udsm

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dr Kimei atolewe bungeni akafundishe finance UDSM muda wake uliobaki

    https://www.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk Sio sawa mtu mwenye werevu mpana kama wa 'Dr. Kimei' kwenye maswala ya finance kwa mazingira yetu kuondoka bila ya kutoa elimu ya finance kwa viongozi wa baadae. UDSM inatakiwa kuandaa programme ya MBA ya Finance and Banking huku Kimei akiwa kama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa mikopo ya pesa za kujikimu (boom) awamu ya nne kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikuu cha Dar es Salaam UDSM kampasi kuu ya mwalimu Nyerere Dsm. Kwasasa kuna changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za kujikimu (meals and accomodations) maarufu kama BOOM. Kwa kawaida pesa hii huingia baada ya wiki nne za...
  3. B

    JamiiForums Tanzania PPP na UDSM kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya sekta binafsi kuelekea Tanzania 2050

    Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuja na Kongamano la Wanazuoni kujadili mwenendo wa uchumi na nafasi ya Sekta Binafsi kuelekea Tanzania 2050. Kongamano hili litafanyika Jumanne tarehe 27/05/2025...
  4. JamiiForums Tanzania Nadharia (Technical): Kilichotokea mpaka akauti nyingi zikadukuliwa

    Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube. 1. Mitandao hii miwili ya X na youtube inarusu third party app kustream. Mfano nataka kuweka tukio...
  5. JamiiForums Tanzania UDSM Best Student: Je, ni GPA gani inatumika kumpata Best Student, Commulative au Aggregate GPA?

    Habari za wakati huu, Ninapenda kujuzwa kuhusiana na ili suala . Nimeona cheti cha best student mmoja katika college fulani ya UDSM ana aggreagate GPA of 4.3 meaning First year 4.0, second year 4.5 and third year 4.6 aggregateya zote tatu ni 4.3 lakini commulative GPA yake kwenye cheti inasoma...
  6. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Uhuru wa Kitaaluma ( Academic Freedom) UDSM 29/4-2/5

    Wasomi wa Mlimani toka tarehe 29/04-02/05 Wana Mkutano wa kitaaluma wanajadili Uhuru wa Kitaaluma (Academic Freedom) ingawa wenyewe wamefungwa kwenye minyonyoro ya utumwa wa fikra na uchawa
  7. JamiiForums Tanzania Video: Tazama mwanafunzi mjapani UDSM akiongea kiswahili

    Mjapani Fumiyo Jin mwenye shauku ya kujifunza Kiswahili ili aweze kukalimani Kijapani-Kiswahili
  8. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam walaani kitendo cha udhalilishaji na shambulizi lililohusisha wanafunzi

    CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: KULAANI KITENDO CHA UDHALILISHAJI NA SHAMBULIZI LILILOHUSISHA WANAFUNZI Dar es Salaam, 20 Aprili 2025 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinasikitika na kulaani vikali tukio la kushambuliwa, kudhalilishwa, na kudhuriwa kwa msichana...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDSM main campus kuwanyima haki wanafunzi wanaovaa kofia za cap kutumia baadhi ya huduma

    Imekuwa ni kawaida kwa walinzi kuwalazimisha wanafunzi kuvua kofia za cap wanapoingia library au sehemu za maofisi, huu ni unyanyasaji dhahiri kwa watanzania ambao wanatumia uhuru wao wa kuvaa kunyimwa haki ya kutumia maeneo muhimu ya kujifunza na kujifunzia. Sababu ya msingi kwanini wanazuiliwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni ngumu mno kuwa mwanafunzi wa UDSM. Ni ndoto ya watanzania wengi kusoma pale. Hata mimi ilikuwa ndoto...
  11. JamiiForums Tanzania Internship Vacancies – (15 Posts) at UDSM March 2025

    Call for 3-Month Internship Vacancies: Agricultural Supply Chain, Food Supply Chain, and Transportation and Logistics and Related Fields (15 Posts) Background University of Dar es Salaam (UDSM) and the Kuhne Foundation (KF-TZ) have partnered to implement initiatives for a four (4) year SAFA...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa

    "Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza. Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  14. JamiiForums Tanzania Uongozi wa UDSM watoa angalizo uwepo wa CHATU maeneo ya Shule ya Msingi Mlimani

  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo. Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya China yatoa nafasi za ajira zaidi ya 500 kwenye maonesho ya ajira ya Chuo Kikuu cha UDSM

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kikishirikiana na Taasisi ya Confucius, hivi karibuni kiliandaa Maonesho ya tatu ya Ajira kati ya China na Tanzania baada ya maonesho hayo kusita kwa takriban miaka sita kutokana na changamoto kama vile janga la UVIKO-19. Baada ya kurejea kwake sasa maonesho...
  17. JamiiForums Tanzania Dondoo za masomo ya PhD UDSM

    Napenda kuwasapa salamu rafiki zangu. Kama nilivyosema hapo juu kuhusu dondoo za masomo ya ngazi ya PHD katika chuo cha UDSM. Nimekuwa nikipata ukakasi wa kwenda kusoma hapo kwa kushauri kwamba bora nikasome Ardhi University kuliko UDSM kwa sababu ya usumbufu. Usumbufu wenyewe ni kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Mahafali ya 53 UDSM: Wanawake vipanga waongoza kwa ufaulu na kuwabwaga wanaume

    Kutoka UDSM wahitimu wa mahafari 51 duru ya Pili wamefanyika Milimani City kama ilivyo ada. DVP-Academic amewatangaza Wanawake 3 ambao eamepata ufaulu mkubwa zaidi huku kinara wao akipiga GPA ya 4.8. Aidha Ufaulu wa Ujumla unaonesha Wanawake wamefaulu kwa asilimia 57% dhidi ya asilimia 43% za...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kuhamisha selection yangu kutoka DUCE kwenda UDSM Mlimani kusoma course nyingine tofauti na education

    Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

    Habari wadau. Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake. Kwa kitanda peke yake bei 130,000 Godoro bei 80,000 Meza bei 50,000 Namba ya simu 0754 003 715
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…