ufanisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Waziri Kombo asisitiza ufanisi na uadilifu kwa watumishi wa wizara

    WAZIRI KOMBO ASISITIZA UFANISI NA UADILIFU KWA WATUMISHI WA WIZARA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasisitiza watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi, uadilifu...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Aliyetumia router ya halotel aje atupe mrejesho kuhusu ufanisi wake

    Hivi karibuni Halotel waliansa kuuza rouer zao za 5g. Naamini humu ndani naamini kuna mtu au watu watakuwa washaitumia. Tunaomba mtupe mrejesho kuhusu ufanisi wake Ahsante
  3. Roving Journalist

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya yaadhimisha Siku ya Sheria, yasisitiza utoaji Haki na Ufanisi wa usikilizaji mashauri

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa haki kwa wananchi na kwamba wameendelea kuutekeleza kwa kusikiliza mashauri na migogoro mbalimbali...
  4. FORBIDDEN HISTORY

    Huwa inakuwaje pale mwanaume kujihusisha kingono ovyo ovyo hadi kupelekea kuharibu ufanisi wa maisha yake kiroho.?

    Tumesikia stori kuwa inaweza tokea mwanaume kulala na mwanamke huyo mmoja wa kukutana nae mtaani (mchepuko, kahaba, etc) ikapelekea kuvuta energy hasi zilizomo ndani yake au sijui ni nini haswa kinatokea katika ile exchange hadi kupelekea kuharibu aura yake. Wale wajuzi wa hili swala...
  5. BigTall

    Je, ni kweli chokaa inachangia ubora na ufanisi wa mbolea katika kilimo cha ndizi?

    Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa matumizi ya chokaa husaidia migomba kustawi vizuri na kupunguza au kuzuia mashambulizi ya baadhi ya wadudu wanaosababisha kudhoofika au kuharibika...
  6. S

    Mashirika ya uma kwa sasa yaige utendaji bora na ufanisi wa Tanesco

    Utendaji wa sasa wa wafanyakazi wa Tanesco katika kushughulikia dharura za umeme zinapotokea, kwa kweli zinatufurahisha wateja kwani ni za haraka na za ufanisi mno.Sijajaua nani aliyeleta mwamko huu katika shirika hili la umma amblo mwanzoni zilikuwa haziridhishi. Ila kama ni ujio wa mtendaji...
  7. Kitimoto

    Utekelezaji wa Majukumu ya Msingi ya JWTZ: Tathmini za Shughuli Wanazozifanya Sasa Mitaani

    Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja: 1. Kulinda...
  8. Sitaki kuamini

    Hivi kuna jeshi lenye ufanisi mkubwa Duniani kuzidi IDF?

    Wakuu leo nimefikiria sana juu ya accusations wanazozipata Israel juu ya Genocide huko Gaza. Hivi tuseme ukweli Hawa jamaa kama wangekua wanafanya hizo Genocide huko wangeruhusu wanajeshi wao zaidi ya 500 wafe tangu vita imeaza ? Israel alifanikiwa kushika anga la Iran karibu week anashindwa...
  9. Dennis Robert Shughuru

    Bodi ya wakurugenzi kwenye mashirika ya umma wawepo hata foreigner ili kuongeza ufanisi

    Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee Sina nia mbaya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Makandarasi Wanawake watakiwa kutekeleza miradi ya barabara kwa ufanisi

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imetoa rai kwa Makampuni 15 ya Makandarasi Wanawake waliopata fursa ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 20 katika barabara ya Ruanda - Idiwili Mkoani Songwe kuutekeleza mradi huo ipasavyo kwa ubora, uaminifu na muda uliopangwa...
  11. DuaZaMama

    Simba SC Kwenye Mizani, Changamoto Zinazoathiri Ufanisi Wake Kwa Sasa

    Wakuu ==== Tujadili sababu zinzoikwamisha Simba kwa Miaka ya hivi karibuni, Mabadiliko ya mara kwa mara ya benchi la ufundi Usajili usio na tija Presha kutoka kwa mashabiki na mashindano ya kimataifa uongozi
  12. Mende mdudu

    Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  13. Crocodiletooth

    Vifupisho muhimu ambavyo hutumika katika maisha ya kila siku!

    ~General & Communication 1. ASAP – As Soon As Possible 2. FYI – For Your Information 3. BRB – Be Right Back 4. OMG – Oh My God 5. LOL – Laugh Out Loud 6. BTW – By The Way 7. IDK – I Don’t Know 8. IMO – In My Opinion 9. TBA – To Be Announced 10. DIY – Do It Yourself ~Business & Office 11. CEO...
  14. V

    Gawio na michango ya Mashirika: Tuwe makini tusishushe ufanisi

    Nyakati ambazo misaada kutoka nje inasua-sua na huenda ikazimika kabisa huko tuendako, kilichofanyika leo kinapaswa kupewa uzito zaidi na kutumika vizuri zaidi ili hatimaye kisaidie kama moja kati ya mbinu zitakazo tuwezesha kuondoa kabisa utegemezi wa kibajeti kwenye uchumi wa Taifa letu. Ni...
  15. Imani rubaba

    Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  16. Yoda

    Kwa nini bwawa la umeme la Nyerere na DP World havijasaidia bidhaa na huduma kushuka bei ?

    Uchumi wa bongo huwa unashangaza sana, kuna wakati watu walikuwa wanasema bwawa la umeme likikamilika na Waarabu wa DP World wakianza kuendesha bandari itasababisha gharama za uzalishaji na uingizaji mizigo kushuka na kupelekea bidhaa kuwa bei rahisi ila haijawaha hivyo mpaka sasa!
  17. figganigga

    CAG alidhishwa ufanisi wa fedha TPA Mwaka wa Fedha 2023/24

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kubwa kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa utendaji wake bora katika mwaka wa fedha 2023-2024. Ripoti ya CAG, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, ilionesha kuwa TPA ni miongoni mwa mashirika ya umma...
  18. Rorscharch

    Hujalegea na Wala Hujarogwa, Umekosa Nidhamu: Nguzo Nne za Ufanisi

    Watu wengi hujiona kuwa wavivu, wakihisi kana kwamba hawawezi kujituma ipasavyo ili kufanikisha malengo yao. Lakini tafakari kwa kina: Je, kweli ni uvivu, au ni ukosefu wa nidhamu? Uvivu unamaanisha kukosa msukumo kabisa, lakini kwa kawaida, watu wanajihisi "wavivu" si kwa sababu hawana uwezo wa...
  19. Pfizer

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini uliotokana na maboresho ya uwekezaji. Akizungumza mara baada kufanya ziara ya kujionea utendaji...
Back
Top Bottom