kaanani walitamani Musa awarudishe Misri kwa farao utumwani walipata mahitaji muhimu.
Kama tusingeandika historia yetu waliokuwa hawapo hiki kizazi kipya kisingeijua historia ya Sheikh Hassan Kinyozi.
Tungemzika Sheikh Hassan Kinyozi kama tunavyowazika masheikh wetu.
Tusingeliweka jeneza la mwalimu wetu mabegani na vifua mbele tukijua kuwa tunamzika shujaa aliyepigania uhuru wa...
Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90.
Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
Mwanadada huyu hapa ana furaha sana mgombea wa Democratic ameshinda kwenye jimbo lake kwa hiyo anafurahia kwenye jimbo hilo kutoa mimba itakuwa ni ruhusa!
Alikuwa na wasiwasi kuwa kama angeshinda mgombea wa Republican, utoaji mimba ungepigwa marufuku kwenye ji,mbo lake!!
“We won!”
That was...
Comedy zilizofanyika zinatosha kwa hiyo miaka yote, ni muda sasa kuangalia mantiki ya kinachooneshwa, kama wanafanya vitu ambavyo haviendani na uhalisia ni bora wakaailika wachekeshaji basi. Ule ukakamavu waliokua wanaonesha nib fake tu
Watoto wengi wanaozaliwa na jinsia mbili mara nyingi hufanyiwa upasuaji na wazazi kupanga wawe jinsi gani.
Sasa kwanini wasiachwe wakue ili wao wenyewe waamue jinsia wanayoitaka? Hapa nazungumzia intersex ama watu wanaozaliwa na jinsi mbili.
Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula.
Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha.
Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
Jambo rafiki!
Moja kwa moja kwenye mada. Hii ndiyo orodha yangu ya Maraisi bora kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho tangu tupate uhuru.
NB: Mimi ni mtoto wa 90's, kwahiyo wengine nimefanya utafiti kwa mapokeo ya mdomo kupitia wazee wangu.
1. Ali Hassan Mwinyi
Huyu kwangu ndiyo raisi bora tangu...
Najua serikali yetu imefanya mengi sana ,Pia nimshukuru Mungu kuwa na viongozi ambao toka uhuru wamelinda amani ya nchi yetu na kutetea umoja na mshikamano wetu.
Kiukweli, zipo nyanja tumepiga hatua kwakiasi na zipo nyanja ambazo bado sana.
Swala la maji:Hasa kwa mkoa au jiji linalochangia...
Kazi ya kuandika katiba inapaswa kupewa umuhimu wa juu kwani ni tendo takatifu linalotupeleka kwenye maisha mapya ya uhuru wetu.
Taifa letu bado liko katika mfumo wa kikoloni lakini mkoloni wa sasa ni mweusi sio kama wale weupe wa zamani.
Viongozi wa kwanza wa taifa letu ndio waliamua...
Kama wapo huwa wanakuwa wapi katika Majanga ya Mafuriko, Moto ( Mioto ) kama huu wa sasa wa Mlima Kilimanjaro na Ajali?
Nasubiri Mirejesho yenu na leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Maoni yenu nyie 'Great Thinkers' wa JamiiForums na najua mtakuwa na Madini ya kutosha juu ya hili.
https://twitter.com/share?text=‘Nchi yetu ina uhuru, uhuru wa wachache’: Mazungumzo na wavujajasho wa Manzese na Jangwani&url=https://udadisi.com/nchi-yetu-ina-uhuru-uhuru-wa-wachache-mazungumzo-na-wavujajasho-wa-manzese-na-jangwani/
“Nchi yetu hii sisi ina uhuru. Sasa mbona ina uhuru wa watu...
Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage alipinga vikali ukabila na kusisitiza umoja katika taifa letu. Rais Samia Suluhu anaishi falsafa za Mwalimu Nyerere na kuzitekeleza kwa vitendo.
Leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru uliowaka nchi nzima kumulika maendeleo...
Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Bi. Halima Selengia anaingia katika kundi la akina mam wapigania uhuru...