ufugaji wa kuku

  1. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Kutumia Umeme (Badala ya Mkaa) Kutakuongezea Uzalishaji na Faida Kwenye Ufugaji wa Kuku

    Mwaka 2023 nilipoanza kufuga kuku, kuna swali moja lililokuwa linanisumbua sana nitumie mkaa au umeme kuwapatia joto vifaranga? Mwanzoni nilidhani ni changamoto yangu binafsi. Lakini nilivyoanza kuzungumza na wafugaji wengine, niligundua haraka kuwa si mimi pekee niliyekuwa kwenye mkanganyiko...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    1. Askofu Josephat Gwajima- Kawe 2. Luhaga Mpina- Kisesa 3. Mrisho Gambo- Arusha Mjini 4. Prof. Ndakidemi- Moshi Vijijini 5. Dr Charles Kimei - Vunjo 6. Mwita waitara - Tarime Vijijini 7. Priscus Tarimo - Moshi Mjini 8. Godwin Mollel - Siha 9. January Makamba - Bumbuli
  3. king kidalu

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya namna ya ufugaji wa kuku,changamoto na magonjwa

    Weka namba ya whatsapp nikutumie kitabu cha Utengenezaji wa incubator kwa njia ya kienyeji namna ya kutotolesha vifaranga nyumbani kwako Kwa kutumia plastic au box na vifaa vingine vinavyopatikana nyumbani kwako **Tutakutumia kitabu Kwa njia ya Whatsapp namna ya kutengeneza kitotolesha...
  4. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  5. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  6. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania 🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  7. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Uongo wa kutisha wafugaji hudanganyana kuhusu ufugaji wa kuku (3 itakuvunja mbavu)

    1.Kuku wa nyama (broilers) ni GMO🧬 au wamechomwa homoni!💉: Wengi wanadhani kuku wa nyama (Broiler) wametengenezwa maabara au wanachomwa hormone zinazowafanya waongezeke uzito ndani ya muda mfupi lakini SI KWELI ! Ukuaji wao wa haraka unatokana na uchaguzi wa vizazi bora (selective breeding) kwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Dawa gani inafaa hawa kuku wa mayai?

    Nina kuku wa mayai zaidii ya 800+.. lakini Kwa Sasa wanashambuliwa na ugonjwaa wakuharaa kinyesi cha njano na cheupee nimetumia dawa za kutosha, ushaurii kutoka Kwa wataalamu lakin wapii sijaona mabadili. Nimekuja hapa jukwaani naomba msaada Kwa yeyote mwenye njia nyingne mbadalaa namaansha...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki au Ufugaji wa Kuku: Nini Kina faida Zaidi?

    Kuchagua kati ya ufugaji wa samaki na ufugaji wa kuku inaweza kuwa ngumu kwa sababu zote zina uwezo wa kuwa na faida kubwa. Lakini unaamuaje? Huu hapa ni muhtasari wa haraka wa kukusaidia: Ufugaji wa kuku: Faida: Ukuaji wa haraka (broilers ni tayari katika wiki 5-6), mahitaji makubwa ya nyama...
  10. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Kuku ukiwafuga kwa matumizi ya Nyumbani hawapati shida yoyote ila ukiwageuza tu kuwa Business Project kila kitu hugeuka

    Habarini ndugu, Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula cha maana zaidi ya mabaki ya ugali na maharage muda mwingine hawaingii hata bandani wanalala nje ila...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku umerahisishwa siku hizi

    Ushauri kwa wafugaji wenzangu mliopo humu Kuna App ya ufugaji itakusaidia mambo kadhaa. Itakusaidia katika ufugaji wako. 1. kuandaa fomula za vyakula vya kuku kwa kiasi utakacho na kuku wa umri na aina zote 2. Itakupa uwezo wa kupiga hesabu za makadirio ya ulaji wa kuku wako kwa kipindi fulani...
  12. Brigadier Isaac

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naomba kuelekezwa kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Habari za jioni , poleni na mahangaiko ya kutafuta riziki Kama kichwa Cha habari juu kinavyojieleza hapo juu. Mimi binafsi nilikuwa na Wazo la kuanza kufuga kuku hawa wamayai kwa ajili ya biashara Binafsi mawazo yangu ni kuanza na vifaranga sitini haya ni mawazo tu Sina experience yoyote na...
  13. ramadhan ndonja

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata elimu kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Nahitaji kufuga kuku wa kienyeji lakini nahitaji kujua changamoto ambazo huwa zinajitokeza na namna ya kuziepuka.
  14. Mfugaji123

    JamiiForums Tanzania Mradi Ufugaji wa Kuku wa Mayai

    Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost) na hivyo kuweza kufaidika na soko kwa kuuza kwa bei shindani na pia kufaidika na economic of scales...
  15. Jr Simeo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa. Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
  16. MKAMA SIMON

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Habari wakuu naomba mwenye viranga vya kuku wa kienyeji anaeuza tuwasiliane ,niko Mwanza.
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku saso na ufugaji wa nguruwe

    wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani. NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
  18. Manchid

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

    Kumekuwa na kasumba juu ya swala Zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji kuonekana kama ni swala lisilowezekana yaani kufuga kuku wa kienyeji mpaka kufikia idadi kubwa yani 1000, 2000 au hata 3000 Baada ya majaribio kadhaa ya kufuga hawa kuku sasa rasmi nmeingia kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji...
  19. thisisboman1

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

    Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara. VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia ufugaji wenye tija. Mimi nafuga mradi unajiendesha nimezingatia eneo la uwekezaji na namna Bora ya...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Business plan ya ufugaji wa kuku

    1. KUKU WA KISASA WA MAYAI 2. KUKU WA NYAMA 3. KUKU WA KIENYEJI Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka taarifa zote za fedha. Unaweza kuitumia unapoandaa mchanganuo wako wa kuombea pesa mahali au kuendeshea...
Back
Top Bottom