Pichani ni warembo kutoka kabila la Banyankole la nchini Uganda

Pichani ni warembo kutoka kabila la Banyankole la nchini Uganda

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,226
# ambalo kijana akienda kuoa, shangazi wa binti anafanya mapenz! kwanza na muoaji huyo ili kuhakiki kama kweli ni mwanaume kamili

Unaambiwa ukienda kuoa huko unapewa shangazi kwanza angalau masaa matatu uoneshe uwezo wako. Hapa ndugu zangu wala chips yai, Pastor wenu Simon Kusekwa , nawahakikishia wengi mngeaibika na kukosa mke kwakua wengi ni kimoja cha sekunde 5 sasa masaa matatu mngekuwa mnafanya nini na mashangazi humo ndani?

Mtihani huo unakulazimu muoaji kuonesha utimamu wako katika kupiga kirungu na wanaamini mwanaume mwajibikaji kama baba bora kwa familia lazima awe na uwezo mkubwa wa kupiga kirungu na sio kuwa na miela wala six packs

Mtihani huo unatajwa kusaidia mashangazi kujua staili na engo wanazopenda wakwilima wao na hivyo kuwaeleza mabinti waolewaji ili waweze kuwaridhisha waume zao kwenye ndoa

Kiufupi huu mtihan ukija bongo hususani Dar tumekwishaaa😂😂😂😂😂😂😂

Ona ulivyo furahi, #sikiliza rafiki yangu , Mila na destuli nyingi zina peleka watu kua na mwendelezo wa dhambi. Na Ikiwa mila yako ina kupelela Kutenda dhambi. ACHA MARA MOJA UTAHUKUMIWA JEHANAMU YA MOTO MILELE.
 

Attachments

  • Screenshot_20250316_154811.jpg
    Screenshot_20250316_154811.jpg
    382.7 KB · Views: 48
Mkuu Kumbe huku TZ hatupaswi kuwalaumu Washangazi a.k.a Mishangazi kwamba wanatuharibia vijana wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom