ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Mwanamke mmoja ametapeliwa mamilioni ya pesa baada kumuacha mume ili aoane na mtu aliejifanya kama Brad Pitt mtandaoni

    Mwanamke mmoja Mfaransa alitapeliwa zaidi ya $800K na mtu aliyejifanya kuwa Brad Pitt. Walikutana na tapeli huyo Instagram na kumshawishi kwa video na picha zilizohaririwa na kuzalishwa na AI Tapeli huyo alimshawishi kuwa akaunti zake za benki zilifungwa kwa sababu ya talaka yake na Angelina...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron adai viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amedai kwamba viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani. Macron aliyasema maneno hayo mnamo tarehe 6 January 2025 wakati akiwahutubia wanadiplomasia wa Ufaransa wanaoiwakilisha nchi hiyo katika nchi mbalimbali. Macron alisema kwamba mfano viongozi wa nchi za...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Jeshi la ufaransa lafanya mashambulizi makubwa kwa kutumia makombora ya masafa marefu syria wakilenga waasi wa Dola la Kiislamu

    Wadau hamjamboni nyote? Msako magaidi duniani kote unaendelea Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 France says it carried out missile strikes against Islamic State in Syria By Reuters Today, 12:19 pm France carried out missile strikes in Syria, targeting Islamic State...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Dereva wa treni ajirusha nje wakati anaendesha, watu 400 wanusurika kufa

    Wakuu, Abiria 400 wa Treni nchini Ufaransa wamenusurika kifo baada ya dereva wa Treni kujirusha huku treni ikiwa kwenye mwendo kasi siku ya December 25,2024 . Mamlaka ya reli Ufaransa imesema kuwa Dereva huyo aliyefahamika kwa jina la Bruno Rejony (52) mwenye uzoefu wa muda mrefu kwenye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tbt: Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu ya nyuklia nchini Algeria. Je wajua?

    Kati ya mwaka 1960 hadi 1966, Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu ya Nyuklia nchini Algeria katika maeneo mbalimbali ya jangwa la Sahara. Ufaransa ilifanya majaribio haya kwenye maeneo ambayo "walikodishwa" na Algeria kupitia mikataba iliyosainiwa kati ya Algeria na Ufaransa Ili kusitisha vita...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Akiri kuahidiwa kiasi cha euro 50000 ( zaidi ya milioni 124 za tz) na ufaransa ili kufanya vitendo vya ugaidi nchini Niger

    Katika hali iliyoshtua wengi, raia wa Algeria aitwaye Mohammed Amine Aissaoui mwenye umri wa miaka 35, amekiri kwamba aliahidiwa kiasi cha Euro 50000 sawa na zaidi ya Shilingi Milioni 124 za Tz ili akafanye vitendo vya ugaidi nchini Niger. Mohammed ambaye miongoni mwa raia wa Algeria...
  8. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Olimpiki (TOC) wamuita Alphonce Simbu MUASI, kisa Mavazi ya mbio za Olimpiki Paris, Ufaransa

    Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mstari wa mbele kuhamasisha na kukuza Michezo Tanzania ukiwemo wa riadha , ila kuna Vizee vilivyopo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania (Tanzania Olimpic Committee ~ TOC) vinaendekeza hila na uzandiki wa kufikia kumuita mwanariadha wa kimataifa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Ufaransa yapoteza udhibiti mwingine wa mgodi wa Uranium nchini Niger

    Kampuni ya Orano ya nchini Ufaransa imepoteza udhibiti wa mgodi wa Uranium wa Airlit wa nchini Niger uliokuwa ukiendeshwa na Kampuni tanzu ya Orano iitwayo Somair. Orano ambayo ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Ufaransa, ilikuwa inamiliki asilimia 63.4 ya hisa za Somair huku serikali ya...
  10. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Kwanni Trump ameenda Ufaransa wakati hajala kiapo?

    Nimeona beberu Trump yupo kwenye ikulu ya ufaransa wanagonga mvinyo na kina macron na zelewensk Kwanni wanamruhusu huyu mtu kufanya vikao wakati Biden hajakabidhi kijiti? Wajuzi mniambie kwann anavunja sheria?
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ufaransa lafanya kikao jioni hii na baadae kupiga kura kumuondoa waziri mkuu Michelle Barnier

    Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier ambae yupo njiani kurejea Ufaransa kutoka katika ziara nchini Saudi Arabia, anatarajiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge la nchi hiyo na hivyo kuipundua serikali yake. Vyama vya upinzani nchini Ufaransa vikiongozwa na Maria Le Pen muda huu...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Waziri Mkuu Barnier kupigiwa kura ya kutokuwa na imani baada ya kulazimisha kupitishwa kwa bajeti

    Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier anakabiliwa na kura ya kutokuwa na imani dhidi ya serikali yake ya wachache baada ya kutumia mamlaka maalum kupitisha muswada wa bajeti ya hifadhi ya jamii bila kura ya wabunge. Serikali hiyo ina uwezekano mdogo wa kuhimili kura hiyo, ambayo ilianzishwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Thiaroye, jinsi Waafrika walivyouawa baada ya kuipigania Ufaransa katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia

    Leo imetimia miaka 80 tangu yatokee mauaji ya askari wa kiafrika waliotoka kupigana upande wa Ufaransa katika vita kuu ya pili ya dunia. Mauaji hayo yalitokea tarehe 1 Disemba mwaka 1944 katika eneo la Thiaroye nchini Senegal hivyo kupewa jina la mauaji ya Thiaroye( Thiaroye Massacre). Wakati...
  14. dogman360

    JamiiForums Tanzania Kituo cha TV cha Ukraine chamfichua mtoto wa nje wa Vladimir Putin anayeishi Paris Ufaransa kama DJ

    Wakuu, Rais wa Urusi Vladimir Putin anadaiwa kuwa na mtoto wa siri ambaye anaishi Ufaransa na kufanya kazi kama DJ kwa kutumia jina bandia. Elizaveta Krivonogikh, mwenye umri wa miaka 21, ambaye anahisiwa kuwa binti mdogo wa Putin, anaripotiwa kuishi na kufanya kazi jijini Paris kwa kutumia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Ufaransa waonekana waziwazi, haijali demokrasia Afrika bali masilahi

    Katika kudhihirisha unafiki wake nchi ya Ufaransa ilitumia neno "Rais" wakati wa kuripoti habari iliyomuhusu Rais wa Gabon aliyeingia madarakani baada ya mapinduzi ilihali nchi hiyo hutumia neno " Junta"pale taarifa inapowahusu marais wa nchi za Mali, Niger na Burkina Faso ambao pia waliingia...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal, Bassirou Faye: Ufaransa ifunge kambi zake za kijeshi nchini Senegal. Hii ni nchi huru; hatukubaliani na uwepo wa kambi hizo

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amesema kuwa Ufaransa inapaswa kufunga kambi zake za kijeshi nchini humo, wakati taifa hilo linajiandaa kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa wakati wa ukoloni. Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amekiri kuwa vikosi vya...
  17. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Jengo hili lililopo Ufaransa limejengwa mwaka 1347 🇫🇷

  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbappe ashtushwa na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden

    Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Kyllian Mbappe ameeleza kushtushwa kwake na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden. Mamlaka nchini Sweden zimethibitisha kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tukio la ubakaji lilitokea kwenye hoteli iitwayo Bank , Oktoba 10. Vyombo vya...
  19. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

    Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo. Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana. Tafadhali naomba wale wazee wa miaka...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yakataa wito wa Netanyahu wa kuondoa unifil kutoka Lebanon

    Wanaukumbi Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la Netanyahu la kuondoa vikosi vya UNIFIL. Ufaransa ilisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa UNIFIL katika...
Back
Top Bottom