ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Ulanguzi wa Silaha: Serkali ya Marekani imemfungulia kesi Mtanzania Subiro Osmand Mwapinga kwa ulanguzi wa silaha kwa makundi ya ugaidi na uasi dunia

    BBC News, Swahili Ruka hadi maelezo Yaliyomo HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio Moja kwa moja, Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF STORY TIME: Ugaidi katika Westgate; Moja ya Siku ya Giza zaidi jijini Nairobi

    Jumamosi yenye shughuli nyingi, Septemba 21, 2013, Mall ya Westgate lilikuwa imeshamili wanunuzi, familia, marafiki, na wafanyakazi. Majira ya saa 12:30 jioni, watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Kisomali al-Shabaab walivamia jumba hilo la maduka...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  4. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Boniface Mwangi aondolewa mashitaka ya ugaidi, sasa akabiliwa na kosa la kumiliki risasi kinyume cha sheria

    Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria. Mwangi, ambaye ameachiwa kwa dhamana, awali alishtakiwa kwa kusaidia shughuli za kigaidi kufuatia...
  5. DeepPond

    JamiiForums Tanzania FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

    Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na...
  6. Logikos

    JamiiForums Tanzania Historia ya Ugaidi

    Kwanza kabisa inabidi tukumbushane Msemo mmoja; One man's Terrorist is another man's Freedom Fighter" Kwa muktadha huo tunaweza kusema huenda ugaidi ulianza tangia enzi na enzi, ikiwa tu mtu anatumia vitisho ili kupata anachokitaka, bila kujali kama anachokitaka ni Haki yake... Ugaidi umekuwa...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Abacha kwa Ken Saro Wiwa ndicho anachofanya Samia kwa Tundu Lissu. Wanigeria waliona sawa enzi zile leo ni kitovu cha Ugaidi na Ufisadi.

    Hakuna jipya chini ya jua. Huu ni msemo maarufu sana unaomaanisha hakuna kitu kinachofanyika leo duniani kwenye maisha ya kawaida ya binadamu ambacho ni kipya. Miaka ya 1990- 1997 nchini Nigeria alitokea Dikteta maarufu sana Duniani aliyejulikana kama Generali Sani Abacha. Kiongozi huyu wa...
  8. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania: Je Ni Ugaidi au Udikteta?

    Kwa kuwa polisi hawahusiki, maoni yangu Utekaji huu ni Ugaidi. Wenzangu mnasemaje? Kitengo cha kupambana na Ugaidi kimekwama?
  9. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Freeman Mbowe alikaa gerezani wakati wa ile kesi yake ya ugaidi?

    Nimeanza kupata mashaka sana na sarakasi za huyu 'mpambanaji'. Alikuwa anapambania tumbo lake. Ni kweli alikaa gerezani kipindi kile?
  10. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Wafadhili wakuu wa Ugaidi duniani Qatar watoa salamu za pole kwa Taifa la Israel baada ya wafanyakazi wake kuuliwa kwa Ugaidi wa Kipalestina nchin USA

    Qatar condemns killing of Israeli embassy staffers in Washington Qatar Munafiq, mfadhri mkuu wa magaidi duniani ambaye pia ni ndumilakuwili chui mwenye ngozi ya kondoo, inalaani mauaji ya wafanyakazi wawili wa ubalozi wa Israel mjini Washington - ambayo yalifanywa na mtu mwenye silaha ambaye...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kanali Hassan al-Qudra, ambaye aliongoza kitengo cha Ugaidi cha Hamas ameangamizwa!!

    Ameangamizwa ❌ Shambulio la anga la Israel usiku wa kuamkia leo limemwangamiza Kanali Hassan al-Qudra, ambaye aliongoza kitengo cha "ANTI-TERROR" cha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Hamas, alipokuwa amelala kwenye hema lake.
  12. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je Kupotea kwa watu tanzania ni Ugaidi au siyo Ugaidi??

    Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi.
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mpiganaji wa Hamas afariki na mwingine akamatwa baada ya kuviziwa wakisafirisha silaha

    Maafisa wa polisi wa kitengo cha wasomi cha Gideons cha Lahav 433, chini ya uongozi wa Shabak, walimkamata mpiganaji wa Jihadi aliyekuwa na silaha nzito huko Qalqilya ambaye alikuwa akielekea kutekeleza shambulio kubwa la kigaidi. Bunduki tatu za M-16 zilipatikana kwenye gari lake. Magaidi...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mtafuta hifadhi afungwa jela kwa kutukuza ugaidi

    Mtafuta hifadhi afungwa jela kwa kutukuza ugaidi. Muislamu mwenye msimamo mkali ambaye aliwasili nchini Uingereza akiomba hifadhi amefungwa jela kwa kuunga mkono kundi la kigaidi la Islamic State. Raia wa Uturuki Hakan Barac, 28, wa Commercial Road, Newport, alichapisha video kwenye mitandao...
  15. Mwislam by choice

    JamiiForums Tanzania Marekani mfadhiri mkuu wa ugaidi duniani

    Mzungumzaji Mbali na usafirishaji wa pesa taslimu kila wiki hadi kila siku 10 wa dola milioni 40 hadi 80. Afghanistan inatawaliwa na watu wanaoitwa Sara Yudin-Hakani. Mtandao wa Hakani unamaanisha chochote kwa mtu yeyote humu ndani? Vipi kuhusu Abdulla bin Laden? Nani anapata sehemu ya pesa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi

    Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi. Mbunge wa Afrika Kusini Duduzile Zuma-Sambudla ameshutumiwa kwa kuchochea ghasia na mauaji katika ghasia za Julai 2021 zilizoua zaidi ya watu 350. Zuma-Sambulida alifika ana kwa ana mbele ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Umoja wa nchi za sahel kuwa na kikosi cha pamoja kupambana na ugaidi

    Niger, Mali na Burkina Faso ambazo zinaunda umoja wa nchi za Sahel ( AES) zinatarajia kuanzisha kikosi cha pamoja ili kupambana na magaidi. Hayo yalibainishwa na waziri wa Ulinzi wa Niger Jenerali Salifou Modi mnamo tarehe 21 Januari 2025 wakati wa mahojiano yaliyorushwa na Televisheni ya Taifa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa is katika eneo la sahara wakamatwa

    Jeshi la Mali limethibitisha kuwakamata viongozi wakuu wa tawi la IS katika eneo la Sahara . Viongozi wa tawi hilo lijulikanalo kama Islamic State in Greater Sahala ( EIGS kwa Kifaransa)walikamatwa kufuatia operesheni ya kijeshi iliyofanyika mnamo Januari 3 2025 katika eneo la Amasarakad...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Gaidi lililokua na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu lafanya ugaidi Marekani

    Gaidi lenyewe linaitwa Shamsud-Din Jabbar limegonga watu na gari huku likiwa na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu, na humo kwenye gari kulikua na mabomu na silaha zingine. Aisei Marekani wavune tu walichokipanda kwa kuruhusu haya mazombi yahamie huko na kuanza kuzaliana. Mimi kwa kweli hata...
  20. Bams

    JamiiForums Tanzania Wito: Rais Samia Toa Maelekezo ya Kumfukuza Anayetajwa Mwalimu na Mhamasishaji wa Ugaidi, Ili Kuokoa Tanzania ya Kesho

    Kila jambo baya lilikuwa na mwanzo mdogo, lakini wahusika hawakuushughulikia mwanzo, na baadaye wakaangamia au wakalazimika kutumia gharama kubwa kuokoa Taifa au jamii yao. Tanzania hii ya leo, pamoja na matatizo mengi tuliyo nayo, umoja wetu usiozingatia dini, kabila au eneo mtu atokalo ni...
Back
Top Bottom