ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi matamko ya Samia yatatolewa ufafanuzi mpaka lini?

    Ni ngumu sana kumsikiliza Samia kwa dakika 20-30 bila kutoa boko kwenye hotuba zake Ni ngumu kumsikiliza bila kuchukia Na ni ngumu sana amalize kuhutubia bila kuja kutetewa au maneno yake kutolewa ufafanuzi na watu wengine. Kiukweli Watanganyika tumeula wa chuya awamu hii.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Tume

  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

    Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta; Soma: Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3 UFAFANUZI Leo...
  4. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania LATRA toeni ufafanuzi kuhusu nauli wanazotoza mabasi ya costa ya Moshi kwenda Arusha

    Niwaombe mamlaka ya LATRA waingilie kati maana costa za Moshi Arusha wamejipangia nauli wanavyo taka hii imekuwa ghali kuliko. Naomba Latra wafuatilie hili au wapange nauli halali kama inavyo takiwa. Shukran
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utolewe Ufafanuzi Juu ya Mfumo wa Utoaji Alama katika Mitihani ya Mtandaoni

    Ningependa kuwasilisha hoja yangu kwa Mamlaka ya Utumishi inayohusika na usimamizi wa mitihani ya mtandaoni kwenye usaili wa kuandika. Kumekuwa na mkanganyiko wa matokeo ambapo mtihani wenye jumla ya maswali 50 unatoa alama kama 93 au 75. Kimantiki, ikiwa mtihani una maswali 50, tunatarajia...
  6. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

    Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu mara nyingi hujikita kwenye kutumia akili (Aql) na mazingira yanayotuzunguka (Fitra). Hapa kuna...
  7. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania Je , wajua maana ya taa za viashiria hivi kwenye dashboard ya gari yako na rangi hizi zinavyomaanisha.? Soma hapa tumekuwekea ufafanuzi.

    Kikawaida kuna rangi tatu za taa kwenye dashboard ya gari yako. Rangi hizi standard : red, orange, na green. Zingatia kwamba green wakati mwingine huwa ni blue, inategemea na aina ya gari uliyonayo ila haibadilishi maana halisi ya ka,zi yake ni kama tu vile huwa magari mengine symbol ya...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je, vijana walioajiriwa serikalini na sekta binafsi wana haki ya kuunda vikundi na kupata mikopo?

    Mh waziri wa Vijana, Nanauke naomba ujibu swali langu hilo maana kuna vikundi vya kutosha sasa vinaomba mikopo na vya watumishi vipo je wanaruhusiwa ? Tujibu tafadhali
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO TaESA wamechelewesha malipo ya waajiriwa kwa zaidi ya Miezi miwili

    Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika. Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa mishahara yetu ya mwezi Disemba mwaka jana na Januari mwaka huu licha ya kusaini mkataba unaoonesha...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TotalEnergies watoa ufafanuzi video inaonyesha watu wakitengeneza 'Oil fake' ya kampuni yao

    Ufafanuzi Kuhusu Video Inayosambaa: Operesheni ya FCC Dhidi ya Bidhaa Bandia Dar es Salaam, Februari 13, 2026 Total Energies Marketing Tanzania Limited inatoa ufafanuzi kuhusu muktadha wa video iliyosambaa mtandaoni ambayo inaonekana kuonyesha bidhaa bandia za vilainishi vya Total Energies...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi mwendokasi mbezi

    Jamani, naomba ufafanuzi. Kwa nini vituo vya BRT (mwendokasi) barabara ya Bagamoyo Road kuanzia Mbezi Beach vimejengwa virefu sana, na pia vimekaa karibu karibu kiasi kwamba hata mita 400 havifiki kutoka kituo kimoja hadi kingine? Kuna sababu maalum ya kiuhandisi au mipango ya usafiri...
  12. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa Tundu Lissu atolea ufafanuzi wa sakata la upigaji wa fedha za michango ya Lissu

    Vicent Mughwai Lissu, mdogo wa Mhe. Tundu Lissu anatolea ufafanuzi wa sakata la upigaji wa fedha za michango ya Mhe. Lissu. "Ni jambo la familia, naona Amani Golugwa anahusishwa kwamba alienda Arusha kuonana na Mzee Alute, nafikiri hili si sahii" Vicent Lissu Soma pia: CHADEMA: Taarifa za...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Mgodi wa Msasa zatokana na mgawanyo wa Hisa, Sio makato ya Serikali

    1. UTANGULIZI Mgodi wa Hadija Mkupi & Partners uliopo katika eneo la kijiji cha Msasa Runzewe Geita ulianza kufanya kazi mwishoni mwa mwaka 2025. 2. UENDESHAJI WA MGODI Mgodi huu unaendeshwa kwa namna mbili ambapo wamiliki wa leseni wanachimba katika maeneo huku maeneo mengine wamewakabidhi...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded ‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma yatoa ufafanuzi kuhusu video ya uchakavu wa vyoo Shule ya Msingi Muhamani

    ‎‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imetoa ufafanuzi rasmi kufuatia video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forums ikionyesha madai ya uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi Muhamani iliyopo Kata ya Simbo. ‎ ‎Akizungumza kuhusu suala hilo Kaimu Afisa Elimu Awali na Msingi...
  15. Sheriff Hood

    JamiiForums Tanzania Trigeminal Neuralgia - naombeni ufafanuzi juu ya tatizo hili la kiafya

    Wakuu nasumbuliwa na maumivu makali upande mmoja wa uso kwenye shavu karibu na sikio. Maumivu haya yanakuja kila baada ya kupita muda fulani inaweza ikawa nusu saa, lisaa au masaa kadhaa, yakija yanadumu kwa sekunde kadhaa then yanatoweka, maumivu mithili ya shoti kali ya umeme, au kama mtu...
  16. Pakome

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

    Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo Mtandao wa kampuni yake haupatikani au Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi) "Unapotumia nyumba ya jirani kwa...
  17. Pakome

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimeona ni vyema nikatolea ufafafanuzi wa kina kuhusiana na nyuzi zangu zilizopelekea kupokea jumbe nyingi za huzuni na lawama

    Hivi karibuni niliandika nyuzi zilizojikita zaidi kwenye nidhamu na ukosoaji wa matendo mabaya, nyuzi zilizopelekea kupokea jumbe nyingi za huzuni na lawama ambazo zilinihuzunisha sana Nimeona ni vyema nitolee maelezo ya kina kuhusiana na nyuzi zile kwasababu inawezekana baadhi ya wasomaji...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video

    Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video. Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta serikali kabla ya kuripoti ili kutoa ushirikiano lakini serikali iliingia mitini kwa siku takribani 25 sawa...
  19. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Mdau ameongezea ufafanuzi kuhusu tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi

    Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina… Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
  20. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Kufutwa kwa Matokeo Bila Ufafanuzi: Dilema Kati ya Wanafunzi, Wazazi na NACTE

    Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
Back
Top Bottom