ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Ufafanuzi kuhusu bachelor in human resources managenent na labour relation na public management

    Nimechaguliwa chuo Cha institution of social work kozi ya human resources nataka kubadilisha nisome kozi ya labour relation na public management naomben ushauri wenu niende ipi Kati ya hizo au nibaki na hiyo niliochaguliwa
  2. Kati kozi ya bachelor of education in psychology na bachelor of science in economics project planning and management ipi ni nzuri?

    Kati kozi ya bachelor of education in psychology na bachelor of science in economics project planning and management ipi ni nzuri? Naomba msaada wa ufafanuzi.
  3. M

    Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu wapi zipo shilingi trilioni 360 zilizopo kwenye mashauri ya madai 1,095. Waziri Nchemba amesema, kuna jumla ya mashauri 400 katika mabaraza ya rufani za kodi (TRAT) yenye thamani ya shilingi trilioni 4.2 na dola za Marekani...
  4. Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  5. Suala la Juma Mgunda, TFF wamezidisha maswali zaidi kuliko majibu au ufafanuzi walioutowa

    Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali. 1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni. Sasa swali la...
  6. Nataka kufunga mita yangu ya luku dukani nijitenge na wengine, naombeni ufafanuzi na gharama

    Wakuu heshima kwenu. Naombeni ufafanuzi na maelekezo ya kufata Ili kufunga MITA ya luku inayojitegemea. Je hatua gani za kufata? Vitu gani vinahitajika? Gharama ya mchakato mzima ikoje?? Asanteni sana. TANESCO
  7. Ufafanuzi wa tozo sijaelewa zaidi ya kumung'unya maneno

    Salama wandugu Nimemsikiliza Mwigulu akijieleza kuhusu tozo hakuna cha maana anachoeleza zaidi ya kumung'unya maneno tulishasema ondoeni tozo siyo kuilemba lemba na kuipaka wanja ionekane kama asali wakati ni pilipili,kodi zilizopo zinatosha kuendesha nchi ila nyie mnacheka na wafanyabiashara...
  8. Ufafanuzi hii Solidarity Fund ya Ndugu yetu Mwigulu!

    Wakati bado waziri wetu wa fedha anaendelea kutapa tapa kwa vigugumizi akielezea mambo ambayo naamini hata yeye mwenyewe moyoni mwake anajua anatekeleza wajibu tu na si ukweli, tunaambiwa ni namna ya watu wengi, wananchi washiriki kwenye kuchangia SOLIDARITY FUND! - hebu nisaidieni ufafanuzi wa...
  9. Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  10. TARURA - Naomba ufafanuzi tozo za parking

    Naomba kuuliza mtu anatakiwa apaki gari kwa dakika ngapi mjini ndio aanze kuchajiwa/kumulikwa? Nilipaki gari ndani ya dakika moja kununua maji ya kunjwa nikachajiwa, naona kama haijakaa vizuri! Naamini Muheshimiwa Kinana akikumbana na hii hali, atatusaidia kuwajulisha wahusika watoe muongozo
  11. Kodi ya Pango: TRA yatoa ufafanuzi kuhusiana na kodi ya pango

  12. Ufafanuzi juu za shutuma ya DStv kurusha vipindi vinavyohamasisha ushoga

    Tafadhali tuwekane sawa, DStv haijihusishi na kurusha maudhui yasiyofaa katika jamii. Malalamiko haya yanatakiwa kupelekwa moja kwa moja kwenye channel husika. DStv wanarusha channels tofauti, sio kosa lao pale yanapotokea mambo ambayo yanahusiana na maudhui mabaya. Kinachotakiwa kufanyika...
  13. Wizara ya Fedha kutoa ufafanuzi dhidi ya "upotoshaji wa tozo"

    Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya. Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuwepo.....
  14. Msemaji Mkuu wa Serikali: Kumekuwa na upotoshaji kuhusu tozo, Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi tozo zilizopunguzwa

    Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali TAARIFA Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
  15. F

    Bank ya NMB naombeni ufafanuzi kuhusu makato haya

    Account yangu nimekuta kimepungua kiasi Cha elfu sita (6000). Wakati huo sijafanya muamala wowote. Je, hiyo elfu 6000 imeenda Kwenye tozo au Kuna kitu gani hicho.Toeni ufafanuzi wananchi tuelewe na kama sio tozo na haihusiki na chochote tuwafuate mameneja wenu.elfu. 6000 ni ndogo kwa mtu...
  16. Naomba ufafanuzi kuhusu Tweet hii ya Waziri Nape

    Natamani kujua ni kwanini Nape anatumia lugha za kigeni kutoa kuelezea suala la mtandao kwenye mlima kilimnjaro. Nini hasa kusudi lake?
  17. Uniform za Polisi wa Kenya ni zipi haswa? Naombeni ufafanuzi

    Najua wanavaa blue lakini kwenye matukio mengi hasa hata ya kutangazwa kwa mshindi wa Urais wa Kenya hapo Bomas, naona askari wengi wamevaa kimbati za jeshi. Je nayo ni sehemu ya uniform za jeshi la polisi kenya?
  18. F

    TAMISEMI toeni ufafanuzi wa kuhama ambao huwa unakataliwa na Halmashauri

    Kuna vitu sivielewi yaaani halmashauri ya wilaya inaweza kukaidi maelekezo yanayotolewa na tamisemi. Yaani kibali cha kuhama tamisemi kinatoka wilayani wanakwambia uhami mpk ubadilishane? Sijajua chain of command inakuwaje?! Nisaidiiane wana jamvi
  19. R

    Tundu Lissu atolea ufafanuzi wa kesi ya Halima Mdee na wenzake

    Take home msg ni hii: 1. Job Ndugai asilaumiwe 2. Tulia Ackson asilaumiwe 3. Alaumiwe anayewalipa mshahara, ambaye ni Rais. Msikilize, jibu hoja zake kwa hoja, achana na character assassination arguments or what is called Ad Hominem arguments
  20. Serikali tunaomba ufafanuzi wa suala hili

    Habari! Inafika wakati unajiuliza nchi hii ni Serikali kamili na Ina uongozi kamili? Una fedha bank unataka upate huduma mahali kupitia simu unaweka codes mfano *150*03# au *150*66# unabonyeza ok unaambiwa utakatwa pesa kwenye Salio la kawaida. Je, nikitaka kununua Salio (airtime) niweke salio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…