Habar zenu ndugu zangu.
Ebwana nimefika maskan fulan nikakuta kuna kabishano balaa. Yan jamaa watatu.. Mmoja anatokea Magomen, wa pili anatokea Ilala, na watatu anatokeaKinondoni.
Sasa kila mtu anadai kuwa kwao ndio walipotokea/wanapotokea wajanja wa mji, na mafia wakubwa wanaoogopeka huko...