uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Shule Tusiime yadaiwa kuajiri walimu wa Uganda, Watanzania kuondolewa

    Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa kuwaondoa walimu wa Tanzania wanaofundisha shule hiyo. Mmoja wa watoa taarifa katika shuile hiyo...
  2. S

    Kenya isilinganishwe na Tanzania, Rais anaweza kuuawa kama Panya? Uganda na Rwanda ni nchi za kujifunzia. Kenya ilikuwa ya Moi

    Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya. Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali. Km wakenya...
  3. B

    Jaji wa UN Pia Jaji wa Mahakama Kuu Uganda Ahukumiwa Miaka 6 Jela Nchini Wingereza. Nimejifunza mengi kupitia kesi hii

    Report zinasema Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya London nchini Wingereza iliyomkuta na hatia ya kumtumikisha Mwanadada Nyumbani/ House Girl kwake bila malipo stahiki. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa Jaji ktk Shirika la Umoja wa mataifa UN na pia alikuwa ni Jaji katika...
  4. FALSE Elon Musk Did Not Suspend Gen. Muhoozi’s X Account as reported by Kampala Journal News

  5. Utekelezaji wa mradi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Chongoleani, Tanga-Tanzania (EACOP) kwa ujumla umefikia 55%

    Utekelezaji wa mradi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Chongoleani, Tanga-Tanzania (EACOP) kwa ujumla umefikia asilimia 55 na umeweza kuajiri jumla ya Watanzania 6,763. Kampuni ya EACOP imeajiri Watanzania 254, Wakandarasi wa mradi wameajiri Watanzania 6,050 na...
  6. Museveni aikaribisha Starlink Uganda, avutiwa na utoaji wa 'internet' kwa gharama ndogo

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema Jumanne kuwa amefanya kikao "chenye mafanikio" na wawakilishi wa kampuni ya intaneti ya satelaiti ya Elon Musk, Starlink, ambayo inapanua huduma zake barani Afrika na sasa inalenga kuanzisha uwepo rasmi nchini Uganda. Kupitia ujumbe alioutuma kwenye...
  7. Elon musk kuzindua huduma ya intaneti satellite ya Starlink nchini Uganda

    Katika kuhakikisha Mtandao wa Starlink unazidi kushika Kasi ulimwenguni Tajiri Elon Musk ameamua kuongeza nguvu zaidi kwa kuleta huduma hii nchini Uganda. Mtandao wa Starlink ambao unasifika kwa kutoa intaneti yenye Kasi na usio na wasiwasi Hatimaye wameomba leseni Rasmi ya kufanya kazi nchini...
  8. Hapa Duniani kuna wananchi waoga kama Raia wa Tanzania na Uganda?

    Great Thinkers. Nadhani pakitokea ranks za raia waoga dhidi ya watawala wabidhilifu Tanzania na Uganda lazima tushike seat ya mbele. Kinachotupoanza kikubwa ni unafiki imefika mahali hadi dini zinatumika kutetea ujinga, mimi.siyo mdini lakini itoshe kusema waislamu ni binadamu wanafiki kuliko...
  9. Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda yaahidi kumsomesha mtoto Jamal

    Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda imemzawadia Mtoto Jamal Ssenyondwa aliyetokwa na Machozi katika uwanja wa Nakivubo wakati Vipers ilipopigwa goli la pili na klabu ya Express United na kufanya Mechi kuwa 2-1 katika dakika ya 90+3 kisha akaonekana kushangilia kwa furaha baada ya Vipers...
  10. Uganda Airlines waanza Route London (Non-Stop) Vs Air Tanzania?

    Uganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar, Entebbe na Lagos** https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz 1. Hivi Marketing Department...
  11. M

    Uganda President Museveni gifts MPs Sh100 million each

    KWA KIGANDA - KWA UFUPI Abamu ku Babaka ba Uganda okuva mu NRM, ab’ebyobufuzi abatalina kyebegattako wamu n’ab’ennyingiza yaabwe bagambibwa nti baweebwa obukadde 100 za Uganda buli omu okuva eri Pulezidenti Museveni nga ssente za mukwano n’okwebaza, era nga n’omubeezi ku bibuzo by’ensimbi...
  12. Pichani ni warembo kutoka kabila la Banyankole la nchini Uganda

    # ambalo kijana akienda kuoa, shangazi wa binti anafanya mapenz! kwanza na muoaji huyo ili kuhakiki kama kweli ni mwanaume kamili Unaambiwa ukienda kuoa huko unapewa shangazi kwanza angalau masaa matatu uoneshe uwezo wako. Hapa ndugu zangu wala chips yai, Pastor wenu Simon Kusekwa ...
  13. EACOP: Kwanini wasingetanua reli ya kati mpaka Uganda badala ya kuchimba bomba la Mafuta (Hoima - Tanga)??

    Eti wakuu, kwani si bora wangeirefusha reli ya kati kutoka Kigoma (au pahala pengine pa karibu zaidi) mpaka Uganda kuliko kuchimba bomba la gharama kubwa kiasi kile. Mafuta yakiisha Uganda hilo bomba litakuwa na kazi gani nyingine?? Mafuta yakiisha reli still inaweza kusafirisha watu na bidhaa...
  14. Kama Rwanda au au Uganda wanaiibia Congo KWA nini Bado ni masikini?

    Wakina Bismark walipokaa Berlin waiibie na kupora mali za Africa matokeo yalionekana wazi. Ulaya ilitajirika KWA muda mfupi sana. Kuna tetesi na tuhuma KUWA baadhi ya nchi za Africa zinaiibia Congo malighafi. Na mbaya zaidi wanasema wanaiibia madini ambayo hata mtaani tu mfanyabiashara wa...
  15. O

    Wavumbuzi bora wa Afrika wanaowania Tuzo za Uhandisi 2025. Tanzania tunakwama wapi?

    Wavumbuzi 16 kutoka nchi saba za Afrika wanawania Tuzo ya Ubunifu katika masuala ya Uhandisi Afrika kwa mwaka 2025 ambapo nchi 30 zilituma maombi. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2014, na ni tuzo kubwa zaidi ya ubunifu wa uhandisi barani Afrika, ikitoa ufadhili, uongozi, na mafunzo ili kuwasaidia...
  16. Ripoti: Tanzania, Uganda na Kenya zinapoteza hadi dola bilioni 5 kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja. Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
  17. Picha: Bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania

    Kwa wanaojua mambo watusaidie kuelewa, hili bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanzania mbona halifukiwi?
  18. Ulikuwa wapi kipindi ndege ya JWTZ inaanguka wakati wa kupokea wanajeshi waliotoka Uganda?

    Ilikuwa tarehe Mosi September 1980 wakati ndege ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ilipoanguka kwenye eneo la uwanja wa Taifa katika sherehe za kuwapokea wanajeshi wetu wakirejea kutoka Uganda kumng'oa nduli Idi Amin Dada. Je ulikuwa wapi wakati huo?
  19. PreGE2025 Shigongo: Tanzania inaizidi pesa Kenya, Uganda na Rwanda. Rais Samia ameurejesha uchumi wetu ulipokuwa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona. Amesema hilo linatosha kumfanya kila mwananchi awe na matumaini makubwa ya kuwa nchi itaendelea kusonga mbele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…