Udhaifu wa hoja kwamba Hamza alitekeleza mauaji kwa sababu alidhulumiwa na polisi

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,065
27,001
Kuna watu mitandaoni wanadai ya kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu ya kulipa kisasi baada ya kudhulumiwa madini yenye thamani kubwa siku Chache kabla ya tukio...

Kwa wafanya biashara ya madini wanajua kwamba mfanya biashara ya madini anapo enda kuuza madini yenye thamani kubwa iwe ni kwenye soko halali au kwenye black market huwa anakuwaga heaveily armed au at least anakuwa armed..

So kwa vyovyote vile Kama Hamza alienda kuuza hayo madini kweli maana yake na yeye alikuwa na silaha .

Sasa basi hivi kwa ukakamavu na ujasiri alio uonyesha Hamza siku ya tukio unadhani angeweza kukubali kudhulumiwa madini yake kiboya kweli?

Mtu mwenye ujasiri wa kuwafuata Askari POLISI kwenye kibanda Chao na kuwaua kwa risasi Kisha kuchukua silaha zao na kuendelea kutamba nazo huku akitafuta Askari wengine , unadhani anaweza kupeleka madini yake mahali kuuza akadhulumiwa halafu eti aondoke bila kufanya Jambo lolote wakati ana silaha ya Moto?

Nope isinge wezekana hata kidogo. Angekufa na watu wengi siku hiyo hiyo na kila kitu kingekuwa wazi.

Nilicho gundua kuhusu watanzania wengi ni kwamba you people are a poor judges of character.

Kusema kwamba eti Hamza ALIDHULUMIWA madini yake siku kadhaa kabla ya tukio ni kumkosea heshima Hamza.

Kwa ujasiri alio uonyesha siku ya tukio isingewezekana hata kidogo kudhulumiwa bila yeye kufa na watu saa hiyo hiyo wakati ana dhulumiwa.

Kusema Hamza ALIDHULUMIWA madini siku Chache kabla ya tukio ni kumdhalilisha Hamza.

Nadharia ya Kamanda Siro na jeshi la POLISI kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu za kigaidi Ina make a lot of sense.

Oooh alikuwa mtu mzuri alikuwa anatoa misaada.. kwani nani alikwambia gaidi huwa anajionyesha mtaani ?

Hawa magaidi huwa wanaishi double life. Hata Osama Bin Laden alikuwa mtu mzuri Sana katika jamii inayo mzunguka tena alikuwa shabiki mzuri Sana wa Arsenal.

Ugaidi ni ideology sio personality.

Mtu anaweza kuwa mwema kabisa katika mambo mengine lakini ndani yake ana agenda ya ugaidi.

Oooh alikuwa mfanya biashara wa madini anamiliki mgodi ...

Hivi Alie kwambia magaidi wanakuwaga masikini wasio na shughuli za kufanya nani?

Ma expert wa anti terrorism duniani kote wanajua kwamba magaidi huwa na mitandao mikubwa na huwa na watu wanao wafadhili kipesa nk.

Hivi unadhani Osama na Al Qaeda walikuwa wanapata wapi pesa za kufanya operations zao?

Acheni kuwaza Kama watoto wadogo.
 
Haya mmeshamuua. Inatosha! Ila mkae mkijua watanzania sio wajinga, wanaona na wanaelewa Kila mnalofanya ni vile tu Kama Bwana samaki, anamengi yakuongea tatizo maji yanayomzunguka!

Upelelezi wa mtu aliyekufa haujachukua siku kumi, upelelezi wa mtu aliyeshonwa risasi za kutosha toka 2017 mpaka leo September 2021 haujakamilika.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna watu mitandaoni wanadai ya kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu ya kulipa kisasi baada ya kudhulumiwa madini yenye thamani kubwa siku Chache kabla ya tukio.

Kwa wafanya biashara ya madini wanajua kwamba mfanya biashara ya madini anapo enda kuuza madini yenye thamani kubwa iwe ni kwenye soko halali au kwenye black market huwa anakuwaga heaveily armed au at least anakuwa armed..

So kwa vyovyote vile Kama Hamza alienda kuuza hayo madini kweli maana yake na yeye alikuwa na silaha .

Sasa basi hivi kwa ukakamavu na ujasiri alio uonyesha Hamza siku ha tukio unadhani angeweza kukubali kudhulumiwa madini yake kiboya kweli?

Nope isinge wezekana hata kidogo. Angekufa na watu wengi siku hiyo hiyo.

Kusema Hamza ALIDHULUMIWA madini siku Chache kabla ya tukio ni kumdhalilisha Hamza.

Nadharia ya Kamanda Siro na jeshi la POLISI kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu za kigaidi Ina make a lot of sense.

Oooh alikuwa mtu mzuri alikuwa anatoa misaada.. kwani nani alikwambia gaidi huwa anajionyesha mtaani nani?

Hawa magaidi huwa wanaishi double life. Hata Osama Bin Laden alikuwa mtu mzuri Sana katika jamii inayo mzunguka tena alikuwa shabiki mzuri Sana wa Arsenal.

Ugaidi ni ideology sio personality.

Mtu anaweza kuwa mwema kabisa katika mambo mengine lakini ndani yake ana agenda ya ugaidi.

Oooh alikuwa mfanya biashara wa madini anamiliki mgodi.

Hivi Alie kwambia magaidi wanakuwaga masikini wasio na shughuli za kufanya nani?

Ma expert wa anti terrorism duniani kote wanajua kwamba magaidi huwa na mitandao mikubwa na huwa na watu wanao wafadhili kipesa nk.

Hivi unadhani Osama na Al Qaeda walikuwa wanapata wapi pesa za kufanya operations zao?

Acheni kuwaza Kama watoto wadogo.
We jamaa naikumbuka ile thread yako ya GNLD na Forever living, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, ilikuwa ya maana sana, long time agooo
 
Haya mmeshamuua. Inatosha! Ila mkae mkijua watanzania sio wajinga, wanaona na wanaelewa Kila mnalofanya ni vile tu Kama Bwana samaki, anamengi yakuongea tatizo maji yanayomzunguka!

Upelelezi wa mtu aliyekufa haujachukua siku kumi, upelelezi wa mtu aliyeshonwa risasi za kutosha toka 2017 mpaka leo September 2021 haujakamilika.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Watanzania bana
 
Kuna watu mitandaoni wanadai ya kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu ya kulipa kisasi baada ya kudhulumiwa madini yenye thamani kubwa siku Chache kabla ya tukio...

Kwa wafanya biashara ya madini wanajua kwamba mfanya biashara ya madini anapo enda kuuza madini yenye thamani kubwa iwe ni kwenye soko halali au kwenye black market huwa anakuwaga heaveily armed au at least anakuwa armed..

So kwa vyovyote vile Kama Hamza alienda kuuza hayo madini kweli maana yake na yeye alikuwa na silaha .

Sasa basi hivi kwa ukakamavu na ujasiri alio uonyesha Hamza siku ya tukio unadhani angeweza kukubali kudhulumiwa madini yake kiboya kweli?

Mtu mwenye ujasiri wa kuwafuata Askari POLISI kwenye kibanda Chao na kuwaua kwa risasi Kisha kuchukua silaha zao na kuendelea kutamba nazo huku akitafuta Askari wengine , unadhani anaweza kupeleka madini yake mahali kuuza akadhulumiwa halafu eti aondoke bila kufanya Jambo lolote wakati ana silaha ya Moto?

Nope isinge wezekana hata kidogo. Angekufa na watu wengi siku hiyo hiyo na kila kitu kingekuwa wazi.

Nilicho gundua kuhusu watanzania wengi ni kwamba you people are a poor judges of character.

Kusema kwamba eti Hamza ALIDHULUMIWA madini yake siku kadhaa kabla ya tukio ni kumkosea heshima Hamza.

Kwa ujasiri alio uonyesha siku ya tukio isingewezekana hata kidogo kudhulumiwa bila yeye kufa na watu saa hiyo hiyo wakati ana dhulumiwa.

Kusema Hamza ALIDHULUMIWA madini siku Chache kabla ya tukio ni kumdhalilisha Hamza.

Nadharia ya Kamanda Siro na jeshi la POLISI kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu za kigaidi Ina make a lot of sense.

Oooh alikuwa mtu mzuri alikuwa anatoa misaada.. kwani nani alikwambia gaidi huwa anajionyesha mtaani ?

Hawa magaidi huwa wanaishi double life. Hata Osama Bin Laden alikuwa mtu mzuri Sana katika jamii inayo mzunguka tena alikuwa shabiki mzuri Sana wa Arsenal.

Ugaidi ni ideology sio personality.

Mtu anaweza kuwa mwema kabisa katika mambo mengine lakini ndani yake ana agenda ya ugaidi.

Oooh alikuwa mfanya biashara wa madini anamiliki mgodi ...

Hivi Alie kwambia magaidi wanakuwaga masikini wasio na shughuli za kufanya nani?

Ma expert wa anti terrorism duniani kote wanajua kwamba magaidi huwa na mitandao mikubwa na huwa na watu wanao wafadhili kipesa nk.

Hivi unadhani Osama na Al Qaeda walikuwa wanapata wapi pesa za kufanya operations zao?

Acheni kuwaza Kama watoto
 
Nadhani hii chapta ingefungwa kwani kila ikijadiliwa inaleta maswali zaidi kuliko majibu, polisi wameshatoa ripoti yao na kwa kuwa hakuna wa kumhoji habari zote zimepatikana kutoka kwa watu waliyokaribu na mtekelezaji wa tukio na mauaji. Hii hali si nzuri katika usalama wa nchi, kwani huko nyuma tuliona mwanasiasa akishambuliwa kwa risasi, leo hii tunaona polisi wanashambuliwa kwa risasi hatujui ni nani tena watakuwa walengwa wa kuuliwa kwa hali isiyoeleweka.
 
Kuna watu mitandaoni wanadai ya kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu ya kulipa kisasi baada ya kudhulumiwa madini yenye thamani kubwa siku Chache kabla ya tukio...

Kwa wafanya biashara ya madini wanajua kwamba mfanya biashara ya madini anapo enda kuuza madini yenye thamani kubwa iwe ni kwenye soko halali au kwenye black market huwa anakuwaga heaveily armed au at least anakuwa armed..

So kwa vyovyote vile Kama Hamza alienda kuuza hayo madini kweli maana yake na yeye alikuwa na silaha .

Sasa basi hivi kwa ukakamavu na ujasiri alio uonyesha Hamza siku ya tukio unadhani angeweza kukubali kudhulumiwa madini yake kiboya kweli?

Mtu mwenye ujasiri wa kuwafuata Askari POLISI kwenye kibanda Chao na kuwaua kwa risasi Kisha kuchukua silaha zao na kuendelea kutamba nazo huku akitafuta Askari wengine , unadhani anaweza kupeleka madini yake mahali kuuza akadhulumiwa halafu eti aondoke bila kufanya Jambo lolote wakati ana silaha ya Moto?

Nope isinge wezekana hata kidogo. Angekufa na watu wengi siku hiyo hiyo na kila kitu kingekuwa wazi.

Nilicho gundua kuhusu watanzania wengi ni kwamba you people are a poor judges of character.

Kusema kwamba eti Hamza ALIDHULUMIWA madini yake siku kadhaa kabla ya tukio ni kumkosea heshima Hamza.

Kwa ujasiri alio uonyesha siku ya tukio isingewezekana hata kidogo kudhulumiwa bila yeye kufa na watu saa hiyo hiyo wakati ana dhulumiwa.

Kusema Hamza ALIDHULUMIWA madini siku Chache kabla ya tukio ni kumdhalilisha Hamza.

Nadharia ya Kamanda Siro na jeshi la POLISI kwamba Hamza alifanya alicho kifanya kwa sababu za kigaidi Ina make a lot of sense.

Oooh alikuwa mtu mzuri alikuwa anatoa misaada.. kwani nani alikwambia gaidi huwa anajionyesha mtaani ?

Hawa magaidi huwa wanaishi double life. Hata Osama Bin Laden alikuwa mtu mzuri Sana katika jamii inayo mzunguka tena alikuwa shabiki mzuri Sana wa Arsenal.

Ugaidi ni ideology sio personality.

Mtu anaweza kuwa mwema kabisa katika mambo mengine lakini ndani yake ana agenda ya ugaidi.

Oooh alikuwa mfanya biashara wa madini anamiliki mgodi ...

Hivi Alie kwambia magaidi wanakuwaga masikini wasio na shughuli za kufanya nani?

Ma expert wa anti terrorism duniani kote wanajua kwamba magaidi huwa na mitandao mikubwa na huwa na watu wanao wafadhili kipesa nk.

Hivi unadhani Osama na Al Qaeda walikuwa wanapata wapi pesa za kufanya operations zao?

Acheni kuwaza Kama watoto wadogo.
Hayo ni maoni yako ukiunga mkono nadharia ya polisi, unalo la kuongezea?
 
Mkuu hakuna ushahidi kua hamza alidhulumiwa madini na polisi.

Walioanzisha hii kampeni ni washirika wa hamza ama magaidi wenzake ambao walijaribu ku divert attention kutoka kwa ugaidi wa hamza kwenda polisi, inaitwa blame shifting.

Hii ni kampeni mahausi iliyopangwa na magaidi wenzake na hamza ili kuondoa ama ku divert ile gravity ya ugaidi.

Nakuhakikishia tukio kama la hamza litatokea iwapo polisi hawatawadhibiti hawa wafuasi wa hamza gaidi.

Hamza ni gaidi na ameonekana kwenye clip akisema mwenyewe anampigania allah. Sasa nadhani atakua amezungukwa na mabikra 72 anawapelekea moto tu bila kuchoka kama alivyoahidiwa.
 
Yes

Clip ipo na hata hapa hapa jf Kuna mdau Ali ipost.
 
Wengi wanaomtetea Ni waislam ama chadema
 
Yes

Clip ipo na hata hapa hapa jf Kuna mdau Ali ipost.
Mimi niko nayo kwenye laptop yangu na hata hapa kwenye simu yangu niko nayo.

Mimi hua sio mtu wa kuamini tu jambo bila kulifanyia uchunguzi wangu binafsi kutokana na ujuzi wangu.

Hi video niliifanyia digital enhancement kujiridhisha iwapo ni staged ama ni un staged, nikajirishisha kabisa kwamba ile video ni real na yule mtu alisema yale maneno mwenyewe, yanatoka kinywani mwake huku akijipiga piga kifua na kunyoosha mikono juu.

Hao wanaopiga kelele kwamba alidhulumiwa ni kikundi cha kigaidi wenzake na gaidi hamza. Hii kampeni ilikua inaenda kufanikiwa tushukuru kupatikana kwa hii video ya awali ndio ilikuja kuhitimisha kwamba jamaa ni gaidi.
 
His words were as violent as his actions...
 
Mkuu hakuna ushahidi kua hamza alidhulumiwa madini na polisi.

Walioanzisha hii kampeni ni washirika wa hamza ama magaidi wenzake ambao walijaribu ku divert attention kutoka kwa ugaidi wa hamza kwenda polisi, inaitwa blame shifting.

Hii ni kampeni mahausi iliyopangwa na magaidi wenzake na hamza ili kuondoa ama ku divert ile gravity ya ugaidi.

Nakuhakikishia tukio kama la hamza litatokea iwapo polisi hawatawadhibiti hawa wafuasi wa hamza gaidi.

Hamza ni gaidi na ameonekana kwenye clip akisema mwenyewe anampigania allah. Sasa nadhani atakua amezungukwa na mabikra 72 anawapelekea moto tu bila kuchoka kama alivyoahidiwa.
Ngoja nirudie kuitazama ile clip ikiwa Kuna sehemu kataja Allah.
 
Mkuu hakuna ushahidi kua hamza alidhulumiwa madini na polisi.

Walioanzisha hii kampeni ni washirika wa hamza ama magaidi wenzake ambao walijaribu ku divert attention kutoka kwa ugaidi wa hamza kwenda polisi, inaitwa blame shifting.

Hii ni kampeni mahausi iliyopangwa na magaidi wenzake na hamza ili kuondoa ama ku divert ile gravity ya ugaidi.

Nakuhakikishia tukio kama la hamza litatokea iwapo polisi hawatawadhibiti hawa wafuasi wa hamza gaidi.

Hamza ni gaidi na ameonekana kwenye clip akisema mwenyewe anampigania allah. Sasa nadhani atakua amezungukwa na mabikra 72 anawapelekea moto tu bila kuchoka kama alivyoahidiwa.
Huku kwetu mtu akikudhurumu unapambana nae.. Akiwa na nguvu kubwa dhidi yako unamkaanga kwa albadir ..nyinyi endeleeni kugeuziana mashavu tu, akikupiga la kushoto....
 
Back
Top Bottom