Salaam,
Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA.
1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
Anonymous (e563)
Thread
foundation
hali
jambo
kazi
kimya
kuhusu
mafunzo
mafunzo ya ufundi
mamlaka
mkapa
naona
uendeshaji
ufundi
utendaji
utendaji kazi
veta
wakuu
Kuna mtu anakuwa na hurka ya kuchakalika kutafuta kwa namna yoyote na kwa mahali popote. Unakuta anaijua science kuzifukuzia fursa na kuzivumbua nyingine ila ikija sasa katika usimamizi wa kile alichopata, anatetereka.
Kuna mtu yeye usimamizi na menejimenti ya mali, funds na resources ndio...
Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k..
Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
Habari wanazengo,
Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
Wakuu, nimekutana na mjadala wa magari ya EV (electric vehicles) vs ICE (internal combustion engine) kwamba ipi ni afadhali kwa mtu mwenye mizunguko mingi (~km 50 hivi kwa siku). Mabishano yakikua kwenye issue kuu tatu, gharama za matengenezo, uendeshaji na uwoga wa battery kuchakaa.
Najua kwa...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekichukulia hatua za kisheria kiwanda bubu cha SUMING kilichopo Mtaa wa Regent Estate katika Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni kinachofanya shughuli za urejelezaji wa taka hatarishi aina ya simu za kiganjani chakavu katika...
Habari wanajukwaa?
Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma?
Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi.
Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
Sio wote walio magereza wana hatia.
Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986.
Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika
Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail
Hearing...
Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,.
Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc
Directly, hawawezi kuku-affect ili ushuke na ubaki kufanana na wao so wanapopata chance adhimu ya kukushauri jambo lililo personal...
Nimefatilia vizuri mahojiano ya mwenyekiti wa Bodi ya ligi ndugu Steven Mguto na chombo cha habari cha mwananchi digital...kimenifanya nitafakari upya mtazamo wangu kuhusu hili sakata linaloendelea la bodi ya ligi kuhairisha mechi ya derby ya tarehe8...Mzee Mguto anakiri kwa maneno yake...
HABARI WANA JAMII FORUM
Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao
1,upatikanaji
2,usafirishaji
3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara
4, mtaji wa chini kiasi gani
5,namna ya kutafuta soko
Habari wakuu,
Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Kanisa letu lina utaratibu wa kufuata kalenda ya mwaka, ni jambo zuri, Lakini kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye baadhi ya vitu ili kuendana na dunia ya leo
Usomaji wa matangazo ya week,
Kwa dunia ya...
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL limekabidhiwa umiliki, usimamizi, uendeshaji na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na Kituo cha Taifa cha Kutunza taarifa chenye thamani ya zaidi ya Bilioni 450.
Pia, TTCL imekabidhiwa miundombinu ya Consortium kama sehemu ya Mkongo wa...
Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
Wakuu habari..
Naelewa safari ya Lisu hapo CHADEMA Siyo nyepesi kwa kuwa inagusa maslahi ya wengi.
Naelewa tiyari ana mawazo mbadala Baada ya hatua hii, Mimi nimtie moyo kuwa anayo nafasi ya kuanzisha Chama cha Siasa na Watanzania wazalendo Tusiopenda Rushwa, Uonevu, Uporaji wa rasilimali za...
Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema.
Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda...
Anonymous
Thread
elimu
elimu msingi
fedha
kuchelewa
malalamiko
msingi
sana
serikali
shule
shule za msingi
ucheleweshaji
uendeshaji
upande
Kuna Daladala moja inayofanya safari zake Kijichi Spice kwenda Darajani imekuwa na huduma mbovu kwa Abiria wake na wakati mwingine kutishia usalama wa Watu waliomo ndani ya gari hilo na hata waliopo nje.
Dereva wa daladala hiyo amekuwa akiendesha ovyo kwa kutojali Sheria za Barabarani kiasi...
taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio.
Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki...
Siku 36 baada ya mwandishi wa Nipashe kuwasilisha maswali Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutaka kujua kwanini wakopeshaji mitandaoni wanadhalilisha wakopaji, taasisi hiyo imetengeneza mwongozo kwa watoa huduma ndogo za fedha wa daraja la pili, wanaotoa huduma za mikopo kidijitali.
Agosti 19 mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.