Ufahamu: A Journal of African Studies is a graduate-student run, peer-reviewed academic journal published at the University of California, Los Angeles (UCLA). It was established by the UCLA African Activist Association in 1970 and named after the Swahili word for comprehension, understanding, or being. The journal is published three times a year and is available from the University of California's eScholarship website. It is "the longest running ... graduate student journal in the United States."Ufahamu is published in English, with occasional poetry or articles in African and European languages. It is indexed in the MLA International Bibliography, Africa-Wide Information, and Historical Abstracts.
Dimension nini, ni uwezo au ufahamu wa binadamu kuusu Mungu.Binadamu tuna level fulani ya ufahamu kuusu Mungu.Ufahamu wa juu wa binadamu mara nyingi unatokea pale mtu anapopitia greater loss(Kupoteza au Changamoto ngumu za kimaisha)
Dimension hizo ni
-3D
-4D
-5D
3D(dimension)
Hii ni level...
CEO wa Anthropic kampuni inayomikiki Claude anasema kwamba kampuni hiyo haiwezi tena kuthibitisha kwa uhakika kuwa AI yake ya Claude haijafikia level ya Conciousness. mtazamo huo unatokana na majaribio ya ndani ambapo AI ilijipa uwezekano wa asilimia 15 hadi 20 wa kuwa na hisia.pia watafiti...
NB:
Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa....
Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu...
Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako.
Na kwa nini ili jambo limeanza leo
Nina changamoto ya kusumbuliwa na mguu,sasa unafikisha mwaka wa 2, mguu huu unaouma ni wa kushoto tu.
Huu mguu unauma na kukosa nguvu ninapotembea tu,lakini kama nakaa,nasimama au kukimbia hata ukiendesha baiskel husikii maumivu yeyote ,ila ninapotembea aisee mguu hauna nguvu kabisa(MZITO...
Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU?
Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua...
dhamira
katika
kuhoji
kujitoa
mustakabali
mustakabali wa taifa
nani
president
president samia
rais samia
samia
taifa
tec
teknolojia
ufahamu
wachafu
wakati
watawala
who
zao
Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha matakwa ya wananchi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Miraj amesema kuwa mijadala ya...
Katika kukumbushana hapo kabla nilisema haya.....
https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/
Lakini sasa naona kuna mengine ya kushangaza; tunafuja mali ili kwa macho tuonekane tupo vizuri kuliko uhalisia....
Wakati hatuna ambulance za...
Katika maisha ya sasa yenye kelele nyingi, teknolojia kila mahali, shughuli zisizoisha, majukumu, watu, uraibu wa vileo na addictions ni rahisi kupotea ndani ya harakati bila kujitambua.
Kila mwezi, jitahidi kutenga siku moja hata kwa masaa 12 ya kuwa peke yako.
Nenda unakojua bila simu, bila...
Nimepita huko mtandaoni yule mdada Diva amepost barua aliyotumiwa na bima yake ya afya, Jubilee Insurance. Barua imemtaka afute post zake kuhusu bima hiyo na aombe radhi kwa kuwa bima yake iliisha tangu 2 Machi 2025.
It seems kwamba Diva alienda hospitali baada ya bima kuisha na alipokosa...
Wengi wenu mnajitahidi kuamini kuwa tarehe 29 watz wataandamana, ila kiuhalisia haiwezekani kwasababu zifuatazo.
1- Idadi ya wageni waliopo Tz ni kubwa mno, yaani wakongo, warundi, wamalawi, wahindi n.k. Hili kundi haliwezi kuandamana maana wapo nchini kwa hisani ya CCM. Kweli mhindi...
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona
Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
afya ya akili
akili
binadamu
ccm
chadema
characters
elimu
facts
jamii forums
jitambue
marco seth
mental
mijadala
mind
new posts
no reform no election
psychology
samiah
tabia
tanzania
trending
ufahamu
ukichaa
Unatafuta mfumo bora wa kidigitali wa kusimamia shule yako?
AcademiazSoft ni jibu sahihi kwa shule za kisasa zinazotaka uwazi, ufanisi na taarifa sahihi kwa wakati.
Tunatoa:
✅ Usimamizi wa wanafunzi (registration, attendance, discipline)
✅ Taarifa za kitaaluma – Matokeo, Report Cards...
Tofauti kati ya Hekima, ufahamu na maarifa, ni ipi?
1. Naomba kujua tofauti Kati ya Hekima , Ufahamu na Maarifa.
2. Jinsi gani vitu hivyo vinavyohusiana?
Katika kitabu cha Mithali 2:6 “Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu”;
Lakini pia Mambo ya Nyakati...
JE, UKWELI NI NINI?
—Mtakatifu Augustine (au labda mtu mwingine kabisa…)
Vipi kama simba huyo amefungwa?
Vipi kama ukweli wa kweli, ule usiohudumia taasisi, dini, au mifumo ya mamlaka, umefukiwa makusudi chini ya maelfu ya nusu-ukweli uliopambwa?
Vipi kama ukweli haujawahi kuwa juu ya...
Kuna watu wanajua X na Y zipo kwenye elimu tu kumbe tunazo kwenye maisha tunazitumia kila siku mfano kujua upana wa chochote kwa nini unatumia kujua urefu na upana.
Ushawahi kuulizwa graph yako imeshuka kazini au uchumi unakwendaje basi utakuta X na Y.
kama unabisha muulize dalali wa nyumba
Unafumba macho yako na kila kitu kinapotea mwili wako unabaki kwenye kitanda ila akili yako inaenda sehemu ambazo zinaonekana kuwa na uhalisia kama vile uwapo macho, ila ni wapi hasa ufahamu wako unaenda pale tunapo lala, kama usingizi ni kupumzika mbona akili yako hutengeneza sehemu,mazungumzo...
Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana
Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020.
Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi tuliwachagua au walipitishwa tu na Ccm?.
Kwa kutumia Dola.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.