Miaka 61 tangia tupate Uhuru bado tunategemea Umeme wa Maji

Miaka 61 tangia tupate Uhuru bado tunategemea Umeme wa Maji

Mzalendo07

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
71
Reaction score
120
Hivi shida ni nini? Kwanini wanaotuongoza wanaonyesha uwezo mdogo wa fikra ama ni kutokujali. Kwanini hatuna umeme wa Gesi?

Kwanini Hatuna umeme wa Makaa y mawe? Kwanini hakuna mfumo wa kukinga maji yanayotengeza umeme yasipotee kwa 100%, ili yaweze kutumika tena.?

Naamini shida sio TANESCO BALI NI WATUNGA SERA
 
Mkuu kama DAWASA watazuia water leakage kwenye systems zao ,tutaokoa zaidi ya 30%ya maji yanayopotea, umeme hatukuenda na mabadiliko ya nchi, watu,maendeleo yanaongezeka leaders wetu bado wapo kwenye usingizi mzito na sasa wapo busy kukimbizana na Dr.Bashiru (loose canon, wanavyomwona wao)
 
Coz Umeme wa Maji ni Cheap...ni vile hatuna mipango madhubuti ya kuzuia umeme unaopotea during transmission na hatuna mipango ya kutunza mazingira.

But we need cheap source of power ili tuwe na low production cost, from there bidhaa zetu zinaweza kushindana na bidhaa za kimataifa.
 
Aisee ila sasa imezidi vibiashara hata haviendi kutokana na ukosefu wa umeme,,unapeleka mahindi yanakaa wiki hayakobolewi kisa umeme

Halafu kuna watu fulani ambao sijui kwa upofu au kwa kutaka kutetea madaraka wanapiga mapambio mama anaupiga mwingi.Inakatisha tamaa nchi hii.
 
Hivi shida ni nini.? kwanini wanaotuongoza wanaonyesha uwezo mdogo wa fikra ama ni kutokujali.
Kwanini hatuna umeme wa Gesi?
Kwanini Hatuna umeme wa Makaa y mawe?
Kwanini hakuna mfumo wa kukinga maji yanayotengeza umeme yasipotee kwa 100%, ili yaweze kutumika tena.?
Naamini shida sio TANESCO BALI NI WATUNGA SERA
Kwa hiyo na wewe umejiita mchambuzi makini?

Ebu tutajie hao Ethiopia wanaoutegemea umeme wa Maji mpaka sasa!,walitawaliwa na nani?

Ebu nitajie msomi wa kitanzania aliyeandika hata andiko mojavla kugundua au kubuni mfumo wa nyuklia?

Mnakula bure ba mkishashiba bure,mbakimbilia huku kuleta upuuzi wenu!

Nchi gani hapa Afrika uijuayo wewe ambayo inategemea Gesi au Nyuklia kwa kuzalusha Umeme wake?

Kinachotusumbua sio ukosefu wa maji bi ni hiki hapo[emoji116]
IMG-20221121-WA0007.jpg
 
Inasikitisha kuona hoja ya Bashiru ndio imekuwa hot kuliko hii ya mgao wa umeme na maji.
 
Waache kutumia siasa kuvutana , hivi Hadi Leo hawanunui umeme toka nchi jirani? si wangeongeza megawatt kwenye grid yao(Tanesco) kwa kununua zaidi kipindi wanafikilia njia mbadala ya kuweka grid katika Hali ya kawaida .
Watatufikisha tu hawa tuzidishe uvumilivu.
 
Waache kutumia siasa kuvutana , hivi Hadi Leo hawanunui umeme toka nchi jirani? si wangeongeza megawatt kwenye grid yao(Tanesco) kwa kununua zaidi kipindi wanafikilia njia mbadala ya kuweka grid katika Hali ya kawaida .
Watatufikisha tu hawa tuzidishe uvumilivu.
Uwezo mdogo wa VIONGOZI WETU
 
Back
Top Bottom