uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    Wanaosema wanaharakati wa Kenya na Uganda walikuja kufanya fujo, waliziona hizo fujo?. Nionesheni na mimi sijaona

    Hivi hawa watu wanaosema wanaharakati wa Kenya na Uganda walikuja kufanya fujo aliyeziona hizo fujo walizofanya mnioneshe mimi sijaona. Hivi hawa wana harakati walikuja kusikiliza kesi ya Lissu na hata watanzania tuliona pia walienda kusikiliza kesi hiyo hiyo wakaitwa wafanya fujo wengine...
  2. N

    MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  3. BLACK MOVEMENT

    Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Mungu awabariki Wazungu wanatusaid8a sana kupamabana na hawa wakoloni weusi. Ukion hii ujue ni trela move kamili inaandaliwq,
  4. ngara23

    Jeshi la Polisi tokeni hadharani mjisafishe, kuhusu kuteka, kutesa na kutelekeza wanaharakati wa Kenya na Uganda

    Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao. Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda aliteteswa na kutelekezwa mpakani km 30 kutoka border ya Mtukula pia Boniface Mwangi wa Kenya alitelekezwa...
  5. Crocodiletooth

    Luckily to uganda nation

    Uganda imegundua zaidi ya tani milioni 31 za dhahabu, na wastani wa tani 320,000+ za dhahabu iliyosafishwa zikiwa zimefichwa chini ya ardhi yake.. Kuthaminiwa kwa matone ya taya ya $ 12, ugunduzi huu unaweza kuiingiza Uganda katika ngazi ya wazalishaji wakuu wa dhahabu duniani. Ikiwa juhudi za...
  6. Fbn

    Wazo la JKt ni wazo la Uganda kipindi cha Amimi

    JKT imetengezwa kama livyo tengezwa uganda. Vita vya Kagera kuna vitabu vingi na mambo mengi ambayo yalifichwa sana. Ila Uganda kulibeba ukabira mpaka ukafikia sasa kudai udini. Mimi sio mzuri sana wa kuweka mambo mengi ila kisa cha Museveni na Sudani wa Al Bashuri ilikuwa ukabila na udini...
  7. evangelical

    Uganda kutomfukuza mwanaharakati wa Kenya alipokwenda kusikiliza kesi ya Besigye huku wakimsifu Samia kwa kumfukuza

    Kuna mambo yanafurahisha sana . Yaani watu wanakusifia wewe kwa kufanya kitendo flani kibaya . Kitendo hicho kibaya aliyekusifia yeye mwenyewe hakifanyi. Hii kwa wenye akili inaonyesha huyo mtu anakudharau anakuona wewe lofa flani anakupoteza manake huko ni kutoa sifa za uongo. Kuna watu...
  8. O

    Kumekuwepo na Tishio la Kiusalama linalotokana na Mgogoro wa Mpaka Kati ya Tanzania na Uganda

    Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali...
  9. Fbn

    Mbona kama mambo yanajirudia!

    Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu. Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye. Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja kumfanya kama alivyofanyiwa IDD amin. Kumbuka hata ZNZ ilisaidiwa na mtu wa Uganda.
  10. Waufukweni

    PreGE2025 THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda wanashikiliwa na Jeshi La Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam. Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili...
  11. W

    FALSE Pope Leo XIV will visit Uganda and Kenya this year

  12. BLACK MOVEMENT

    Onesimo Ole Ngurumwa: Ni Bora Demokrasia ndani ya Udikiteta kuliko Udikteta ndani ya Demokrasia, Uganda ndio Case Study

    Wakili Onesmo Olengurumwa Onesmo Kasale Olengurumwa ambaye ni mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu na Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kupitia ukurasa wake wa X ametoa somo kuhusu masuala ya Demokrasia akilinganisha mifumo ya Demokrasia kati ya...
  13. GENTAMYCINE

    Rais wa Burkina Faso akithubutu tu kufanya Ziara nchi moja ya Kipuuzi Afrika Nitamdharau mazima, ila akienda Rwanda na Uganda nitampongeza sana

    Ataendaje katika hiyo nchi ambayo kwa sasa ina Wapumbavu, Wezi, Washamba, Washirikina na Wauwaji ni wengi sana?
  14. S

    Bobi Wine ashutumu nchi za magharibi kwa kutokemea matendo ya serikali ya Uganda

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ameshutumu nchi za Magharibi kwa kutokemea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Yoweri Museveni. Bobi Wine amedai baadhi ya viongozi wa mataifa ya Magharibi "wanahusika" na mateso wanayokutana nayo waganda kwa kuwa wanajali...
  15. GENTAMYCINE

    Export Rate ya Uganda huko EU imefika 60% je, ya Chawa Country imefikia Kiwango gani? Njoo mtudanganye sasa

    Na vitu vilivyowapaisha Uganda ni kama vifuatavyo ... 1. Coffee 2.Fish 3. flowers 4. Vegetables
  16. R

    Uganda hali si shwari: Mlinzi mkuu wa Bobi Wine aliyetekwa na mtoto wa Museveni afichua mateso zaidi ya 15 aliyoyapitia, hawezi kutembea wala kulala,

    https://x.com/HEBobiwine/status/1920087242871112128 Edward Mutwe, ambaye ni mlinzi mkuu wa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, alitekwa na mtoto wa Musebeni ( Muhoozi ) tarehe 27 Aprili 2025. Leo hii kafikishwa mahakamani akiwa kwenye hali mbaya sana anabebwa. Haya...
  17. A

    DOKEZO Shule Tusiime yadaiwa kuajiri walimu wa Uganda, Watanzania kuondolewa

    Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa kuwaondoa walimu wa Tanzania wanaofundisha shule hiyo. Mmoja wa watoa taarifa katika shuile hiyo...
  18. S

    Kenya isilinganishwe na Tanzania, Rais anaweza kuuawa kama Panya? Uganda na Rwanda ni nchi za kujifunzia. Kenya ilikuwa ya Moi

    Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya. Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali. Km wakenya...
  19. B

    Jaji wa UN Pia Jaji wa Mahakama Kuu Uganda Ahukumiwa Miaka 6 Jela Nchini Wingereza. Nimejifunza mengi kupitia kesi hii

    Report zinasema Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya London nchini Wingereza iliyomkuta na hatia ya kumtumikisha Mwanadada Nyumbani/ House Girl kwake bila malipo stahiki. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 50 aliyekuwa Jaji ktk Shirika la Umoja wa mataifa UN na pia alikuwa ni Jaji katika...
Back
Top Bottom