uhuru

  1. figganigga

    Wosia wa William Lukuvi: Wazanzibari hawatupendi Watanganyika. Tukiwaacha Uhuru Watatusumbua na siasa kali

    Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli mara mbili kwa siku. Kila mtu ana jinsi anamkumbuka Mtu. Mimi Wosia wa Lukuvi ambao nimeuweka moyoni ni tahadhari aliyotoa kuhusu Watu kutoka Zanzibar. Yaliyotokea 29 Oktoba 2025, yalifanya niamini kauli ya William Lukuvi. Aliwahi kusema kwamba hatuwezi...
  2. K

    Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  3. Mr George Francis

    Sehemu ambayo haikupi uhuru sio sehemu sahihi

    SEHEMU AMBAYO HAIKUPI UHURU SIO SEHEMU SAHIHI. Maisha mazuri ni yale yanayokupa uhuru wa kuishi vile unavyotaka bila shinikizo kutoka upande wowote wa dunia. Ikiwa katika mahusiano, kazi/ajira au katika maisha ya kila siku kama vile urafiki na familia unapoona hakuna uhuru using'ang'anie...
  4. K

    Hivi Tanzania kwasasa kweli kuna uhuru wa maoni (Freedom of Speech)?

    Hivi siku hizi Tangu waingie madarakani kuna Uhuru kweli wa maoni? Maana ukiisema Serikali Mama Mkwe naye anakuja na vijembe, huku Mkwe nae anakuja na maelekezo usisahau kuna Swaiba wa Mama anaitwa Baba Keagan nae anakuja na ngonjera zake. Watu tukisema Katiba mpya ni muhimu ili kurudisha...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Pascal Mayala: Mamlaka zetu azijifunzi kutafsiri Katiba kwenye Uhuru wa Maoni, ukitoa maoni yasiomfurahisha kiongozi basi itakuwa ni makosa

    Mazungumzo kati ya mwandishi wa DW Kiswahili, Sudi Mnette alipokutana na mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Pascal Mayala ambaye anaelezea sakata lililomkabili siku chache zilizopita. Soma Pia: JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu...
  6. Infropreneur

    Freewill yenye adhabu baadae hiyo sio Freewill huru, Huo ni mtego. Uhuru na hiyari kamili havipaswi kuwa na shuruti, shinikizo wala adhabu

    Theists Hi... 👋 Moja kwa moja kwenye mada. Sasa ni hivi. Uchaguzi na Hiari ya kweli, ili viwe huru na vyenye uhuru kamili, ni lazima vifanyike bila shuruti, vitisho wala adhabu. Ili chaguo liwe la kweli na la hiari, ni lazima lifanywe bila shinikizo, shuruti, vitisho au adhabu. Watu wa dini...
  7. M

    Kuna mwanaume wa aina hii mwenye afya na uhuru ?

    Hanywi pombe Havuti sigara / bangi Hahongi wala kununua wanawake Hachezi kamali
  8. Allen Kilewella

    Uhuru bila mipaka ni vurugu, lakini mipaka kwenye uhuru ni udikteta

    CCM hupenda kusema "uhuru bila mipaka ni vurugu" kuashiria kuwa hakuna uhuru usio na mipaka. Na CCM hutumia msemo huo kuhalalisha matumizi ya nguvu dhidi ya wanaowapinga kisiasa. Lakini CCM huficha sehemu muhimu ya msemo huo inayosema "mipaka kwenye uhuru ni ugandamizaji". Dhana hizi mbili...
  9. Mr Beach Boy

    Paschal mayala ni Chawa aliepandikizwa na CCM kwa kigezo cha uhuru wa vyombo vya habari

    Huyu jamaa hana tofauti na akina mwijaku na wengine. Wana JF huyu jamaa amepandikizwa na kulipwa ili kumsifia Samia huku JF Tukae nae mbali hana uzalendo na taifa hili ni mnafki
  10. Mto wa mbu

    The economist: Samia Suluhu Hassan ameisababishia matatizo makubwa Tanzania, toka nchi ipate uhuru

    Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru. The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War. Chini ya Samia kumeshuhudiwa...
  11. Mohamed Said

    Jiwe la Kumbukumbu la Nyumba Aliyolala Mwalimu Nyerere Ujiji 1954 Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/zZS4uioW6_g
  12. H

    M/Kiti Kamati ya Kimataifa ya Uhuru wa Dini Ameeleza Kuwa Samia Amekuwa Akiua Uhuru wa Dini, Ikiwa ni Pamoja na Kuteka na Kushambulia Viongozi wa Dini

    Mwenyekiti wa kamati ndogo ya ulinzi wa uhuru wa dini wa Bunge la Marekani, bwana Chris Smith, wakati akifungua kikao cha mwaka, ameeleza kuwa Tanzania imerudi nyuma kwenye ulinzi wa uhuru wa dini. Ameeleza kuwa mapadre kadhaa wa Kanisa Katoliki, akiwemo katibu wa TEC Fr Kitima, ama walitekwa...
  13. A

    KERO Barabara ya Mbalizi – Iwiji (Mbeya Vijijini) ni kero kubwa, haina lami tangu uhuru

    Mimi ni Mwananchi wa Wilaya ya Mbeya Vijijini nina kero ambayo inatutesa sana Wananchi wa Wilaya hii. Kero kubwa iliyopo kati ya kero zingine ni ubovu wa Barabara ya kutokea Mbalizi hadi Iwiji ambapo inapita Isangati, Santilya, Ilembo, Shigamba hadi Iwiji, kisha inaunganisha Mbeya Vijijini na...
  14. R

    Tarimba: Miaka 60 ya uhuru Dar es Saalam bado kuna shida ya maji, tusichukulie poa

    Akizungumza katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili kikao cha saba leo Februari 4, 2026, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Tarimba Gulam Abbas amesema ni miaka sistini ya uhuru lakini jiji la Dar es Salaam bado inachangamoto ya maji, amesisitiza katika mpango wa maendele ya serikali kuweza kuzingatia...
  15. R

    Hatimaye Kiongozi wa Upinzani Guinea-Bissau apata uhuru kutoka gerezani

    Kiongozi wa upinzani nchini Guinea-Bissau, Domingos Simoes Pereira, ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa. Alikuwa mmoja wa wanasiasa waandamizi waliokamatwa na jeshi baada ya kuchukua madaraka mwezi Novemba, kwa mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais Umaro...
  16. Fbn

    Tulikimbilia kudai uhuru wa nchi haraka ukilinginisha nchi ambazo zilichelewa ukipelekwa utaona utofauti

    Kujiendesha hatuwezi kiufupi kama taifa. Ila wakoloni wa kizungu wangebaki nahisi tungekuwa mbali sana kimaendeleo kama kusingekuwa na vita vya kwanza na vya pili duniani. Nchi kama south Africa walichelewa kupata uhuru ila kwa maendeleo yaliyokuwepo tu unaona.Ila kupewa watu weusi ndio kama...
  17. NostradamusEstrademe

    Wazee waliomsaidia Nyerere kuleta Uhuru

    Kama kichwa cha habari kilivo hapo mnaweza kumtambua nani na nani mimi nimemtambua Nyerere na Mzee Mshumi Kyate. Huyu mzee Kyate alikuwa mvuvi ndio alikuwa ana jukumu la kulisha familia ya Nyerere mboga kipindi alivyoamua kuacha kazi shule ya Pugu. Kuna siku moja alikutana na Nyerere pale Fire...
  18. Mhaya

    Hakuna Taifa lenye Uhuru Kamili wa Kiserikali katika Nchi za Dunia ya Tatu

    Uhuru mliopewa na Uhuru wa makaratasi tu, mkubwa akitaka jambo lake analifanya tu. Sheria za umoja wa mataifa ni kama zipo tu kuzidhibiti Nchi za hali ya chini. Nchi kama Marekani ina Sera zake kuwa Nchi nyingine kubwa hazitakiwi kutengeza urafiki wa karibu na nchi zilizoko katika ukanda...
  19. Hance Mtanashati

    Kikwete ndiye Rais bora zaidi tangu Tanganyika ipate uhuru

    Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Kikwete ndiye rais bora zaidi kwa hapa nchini kuliko marais wote waliopita na huyu aliyejipa urais kinguvu Kipindi cha Kikwete maisha yalikuwa poa sana na wengi walitoboa kipindi chake. Japo ufisadi ulikuwa mkubwa, watumishi hewa lakini pesa mtaani...
  20. ERTUGRUL BEY

    Tanzania tuna amani ila uhuru wetu umebagazwa na kubanangwa

    My people, Kumekuwa bado na mijadala ya hapa na pale kuhusiana na je Tanzania kuna amani? Na wengine wakisema hakuna haki au wanasema haki kwanza,au amani ni tunda la haki Haki huja baada ya amani kuwepo sehemu yoyote ile duniani,kwani uwepo wa amani ndio hufungua kurasa nyingine za mazungumzo...
Back
Top Bottom