Kwanini 99.9% ya waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam?

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Jun 26, 2014
788
961
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia adhabu.

Jamii ya Kiislamu itaendelea kuuthibitishia umma kwa ni jamii isiyo na hatia kwa kuongozwa na:
• Kindness
• Trustworthiness
• Unselfish generosity
• Humility
• Great manners
• Self-awareness and courage
• Integrity and benevolence


Hata hivyo bado waislam wangependa kutafiti ya kisayansi na kupitia tafiti hiyo kujustify kamata kamata ya waislam kwa tuhuma za Ugaidi kama kuna usahihi wowote au kuna chuki na ubaguzi.

Ndugu mkumbuke majibu yenu yataakishi fikra za watendaji wa serikali wenye imani sawa na imani zenu.

Iwapo maamuzi yao yanaathiriwa na imani zao binafsi walizozaliwa na mafundisho ktk majumba yenu ya ibada.

Tunataka kuone mipaka ya kisheria dhidi ya watendaji wanazofanya maamuzi kwa kuongozwa na imani yake kwa migongo wa serikali.

Wakili msomi Maledeka kwa kutumia weledi na ubobezi kaamua kuwasaidia watuhumiwa na kuuthibitishia umma kuwa kuna hatari kama taifa kutumia hisia au hasira kutaka kuwadhibiti jamii kwa kutumia sheria zenye viashiria vya ubaguzi. Na matokeo yake nguvu kazi na pesa za walipa kodi inatumika kwa matumizi yasiyo na sababu.

Wakili msomi Madeleka amejaribu kutoa rai kuhusiana yenye maslahi mapana kwa taifa. Nasikia rai hiyo kuanzia dkk ya 7 ya clip hii.


View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=YgXX61_IVXyjaAxT

Lengo la tafiti hii ni kutaka Maridhiano ya kitaifa ili kama ukamataji wa watuhumiwa uko una justification sheria hii iendelee, lkn kama kuna mapungufu basi sheria hii ifanyiwe marekebisho au ifutwe kabisa ili sheria ya uhalifu itumike kama MBADALA.

Utafiti huu tuwahusishe wadau wakuu wa kusimamia na kudhibiti ugaidi kama idara maalum ya kuzuia ugaidi, jeshi la polisi, jeshi la kimataifa (Interpol), ubalozi wa Marekani, familia zilizoathiriwa na kamata kamata.

Naomba ushirikiano wako kwa kutueleza;-

1. Je, kisheria inaruhusia kwa taasisi ya kidini kuja na utafiti wa aina hii.

2. Unaweza dondoa ni maswali gani ya kuuliza kama dodoso katika utafiti huo.

Ili utafiti uje kutuletea majibu sahihi na thabit yenye kusaidia taifa

3. Nani anaishi katika mazingira ambayo jirani zake wamekamatwa kwa makosa ya ugaidi.

4. Je ungependa kushiriki kwa namna moja ktk tafiti hii.

Karibuni kwa michango yenye nia ya kujenga kwa maslahi mapana ya taifa.

Nihitimishe kwa kusema binafsi naamini tz kuna ugaidi wa kutengenezwa. False Flag Terror.

Case study ni kesi ya watuhumiwa wa bomu arusha mwaka 2013. ambapo baada tu ya mlipuko kutokea alionekana kijana aliwa Amelia kanzu na kofia akikimbia. Wasamaria wema walimkimbiza na kumkamata, baada ilikuja fahamika anaitwa Ambrose Victor Calist. Hata hivyo haijulikana kwanini polisi walikuja kuwakama mashekhe zaidi ya 10 ambao baada ya kukaa ndani kwa miaka 10, mwaka huu wameachiwa huru kwa kuonekana hawakuhusika.

Jiulize Ambrose Victor Calist yuko wapi, kesi yake imeishaje, alitumwa na nani. Lengo lilikuwa ni kuwakamata nani.


View: https://www.scribd.com/doc/244694287/ANNUUR-1148

Makumi ya Washukiwa wa Ugaidi Waachiwa Huru Tanzania - The Chanzo
 
Mandela alikuwa ghaidi kwa macho ya makaburu, labda cha kujiuliza wanaotumia vitisho na nguvu / unyama kufanikisha mambo yao wengi wao ni Imani ipi ?

Kama kuna loophole ya kuwa-brain wash watu kwamba unyama wanaofanya ni jambo jema, nadhani cha maana ni kwa imani hio kujitenga na hao watenda unyama kwamba sio wenzao
 
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia adhabu.
Hili siyo tatizo la Tanzania pekee, bali ni la sehemu nyingi duniani na chanzo chake ni mafundisho ya kitabu husika..

MAANDIKO YA KORAN YANAYOHAMASISHA UGAIDI:

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”

“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”

“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”

“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
 
Hili siyo tatizo la Tanzania pekee, bali ni la sehemu nyingi duniani na chanzo chake ni mafundisho ya kitabu husika..

MAANDIKO YA KORAN YANAYOHAMASISHA UGAIDI:

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”

“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”

“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”

“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
Sawa hata bible ziko na aya kama hizi.

Nahitaji dondoo za maswali. Usijiondoe ktk mada kuu
 
tunaanza kwanza kutoa jina baya kabla hatujamuaa mbwa mkorofi.

Ugaidi ni silaha ya mabeberu pale mbinu nyingine zinaposhindwa kuwacolonize watu, silaha iliaanza kutumika duniani kote hasa maeneo yenye waislamu wengi hasa baada ya kufanikiwa pale middle east.

Mashariki ya kati, ilipandikizwa silaha ya ugaidi ili kumlinda Israel na maslahi ya USA kama reserve ya mafuta, Lengo ilikuwa kudestibilize ule ukanda na kuwaacha majirani wakiwa busy kutatua matatizo yao wenyewe.

HAKUNA UGAIDI DUNIANI BALI NI OPERATION ZA CIA na mabeberu wenzie kulinda maslahi yao.
Uislamu unatumika kama chambo huku ndani very deep COW BOY mwenyewe anaremote kila kitu.
 
Nahitaji dondoo za maswali. Usijiondoe ktk mada kuu
Maswali...
1. Je, kama kweli hamhusiki, kwa nini mnakubali jina la dini yenu kutumika kutambulisha makundi mengi ya kigaidi?

Kwa mfano, hapo Msumbiji kuna makundi mawili ya kigaidi, angalia majina yao sasa:
• Ansar al-Sunna
• Dola la kiislamu (Islamic State - IS)

2. Ni kwa nini magaidi wanapokuwa katika kuua na kuchinja watu hutaja jina la mungu wa dini husika yaani "Allah akbar".

3. Ni kwanini mafunzo ya ugaidi huwa yanafanywa ndani ya misikiti?

 
Mandela alikuwa ghaidi kwa macho ya makaburu..., labda cha kujiuliza wanaotumia vitisho na nguvu / unyama kufanikisha mambo yao wengi wao ni Imani ipi ?

Kama kuna loophole ya kuwa-brain wash watu kwamba unyama wanaofanya ni jambo jema, nadhani cha maana ni kwa imani hio kujitenga na hao watenda unyama kwamba sio wenzao
Mandela alikuwa havai kobazi na kilemba kichwani alitetea taifa lake. Hao wengine wanamtetea Nan?
 
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia adhabu.

Na kwamba kama ukamataji wa watuhumiwa una mapungufu bali sheria hii iendee lkn ifanyiwe marekebisho au ifutwe kabisa ili sheria ya uhalifu itumike kama MBADALA.

Utafiti huu tuwahusishe wadau wakuu wa kusimamia na kudhibiti ugaidi kama idara maalum ya kuzuia ugaidi, jeshi la polisi, jeshi la kimataifa (Interpol), ubalozi wa Marekani.

Naomba ushirikiano wako kwa kutueleza;-

1. Je, kisheria inaruhusia kwa taasisi ya kidini kuja na utafiti wa aina hii.

2. Unaweza dondoa ni maswali gani ya kuuliza kama dodoso katika utafiti huo.

Ili utafiti uje kutuletea majibu sahihi na thabit yenye kusaidia taifa

3. Nani anaishi katika mazingira ambayo jirani zake wamekamatwa kwa makosa ya ugaidi.

4. Je ungependa kushiriki kwa namna moja ktk tafiti hii.

Karibuni kwa michango yenye nia ya kujenga kwa maslahi mapana ya taifa
Kuna ndugu yangu aliuawa kanisani Olasit Arusha. Na wahusika walikuwa Waislam. Sasa sijui wao ni magaidi au ni sehemu ya ibada walikuwa wanatekeleza.

Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi kwa kweli
 
taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo

Naongeza ni kote Ulimwenguni , kwanini hii siyo kwa Tanzania, Kenya, Uganda, Mozambique tu ni duniani kote Mashariki ya Kati wenye imani hii hufanya ugaidi ndani ya Mashariki ya Kati pia kuelekea Magharibi na Kusini ya Dunia kwanini ni imani hiyo tu inaonekana bila kupepesa macho wamejikita katika ugaidi ?

Dunia imegawanyika pande mbili mashariki ya kati kuelekea ulaya na Afrika na upande wa pili India kuelekea Japan .

Case study 2017 Mauaji ya Mkuranga, wenyeji wafunguka


View: https://m.youtube.com/watch?v=OPlHDPzoIzA

Mazito wananchi wa Mkuranga wafunguka SAKATA LA MKURANGA: Mauaji ya kutisha kiongozi mwingine yatokea Mkuranga mwaka 2017.


View: https://m.youtube.com/watch?v=NBBkJzNFFnU

19 January 2023
Dar es Salaam, Tanzania

NAO VIONGOZI WA BAKWATA WAONGEA

Hata Sheikh wetu nchini Tanzania, mwanazuoni Sheikh Abuu Iddi ambaye ni Msaidizi wa Mufti wa Tanzania aliwahi kuonya juu ya dhehebu moja kuanza fitna, misuguano, kutishiana n.k dhidi la dhehebu jingine, wakati wote ni dini moja ya ki-Islamu..SHEIKH ABUU - HATARI INAKUJA TUSIPOTOA TAHADHARI KWA HAYA YANAYOENDELEASheikh Abuu Iddi ambaye ni Msaidizi wa Mufti wa Tanzania ametoa tahadhari hiyo kwa kuwa inaweza kupelekea amani kuvunjika nchini Tanzania.

Sheikh Abuu Iddi CV (wasifu) yake imesheheni nyadhifa kadha wa kadha sawia na maktaba yake binafsi iliyosheni mabuku juu ya mabuku ya elimu duniya na ilm ya dini pia ktk utumishi ulitukuka kwa dini na jamii.

Pia sheikh Abuu Iddi ni imamu mkuu msikiti wa Masjid Mnyamani Buguruni jijini Dar es Salaam. Pia kwa miaka 16 amekuwa akiendesha kipindi ktk kituo cha televisheni cha Channel Ten kutoa daawa na darsa, mratibu Al Risala Foundation, Mratibu wa Kudumisha Amani katika mkoa wa Dar es Salaam, Mwandishi wa kitabu kinachokwenda kwa jina Misingi 15 ya amani, mwandishi wa makala katika gazeti kubwa la Mwananchi pia ni Mshauri wa dini na jamii wa Mufti Mkuu wa Tanzania.

Sheikh Abuu Iddi ameelekeza tahadhari hii hususan kwa madhehebu ya Sunni Saudia na Shia linaloegamia Iran yanayo shambuliana kupitia propaganda kutoka maeneo mbalimbali ya dunia ya mitandao ya kijamii wakiongozwa na viongozi wao wa ndani na nje ya nchi kuchochea misuguano
 
Mandela alikuwa ghaidi kwa macho ya makaburu..., labda cha kujiuliza wanaotumia vitisho na nguvu / unyama kufanikisha mambo yao wengi wao ni Imani ipi ?

Kama kuna loophole ya kuwa-brain wash watu kwamba unyama wanaofanya ni jambo jema, nadhani cha maana ni kwa imani hio kujitenga na hao watenda unyama kwamba sio wenzao
Mandela ni hiyo 0.01%
 
Imani hii kupitia social media, forum za mitandao ya kijamii za wazi na siri pamoja na gaming apps wanawarubuni watu wa imani yao kufanya ugaidi kwa visingizio kibao.

Imani hii huwalenga watu kama waraibu wa madawa ya kulevya, watoto katika vituo vya mayatima au wasiona uwezo kiuchumi, raia wenye mtindio wa akili kuwarubini kutekeleza ugaidi

Nini kifanyike? Taasisi za kidini, familia zenye watu wenye uraibu wa madawa ya kulevya washirikiane na serikali ili ndugu zao wawekwe kwenye nyumba sahihi za sober House pia wale watakaogundulika na matatizo ya afya ya akili wapatiwe huduma za kiafya kabla hawajaingia katika mikono ya watu waovu magaidi watakaotaka kuwatumia watekekeze uovu.

taasisi za dini zilizoazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali zijikite
  • Kubaini wanaoshiriki kurubuni ili kuzuia tendo la kigaidi lisitokee
  • Taasisi za kidini kubaini na kuwalinda wale wanaolengwa kurubuniwa kujiunga na ugaidi
  • Viongozi wa kidini ni watu wa mwanzo kabisa wa kuweza kubaini watu wenye mrengo wa kurubuni katika jamii yao
  • Taasisi za kidini viongozi wao wote wapelekwe kwenye mafunzo chuo cha ulinzi wa taifa
  • Viongozi wa kidini kuwa macho na kuripoti serikalini vitendo vinavyoashiria uwepo wa baadhi ya waumini wao wenye mirengo ya hatari
Jinsi ya Kubaini watu wenye misimamo mikali inayoenda kinyume na utaifa wa Tanzania.

Watu hao hupaza sauti kupinga umoja wa kitaifa kwa kupanda mbegu za wale wao na sisi sisi. Hawana uvumilivu wa tofauti za kiimani zilizomo ndani ya taifa.

Watu hao huandika makala ya kufifisha uwezo wa ulinzi na kiusalama wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama mfano kuingiza ushawishi wa kiimani katika jeshi la ulinzi hivyo kushiriki katika kuhatarisha ulinzi wa mipaka na usalama wa ndani wa nchi .

Watu hao wenye misimamo mikali ya kiimani nchini Tanzania huchekelea pale mtumishi wa vyombo vya ulinzi anapopoteza maisha kwa kushambuliwa na mtu wa imani yao.

Watu hawa huwa wamekulia katika mazingira ya ukatili, upweke, familia zilizovunjika, wahalifu wanaodai wameongoka, makundi waliyopo yanawapa mbinyo watende vitendo viovu waweze kukubalika ndani ya kundi lao dogo la watu wachache, hawajiamini siku zote kulaumu wengine ...

Watu hao huapa na kula yamini kushirikiana na watu wa nje wa imani yake kuidhoofisha Tanzania kwa kila namna ikiwemo kuwakataza waumini wao kujiunga ktk vyombo vya ulinzi na usalama, kuleta ushawishi wa utengano kwa kufuata imani ktk vyombo vya ulinzi na usalama.

Watu hao hawalali kwa kupakua, kusambaza na kuchapisha makala ya kuchochea migongano ya kiimani .

Mohamed Abubakar anaonesha ni mtu anayehitaji msaada wa kuelimishwa na viongozi wa imani yake. Anaonesha dalili na chembechembe za kurubuniwa kwa kufahamu au kutofahamu.

Ni muda sahihi wa utafiti huo kuwalenga watu kama Mohamed Abubakar na kuwapa msaada sahihi wanaostahili ili asiendelee kutumbukia katika shimo la msimamo potofu.

Tuendelee kumsoma na kumpa nasaha sahihi za kuweza kumsaidia aweze kuzinduka kutoka kurubuniwa na watu wachache waovu wavunja nchi ili asishiriki katika dhambi hii ya kuvunja taifa.
 
Back
Top Bottom