udanganyifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    DOKEZO Udanganyifu wa mitihani Paradigms

    Chuo cha Paradigms institute kilichopo kimara Dar es salaam pale wanaandaa waiting wa hovyo kwenye sector ya afya hasa course ya clinical medicine. Yani wanafunzi wanatajiwa majibu ya mitihani tena mitihani ya afya procedure book zinafojiwa mitihani ya cats ya wodini hawafanyi yani hakuna chuo...
  2. S

    Skybooks Software : Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Sahau kuhusu kalamu na daftari

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa urahisi kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  3. REM GROUP

    Skybooks Software : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  4. O

    KUMBUKIZI (2019): Magufuli alipompokonya Ardhi ya Ekari 1,000 Mohamed Kiluwa hadharani kwa udanganyifu

    Tarehe 7 Juni 2019 aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayatui Magufuli alikutana na wafanyabiashara kutoka Kila Mkoa Ikulu ya jijini Dar es Salaam. Ref: Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka kila Wilaya nchini. Ataja changamoto za...
  5. Juuchini

    PostGE2025 Askofu Mihali awaasa Wakatoliki waliofanya Udanganyifu kwenye Uchaguzi wakatubu

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa. Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
  6. Dalton elijah

    Askofu Mihali Wakatoliki waliosimamia uchaguzi na kufanya Udanganyifu wakafanye kitubio

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa. Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
  7. Fbn

    Mbinu za kujisafisha kwa mataifa mengine zinvyozidi kuonesha udanganyifu wenu serikali ya CCM. Na hili la UN limebuma

    Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
  8. Genius Man

    Twendeni kwenye vituo vya kupigia kura tukaondoe yale maigizo hakuna uchaguzi bali ni udanganyifu

    Twendeni kwenye vituo vya kupigia kura tukaondoe yale maigizo hakuna uchaguzi bali ni udanganyifu
  9. Fbn

    Udanganyifu wa waufahuru TZ kuna siku nikasema na mashaka nao mkaona sio ila huyu anaenda kuishi dubai

    Wengine tupo kulilia nchi ila huyu ni baharia aliyechangamka mpaka ukoo wao hawana nia na tanganyika.Kuna siku mtalia sana
  10. R

    Vituo vya Afya 1,000 vyafungwa Kenya kutokana na udanganyifu

    Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali yake imevifungia zaidi ya vituo 1,000 vya afya vilivyohusika na udanganyifu dhidi ya Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA). Akizungumza na Wakenya wanaoishi Uingereza, Rais Ruto alisema kuwa hatua hiyo inalenga kulinda uadilifu wa mpango huo mpya wa afya...
  11. Komeo Lachuma

    Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia. Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo...
  12. Genius Man

    Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu

    Bila chama cha upinzani chenye nguvu kushiriki uchaguzi hakuna uchaguzi bali maigizo na udanganyifu ambao haukubariki. Chama cha upinzani kipo sahihi kuhamasisha mazingira ya uwazi na kidemokrasia kwenye uchaguzi ili uchaguzi wetu usiwe wa maigizo na udanganyifu.
  13. Mwl.RCT

    Uchambuzi wa Sekta ya AI wiki hii: Udanganyifu, Maendeleo na Changamoto

    Sekta ya Akili Bandia (AI) inakabiliwa na mvutano mkubwa kati ya uwekezaji na ahadi za kiteknolojia ("hype") dhidi ya changamoto halisi za utekelezaji na maadili ("uhalisia"). Mfano mkuu wa hatari hii ni kashfa ya Builder AI, ambapo kampuni ilifanikiwa kukusanya mamia ya mamilioni ya dola kutoka...
  14. Meerkat

    Hakuna kitu tunachogusa, kushika wala kukanyaga – kugusa ni udanganyifu wa akili

    Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu. Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni. Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika atomu zako na atomu za kitu hicho zinakataa kukaribiana (repel each other) kwa sababu ya nguvu ya...
  15. O

    Udanganyifu wa Maendeleo (The Illusion of Progress): Jinsi Migogoro Iliyopangwa Inavyoathiri Jiji la Dar es Salaam

    Dar es Salaam, jiji la kibiashara la Tanzania, linakabiliwa na changamoto nyingi za mijini kama vile msongamano wa magari, mafuriko, na miundombinu duni. Ingawa serikali huonekana kuchukua hatua mara kwa mara, uchambuzi wa kina unaonyesha mtindo unaojirudia: matatizo huibuka au kudumu kutokana...
  16. Rorscharch

    Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  17. Ladder 49

    Wazee wa bahasha na udanganyifu kwenye soka

    Wakuu habari zenu? Baada ya kuona mambo magumu round ya kwanza wameamua kuja na bahasha maana mashabiki wake wanapiga kelele sana yaani timu kufungwa mechi mbili tu na bado inaongoza ligi wanataka kumtoa roho raisi wa timu eti anaihujumu timu? Sasa wameamua kutoa bahasha kwa timu pinzani ili...
  18. Genius Man

    Sisi kama nchi Tumetoka kwenye mfumo wa haki na demokrasia tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu uliovaa uso wa kidemokrasia

    Tumetoka kwenye ukweli na haki tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu ambao ni mfumo usiokuwa na maana yoyote hali inayopelekea nchi kuonekana kama ni ya kidemokrasia kwa nje lakini ndani yake sio kama inavyoonekana kuanzia kwenye vyama hadi kitaifa kwa ujumla. Watanzania wengi kama mimi wapo...
  19. Dogoli kinyamkela

    Huu ni ulimwengu wa udanganyifu

    HUU NI ULIMWENGU WA UDANGANYIFU ✍️Kuweza kuelewa kuhusu ulimwengu asili lazima ujiunge na wakushi yaani watu wa asili,huko utaweza kutumia mimea,mafuta ya mimea ,wanyama na ndege ,mawe ya kiroho ,madini ,maji,hewa ,udongo na moto ilikuweza kuufikia ulimwengu halisi. ✍️Kupitia tahmuli na...
  20. secretarybird

    Ni udanganyifu gani ulishawahi kuufanya katika chumba cha mtihani ulipokuwa mwanafunzi?

    Ni matumaini yangu kuwa wengi wetu(99.9) humu JF tumepita shuleni kwani tusingepita kule tusingekuwa na uwezo wa kutoa wala kusoma comments humu. Mfumo wetu wa elimu unamtaka mwanafunzi wafaulu mtihani kwani mtihani ndio unaomfanya mtu kutoka ngazi moja kwenda nyingine endapo atafaulu ama...
Back
Top Bottom