uendeshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

    Muhtsari Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba Serikali ya Djibouti...
  2. Kanda ya Ziwa wanastahili pongezi kwa uendeshaji wa baiskeli

    Unaweza ukashindana na watu wa Kanda ya Ziwa kwa mambo fulani fulani, lakini usithubutu kwenye uendeshaji wa baiskeli kama wewe si mmoja wao. Utaumbuka! Nazungumzia baiskeli za kawaida au za kazi, siyo zile za "starehe". Sina uthibitisho wa kitakwimu, lakini kwa makisio yangu, Kanda ya Ziwa...
  3. Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

    WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa kuwa wanaofanya hivyo hawaitaki nchi mema. Pia, wameitaka serikali kuharakisha kusaini mikataba...
  4. K

    Uendeshaji wa Bandari zetu

    Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo mezani mfano vifungu vya mkataba na adhari ( + or -)zake kwa Taifa.
  5. Je, Bwawa la Nyerere likikamilika, sheria inaruhusu kulikodisha bila kikomo ili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wake?

    Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115. Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
  6. F

    Ushauri: Serikali tafuteni kampuni ya kufanya management (uendeshaji) tu kwenye bandari zetu na sio kubinafsisha bandari

    Kifupi huo ndio ushauri wangu. Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini tukaishia kuzitumia hovyo kwa kukosa good management na weledi. Tunashindwa kwenye technical...
  7. Mwaka 2006, Kamati ya Bunge la Marekani ilikataa mpango wa kuipa DP World mkataba wa uendeshaji Bandari zake 6

    Mzozo wa Dubai Ports World ulianza mnamo Februari 2006 na ulipata umaarufu kama mjadala wa usalama wa Taifa nchini Merika. Tatizo lilikuwa ni uuzaji wa biashara za usimamizi wa bandari katika bandari sita kuu za Marekani kwa kampuni iliyoko katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambapo...
  8. TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  9. EACOP Wanatoa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji wa miundombinu ya bomba la mafuta

    Kampuni ya EACOP imeanza usajili na mafunzo ya online kwa wiki 8 yatakayofwatiwa na mtihani wiki ya 9 kwa ajili ya kupata vijana 140 wenye umri kati ya miaka 18-28 watakaoshiriki katika mlolongo wa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji (operation &...
  10. K

    Umuhimu wa motisha kwa wafanyakazi

    Motisha kwa wafanyakazi ni kitu kinachowafanya wafanyakazi kuwa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii na ufanisi. Motisha inaweza kuwa katika malipo, au kutambulika katika mchango walio nao. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa wafanyakazi kupewa motisha ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji...
  11. N

    Rais Samia amerejesha uendeshaji shughuli za Serikali kwa uwazi

    Hii ni habari njema sana kwa Watanzania wote. Uongozi wa Rais Samia Suluhu ni uongozi ambao Watanzania wengi tulitamani kuwa nao, ni uongozi tuliokuwa tunauota kwa zaidi ya miaka 5. Tulitamani sana kuwa na uongozi unaofanya shughuli zote kwa uwazi lakini haikuwezekana kwa zaidi ya miaka 5...
  12. M

    Mwekezaji atakayewekeza kwenye gharama za uendeshaji wa kampuni

    Habari wakuu, Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye anawekeza hela kazi ikipatikana. Upatikanaji wa kazi unapungua kwa kupungua kwa fedha za uendeshaji wa...
  13. Uendeshaji wa Biashara ya saluni ya kike ya kisasa

    Tumeona urembo unavoendelea kuwa hadhi na ni hitaji la watu wengi hasa wanawake,nitaelezea namna ya kuendesha biashara hii kisasa hata kma sio msusi vitu gani unatakiwa uvizingatie. Kwanza biashara hii ukitaka uiendshe kisasa lazima utoe hudumña 4 muhimu ambazo ni 1. Pedicure and manicure(kucha...
  14. Fahamu mambo haya muhimu kisheria juu ya umiliki na uendeshaji wa kampuni binafsi Tanzania

    Habari wana JF Leo naomba nigusie maswala machache yanayohusu sheria na utendaji wa makampuni binafsi. Naamini umewahi kusikia juu ya wito wa kurasimisha biashara na makampuni. Wapo viongozi wa kiserikali na hata binafsi wamekuwa wakihamasisha wafanyabiashara kurasimisha mifumo yao ya biashara...
  15. F

    Kupanda kwa nauli za mwendokasi: Mkakati wa kuboresha sekta ya usafirishaji wa umma utakaoleta matokeo mazuri katika usimamizi na uendeshaji wa mradi

    Kufuatia Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kumtangaza bei mpya za nauli, nimeona mtazamo wa baadhi ya watu ukiwa kulekule vitu vinapanda bei sana. Kufuatia mtazamo wa namna hiyo nami nitachangia machache juu ya faida za kupanda kwa nauli za usafiri huo husasani katika suala zima la...
  16. L

    Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza...
  17. Bunge laibana Serikali kuipa KADCO mkataba wa uendeshaji uwanja wa Ndege KIA badala ya TAA

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya haipo. Spika Dkt. Tulia amesema “Wanasema mkataba unamalizika Juni 2023 ni mkataba gani? wakati hiyo...
  18. Ushauri: TAKUKURU ivunjwe, haina manufaa yoyote bali inaongeza gharama za uendeshaji wa serikali

    Habari! Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) au PCCB ivunjwe maana inaiongezea serikali gharama za uendeshaji. Manufaa yake ni kidogo sana, taasisi zingine ndani ya serikali hii ya JMT zinaweza kufanya majukumu yanayofanywa na PCCB. Nina miaka 7 ndani ya serikali, sijawahi kuona...
  19. RIPOTI: Mapendekezo 19 ya Kikosi Kazi cha Rais Samia kuhusu uendeshaji Siasa nchini

    1. Kuhusu Mikutano ya Hadhara na Mikutano ya Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kikosi Kazi kinapendekeza Sheria ya Vyama vya Siasa ifanyiwe marekebisho ili: a) kulipatia Baraza la Vyama vya Siasa mamlaka ya kuishughulikia suala la uvunjifu wa maadili ya Vyama vya Siasa kupitia Kamati yake ya...
  20. Serikali yazindua mwongozo wa kitaifa wa uanzishaji na uendeshaji majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi

    Na Mwandishi Wetu, WMJJWM, Pwani Serikali imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wenye lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wa majukwaa haya ikiwa ni pamoja na kuyafanya yajulikane ngazi zote hapa nchini. Akizungumza katika uzinduzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…