ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. genius mvivu

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

    Habari ndugu wana JF, Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa. Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ujio wa DP World, kuimarika kwa kundi la Ugaidi Mozambique, kudhoofu kwa Usalama Kongo na uwepo wa Alshaabaab tuviangalie kwa mapana

    Tanzania ni nchi pekee ambayo kwa sasa imekaa eneo la kimkakati ambalo lisipolindwa vyema ipo hatari mataifa ya magharibi yakapenya na kutuondolea kabisa amani iliyopo kwenye ukanda wa bahari na Afrika Mashariki. Tunapowaza kuhusu DP world kuja kiuchumi lazima pia tuangalie kiusalama. Tumeona...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watuhumiwa wa ugaidi waliosota gerezani kwa miaka 10 waachiwa huru

    Mahakama kuu kanda ya Arusha leo 16/06/2023 imewaachia huru watu 12 wakiwemo Mashehe waliosingiwa kesi ya Uongo ya Ugaidi. Walifunguliwa kesi No. 65 ya 2022 na kunyimwa dhamana, ambako wamewekwa selo kwa zaidi ya miaka 10. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atoe haki kwa wote waliotunga unyama huu...
  4. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuwapa bandari DP World tumetafakari kuhusu usalama wa nchi yetu?

    Watanzania, Bunge letu, Bandari ni zaidi ya tunavyofikiria. Usidhani kwamba ni kupokea containers za mizigo ya kawaida tu. Yapo mambo mengi mno ya kijasusi ambayo hatujayafanyia upembuzi yakinifu. 1. Asilimia kubwa ya zana zetu za KIVITA hupitia Bandarini. Je, tukiwapa DP kutakuwa Tena na...
  5. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Tunapozungumzia kinga kwa Usalama wa Taifa, tunazungumzia kinga dhidi ya Ugaidi

    Waziri George Simbachawene akitoa ufafanuzi kuhusu kinga kwa maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa kama ilivyoelezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa wa Mwaka 2023. Tayari Bunge limepitisha muswada huo na sasa utapelekwa kwa Rais kwa ajili ya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Idara za Ulinzi na Usalama za Marekani ziliwahi kuikataa DP World kwa kuhofia kuingiza Magaidi na Silaha

    Kwa mujibu wa Bill Gertz, mwandishi wa Kitabu cha Breakdown: How America's Intelligence Failures Led to September 11 alinukuliwa akisema "Maafisa wa kijasusi na usalama waliopinga mpango wa kubinafsisha Bandari zake kwenda Dubai Ports World walisema bandari ziko hatarini kutumika katika...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Waandishi wa Habari waandamana kupinga Sheria za kupambana na ugaidi

    Waandishi hao wa Habari wanapinga kile wanachosema kuwa ni Sheria kandamizi dhidi ya ugaidi iliyoundwa kuvitisha vyombo vya habari. Wameandamana wakiwa na mabango nje ya makao makuu ya muungano wa Wanahabari wa Kitaifa, wakitangaza kuwa uhuru unategemea uhuru wa vyombo vya habari. Mei 16...
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Sudan: Mpinzani Mkuu wa Rais ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa mashtaka ya ugaidi

    Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran walipanga ugaidi dhidi ya Israel, hawa ndio wanataka waachiwe wajihami kwa nyuklia

    Taarifa zimeibuka za namna Iran iliwasaidia magaidi wa kidini kushambulia Israel kwa rockets, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa, hili taifa la Iran hulia lia likitaka liachiwe lijihami kwa nyuklia..... Esmail Qaani, who leads Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps’ elite Quds Force, has...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sakata la watuhumiwa wa Ugaidi kuwekwa selo miaka 10, Godbless Lema amuomba Jaji Mkuu aweke wazi gharama za kuendeshea kesi ili wadau wachangie

    Baada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni, ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi, na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti ya mahakama haitoshi, Msamalia Mwema Godbless Lema ameguswa na amejitokeza hadharani akimuomba Jaji...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania THRDC, EAHRI na DPI watoa Mafunzo kuhusu Utakatishaji Fedha na Njia zinazotumika Kufadhili Ugaidi kupitia Asasi za Kiraia

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Hayati Magufuli alihusika katika kuandaa kesi ya ugaidi ya Mbowe? Ilikuwa kwa lengo lipi?

    Habari JF, binafsi huwa nakuwa na shaka sana na upinzani wa Mwenyekiti wangu Mbowe. Kuna muda huwa napata mawazo ni mtu aliyewekwa kimkakati kuhakikisha CCM haitoki madarakani. Nimekaa nimejiuliza sana, je, Kesi ya Mbowe ilianza kusikilizwa kwa benefits au faida kwa Awamu ya Tano au Sita au...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Hebu tujiulize undani wa hili ‘Tishio la UGAIDI’

    Wengi wetu humu Tumeona, tunesikia na tumesoma tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uwezekano wa kutokea shambulio la ugaidi hapa nchini. Tumesikia mwitikio wa jeshi la polisi kuhusu hatua wanazochukua dhidi ya tahadhari hiyo huku wakituhakikishia usalama na ulinzi. Lakini mimi nineona hapo...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

    Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Mwandishi aliyeshikiliwa kwa tuhuma za ugaidi aachiwa huru

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya shinikizo kutoka kwa taasisi za kimataifa ikiwa ni wiki moja tangu akamatwe. Inadai kuwa mwanahabari huyo, Arlindo Chissale alinyimwa chakula alipokuwa kizuizini katika Mji wa Balama na uamuzi wa kuachiwa huru ulitokanana Jaji kuamua kuwa hakuna kesi yenye nguvu ya...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Iran yaishutumu Marekani kuwa inachochea machafuko, ugaidi

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi ametoa shutuma hizo na kudai kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden anahamasisha machafuko baada ya kifo cha Mahsa Amini, mwamnamke ambaye inadaiwa alikufa katika mikono ya Serikali ya Iran na kusababisha maandamano ambayo yanaendelea mpaka wakati huu. Raisi amesema...
  17. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine

    Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine Oct 11, 2022 02:27 UTC [https://media] Iwapo Ukraine itapanga mashambulizi zaidi ya kigaidi dhidi ya Russia, kutakuwa na jibu kubwa la kijeshi sawa na lile lililotekelezwa Jumatatu. Onyo hilo limetolewa na Rais wa Vladimir Putin wa Russia ambaye...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Polisi Tunduru wazuia mkutano wa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutokana na kuwepo matishio ya ugaidi

    Mnatuzuga
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mikoa ya Tanga, Arusha, Mwanza, Pwani na Geita ina viashiria vya Ugaidi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani. Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania EU yaidhinisha Tsh. Bil.35 kukabili ugaidi mpakani mwa Tanzania na Msumbiji

    Mkuu wa diplomasia wa EU Josep Borrell amethibitisha uungaji mkono huo ili kuimarisha ulinzi na kukabiliana na ugaidi baada ya mashambulizi kadhaa ya umwagaji damu yanayohusishwa na wanajihadi kwenye mipaka ya nchi hiyo na Tanzania. Amesema EU iliidhinisha nyongeza ya Ths. Bilioni 35.5 za...
Back
Top Bottom