ugumu wa maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mynd177

    Msaada wa namna ya kukabiliana na ugumu wa maisha.

    Habari za leo wanajukwaa, poleni na majukumu... Maisha siku za karibuni yameniwia magumu, tafadhali mwenye mbinu za kukabili hali hii anisaidie.. Biashara ndogo ninayofanya ambayo siku za nyuma ilikuwa ikinitunza sasa imeyumba.. Kuna muda naishiwa nguvu nakata tamaa.. Naona Msongo wa Mawazo...
  2. Sifi Leo

    Unawezaje kwenda kwenye ATM kutoa pesa yako halafu uisahau hapo hapo?

    Sitaki kupoteza muda wenu ni hivi! Jana majira ya saa mbili za usiku nilifika kwenye ofisi za NMB maeneo ya Himo pale kwenye ATM Kwa lengo kutoa kapesa kidogo Kwa lengo la kununua KITOCHI cha Konyagi pale Mombasa Highway. Nilishangaa kuingiza kadi kwenye ATM na kutoa pesa Ile napapasa macho...
  3. M

    Ukatiri dhidi ya watoto unasababishwa na ugumu wa maisha. Wazazi wengi hawana uhakika wa mlo wameathirika kisaikolojia. Serikali iingilie kati

    Watoto wanapigwa kwa kudokoa mboga. Watoto wanachomwa moto kwa kuiba dagaa Watoto wanafinywa kwa visu. Watoto wanashindia uji. Lakini mabwanyenye wa CCM wapo busy kula maisha.
  4. M

    Rais Samia anawacheka vijana; Supu ya Pweza ni sababu ya ugumu wa maisha

    Tatizo la nguvu za kiume na mwili kwa Dar es Salaam chanzo chake ni stress na lishe duni. Vijana wengi wanakula mlo mmoja. Si ajabu kwa kukuta watoto wa kiume wana vidonda vya tumbo pale Dar. Maana yake mlo hafifu. Sasa mama badala ya kuwasaidia vijana kwa kuboresha hali zao ili waweze kujikimu...
  5. Nyendo

    Ataka kujiua kwa kujikata koromea

    James Msengi Mkazi wa Tabora anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 amenusurika kifo baada ya kujaribu kujiua kwa kujikata na kisu shingoni akiwa kwenye kituo cha Mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro. Majeruhi huyo ambaye amesema alikuwa anasafairi kutoka Dar es salaam kuelekea kwao Tabora lakini...
  6. kavulata

    Traffic police ni janga la kitaifa, wanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi

    Bei ya mafuta imepanda sana, mishahara ni midogo sana na bidhaa zote sokoni zimepanda kwa kila mtu duniani wakiwemo hata polisi traffic. Polisi wanazidisha ugumu wa hali hii kwa njia ya kutafuta makosa kwa wenye magari na wasafirishaji wa abiria na mizigo, hali inayosababisha gharama kubwa za...
  7. DR HAYA LAND

    Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  8. P

    Tofauti ya maisha kati ya Tanzania na Somalia ni vita, ila ugumu wa maisha huwenda ikawa bora zaidi kule Somalia

    Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe Kwamba ukiwa...
  9. AbuuMaryam

    Hali tuliyonayo hivi sasa itazidi kuwa mbaya zaidi, Ila..

    Ukimuuliza Mtanzania yeyote kuhusu hali ya maisha tuliyonayo nchini inavyozidi kuwa mbaya... Atapeleka lawama moja kwa moja kwa SERIKALI. Wanasiasa watalalamikia katiba na CCM. Mzazi akipokea taarifa mbaya ya matokeo ya mwanae shuleni... Lawama zinaenda kwa MWALIMU... Mwalimu anailaumu...
  10. BigTall

    Sri Lanka: Wananchi wayatumbukiza kwenye maji, wayachoma magari ya kifahari ya wanasiasa kisa ugumu wa maisha

    Wakati maandamano yakiendelea Nchini Sri Lanka inadaiwa kuwa hivi ndivyo baadhi ya wananchi walivyoamua kushusha hasira zao kwa familia ya Rajapaksa ambayo inatawala nchini humo. Wameamua kuyachoma na kuyatupa ndani yam aji magari ya kifahari ya wanasiasa hasa kutoka familia hiyo Watoto na...
  11. I

    Sasa hivi kwanini kila mtu au asilimia kubwa wamekuwa mitume au Mapasta au watumishi? Je, ni ugumu wa maisha!

    Leo katika pita pita zangu kila nilipokuwa nakaa tu anatokea kijana eti anataka aniombee yeye ni pasta. Sasa Mimi nilikuwa nakunali tu ili kuwachora. Leo nimeombewa kitaa na zaidi ya mapasta watano. Makanisa nayo yamekuwa utitiri huku mtaani kiasi ambacho nchi imekosa uelekeo kila mtu anaona...
  12. BigTall

    Wanafunzi walioandika barua kuacha shule kisa ugumu wa maisha wapata ufadhili

    Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza, ambao kila mmoja aliacha shule ili kufanya shughuli za kujiingizia kipato kusaidia wazazi wao, wamepata ufadhili wa kuendelea na masomo yao katika Shule ya Sekondari ya Ocean iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mtwara. Mmoja kati yao ni Taufiq Hamis...
  13. T

    Serikali yoyote inayokopa sana inaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wake na mfumuko wa bei

    Leo napenda kuongelea madhara ya serikali kukopa sana ndani na nje ya nchi. Deni nikitu kizuri ila pia deni laweza kuwa chungu pindi unacho zalisha na kile unatakiwa kulipa vina zidiana. Unaweza chukua mfano wa mtu tu anapo kopa let say 100m na anatakiwa rudisha kila mwezi 3m ila anazalisha...
  14. Dr Lizzy

    My COVID-19 experience, hard times

    I'm honestly a very lucky person. Nilipata loan wakati nasoma so my college days were great, early 20s weren't awful and mid 20s were awesome! Crazy as I am....nikaachana na fani yangu ya psychology niliyosoma and decided to pursue a career as a creative few years ago. Dude! Seemed like a...
  15. BenElohimy

    Ugumu wa maisha

    Usikubali ugumu wa maisha ukufanye utumie mwili wako vibaya. Usikubali kuutumia mwili wako vibaya kwa ajili ya matangazo ya kibiashara. Leo wewe ni mdada hauna famiia siku zaja utakuwa na familia waza mwanao sasa ndo anaangalia maungo yako. Maumivu uliyonayo usiyaruhusu yaangamize kesho yako...
  16. CCM Music

    CCM inazidi kupoteza uungwaji mkono sababu ya ugumu wa maisha ya wananchi wengi. Inaniuma sana

    CCM ni kwa ajili ya Wakulima na Wafanyakazi (Jembe na Nyundo). Na haya ndio kiini cha maisha halisi ya watanzania na ndio maana hiki chama nakipenda sana. Lakini, kwa sasa CCM ni chama cha wafanya biashara wakubwa ama cha wenye hela ama cha wenye connection na wenye hela. Period. Hakuna tena...
  17. Chachu Ombara

    Ugumu wa maisha; Mama anywesha wanae 5 sumu. Wawili wafariki dunia, watatu pamoja naye wanapatiwa matibabu

    Watoto wawili wamefariki dunia baada ya mama yao mzazi, Veronica Gabriel (30), mkazi wa Kijiji cha Mwabagaru, Kata ya Buseresere, Wilaya ya Chato, mkoani Geita kuwanywesha sumu kisha na yeye kunywa kwa madai ya ugumu wa maisha. Hata hivyo mama huyo amenusurika kifo licha ya kunywa sumu hiyo kwa...
  18. The Garang

    Ugumu wa maisha ya ndoa

    Mambo vipi?? Wakubwa shikamoni!! Miaka takribani 10 iliyopita nilikuwa na urafiki na wadada wawili ambao ni o level classmates wangu. Tulikuwa close sana kiasi kwamba kujua ni nani anawafatilia ilikuwa ni issue normal. Wakati tunamaliza o level , mmoja wa rafiki yangu kati ya wale wawili...
  19. Miss Zomboko

    Ugumu wa Maisha husababisha Wanaume kuugua kwa wingi matatizo ya Afya ya Akili kuliko Mwanamke

    Wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wametaja sababu 10 zinazochangia wanaume kuongoza kuugua magonjwa ya afya ya akili ikilinganishwa na wanawake. Sababu hizo ni kuzongwa na majukumu, ugumu wa maisha, utafutaji, malezi, usiri, kukua kwa teknolojia, matarajio ya maisha, sonona, matukio...
Back
Top Bottom