Naomba kueleweshwa vipengele vya Katiba

Trubetzkoy

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
298
542
Habari,

Mimi ni msomaji wa vitabu na nimekuwa nikisoma vitabu vya kila aina. Changamoto inakuja kwenye hiki kitabu kinachoitwa katiba, licha ya kukisoma mara kwa mara bado nakisoma kama novel kwani kuna baadhi ya maneno siyaelewi.

Naomba utofauti kati ya;

1. IBARA
2. IBARA NDOGO
3. KIFUNGU
4. KIFUNGU KIDOGO

Na ufafanuzi wa maneno yaliyopo upande wa kulia.

IMG_20230511_163322_848~2.jpg
 
Habari!

Mimi ni msomaji wa vitabu na nimekuwa nikisoma vitabu vya kila aina. Changamoto inakuja kwenye hiki kitabu kinachoitwa katiba, licha ya kukisoma mara kwa mara bado nakisoma kama novel kwani kuna baadhi ya maneno siyaelewi.

Naomba utofauti kati ya;

1. IBARA
2. IBARA NDOGO
3. KIFUNGU
4. KIFUNGU KIDOGO

Na ufafanuzi wa maneno yaliyopo upande wa kulia.View attachment 2617970
Kumekucha!Hapo wanasheria waje wafafanue.
 
Kule mjini Youtube kuna jamaa wanajiita SHERIA POA wanatoa hiyo Elimu ya Katiba na vifungu vya katiba, mi nimejifunza huko, jitahidi uanzie epsod ya kwanza ndo utaelewa zaidi
 
Ibara ndio hizo namba nyeusi zimekorezwa labda nikusomee hapo juu ili uelewe ibara ya 33 ibara ndogo ya kwanza
 
Vifungu kwa uelewa wangu huwezi vikuta kwenye hicho kitabu kinachoitwa katiba... utavikuta kwenye sheria nyingine kama penal code sheria ya makoaa ya jinai na sheria zote tuu. Kule hatusemi ibara tunasema kifungu na hatusemi ibara ndogo tunasema kifungu kidogo
 
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom