HaviingilianiNaweza kujua majukumu ya mkuu wa shirika kwenye jimbo?? Mfano mkuu wa shirika la Waagustino ndani ya jimbo B. Na mahusiano au muingiliano wake na askofu wa jimbo hilo B.
Mkuu wa shirika anawajibika vipi kwa askofu??
Majukumu ya mkuu wa shirika ni yapi?Haviingiliani
Yani umeuliza kuhusu idara katika taasisi inawajibikaje kwa mkurugenzi wa taasisi,sivyo?Hebu uliza tena upya wakati namalizia mbege yangu kwa mama Claree.Naweza kujua majukumu ya mkuu wa shirika kwenye jimbo? Mfano mkuu wa shirika la Waagustino ndani ya jimbo B. Na mahusiano au muingiliano wake na askofu wa jimbo hilo B.
Mkuu wa Shirika anawajibika vipi kwa askofu?
Mkuu wa Shirika anawajibika vipi kwa askofu?
Askofu wa jimbo ndio mtawala katika jimbo husika.Wakuu wa mashirika ndani ya jimbo husika wanakula kiapo cha utii kwa askofu wa jimbo husika.Naweza kujua majukumu ya mkuu wa shirika kwenye jimbo? Mfano mkuu wa shirika la Waagustino ndani ya jimbo B. Na mahusiano au muingiliano wake na askofu wa jimbo hilo B.
Mkuu wa Shirika anawajibika vipi kwa askofu?
Asante sana.Askofu wa jimbo ndio mtawala katika jimbo husika.Wakuu wa mashirika ndani ya jimbo husika wanakula kiapo cha utii kwa askofu wa jimbo husika.
Pamoja na malengo yake,wanawajibika pia kwa askofu wa jimbo husika(askofu anaweza kuzuia dhughuli zao ndani ya jimbo lake)
Asante sana. Nimekupata vizuri sana.Askofu wa Jimbo,
- Ana mamlaka ya kichungaji juu ya huduma zote zinazotolewa katika jimbo lake, hata zile zinazotolewa na mashirika ya kitawa, kama shule, parokia, vituo vya afya, nk.
- Hana mamlaka ya ndani ya shirika (yaani, hawezi kuingilia maamuzi ya ndani ya maisha ya kitawa kama sala, ratiba ya shirika, mafunzo ya ndani, nk).
- Ana mamlaka ya kuratibu huduma za kichungaji, hivyo anaweza kuelekeza au kutoa maelekezo kuhusu namna shirika linavyoshiriki katika maisha ya Kanisa la jimbo.
Mkuu wa Shirika,
- Anapaswa kushirikiana kwa karibu na askofu, hasa pale shirika linapopewa jukumu la kuendesha huduma za Kanisa (mfano,parokia).
- Ana wajibu wa kuhakikisha kuwa shughuli za shirika hazitofautiani au kupingana na maono ya kichungaji ya jimbo.
- Anatakiwa kuwa na mwelekeo wa utii na ushirikiano, lakini si chini ya askofu kwa masuala ya ndani ya shirika.