uchumi

  1. ErastoMashauri

    SoC04 Ili kuinua uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja

    Utangulizi: Ukifuatilia kwa umakini zaidi kuhusu Maendeleo ya Nchi nyingi zilizoendelea hapa Africa, America na hata Ulaya, Utagundua kabisa kuwa mambo mengi au vitu vingi ukiacha miundo mbinu iliyofanywa na serikali!, Vingi pia vya kuvutiaKama Hoteli kubwa, Shule, Viwanda Nk. vimefanywa na...
  2. F

    SoC04 Mchango wa Uhuru wa Habari katika Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Mwanzo wa kunukuu, UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UNATOKANA NA UTASHI WA KISIASA - WAZIRI NAPE 03rd May, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amesema uhuru wa vyombo vya habari unaoshuhudiwa sasa unatokana na utashi wa Kisiasa wa Rais wa Jamhuri...
  3. F

    SoC04 Mchango wa Rais Samia katika Kuendeleza Utalii kupitia Filamu kwa Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni kutumia tasnia ya filamu kuendeleza utalii na kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Katika miaka 25...
  4. MDAU TZ

    SoC04 Muda uwe ni dira kuu katika ujenzi wa uchumi wa taifa

    MUDA ni sehemu muhimu sana katika mpangilio wa mambo mengi duniani, na hii ni tangu kwa kuumbwa kwake, kutokana na maandiko ya vitabu vya dini, vimeandikwa kwamba hata Mungu aliutumia muda katika kuumba ulimwengu, na kuongeza kuwa Dunia iliumbwa kwa siku sita na ya saba ikawa ni mapumziko yake...
  5. De Rama Msirikale

    SoC04 Matumizi sahihi ya ukuaji wa teknolojia na mawasiliano ili kukuza pato la uchumi kwa wananchi miaka 5 hadi 10 ijayo

    Matumizi Sahihi ya Ukuaji wa Teknolojia Duniani: Njia ya Kuinua Uchumi wa Mtanzania kwa Miaka 5 hadi 10 Ijayo Katika ulimwengu wa leo unaobadilika kwa kasi kutokana na maendeleo ya teknolojia, Tanzania ipo katika nafasi ya kipekee ya kutumia ukuaji huu kuboresha uchumi wake. Hapa chini ni...
  6. D

    SoC04 Uchumi Endelevu kwa Tanzania yetu

    Utangulizi, Uchumi ni neno lenye maana pana sanaa, ila kwa kifupu uchumi ni jinsi tunavyoweza kutumia rasilimali tulizo nazo kutimiza mahitaji yetu ya kila siku kama mtu mmoja, familia , ukoo, jamii mpaka taifa na kimataifa. Uchumi endelevu ni jinsi ya kutumia rasilimali tulizonazo...
  7. R

    Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

    Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali. Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana...
  8. Roving Journalist

    Dkt. Nchemba aongoza Baraza la Mawaziri wa Fedha na Uchumi Afrika Mashariki

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameongoza Mkutano wa 16 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Fedha na Uchumi (SCFEA) na mkutano wa Mashauriano ya Kibajeti wa Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango wa Sudani...
  9. Wakusolve

    SoC04 Mustakabali wa Teknolojia na suluhisho la ukosefu wa ajira na kukuza uchumi wa Tanzania

    Teknolojia nini? Teknolojia ni hatua ya mabadiliko kutoka katika matumizi magumu ya kazi kuja katika njia rahisi ya utendaji kazi kwa urahisi na haraka. Au Teknolojia ni sayansi ya hali ya juu ya ubunifu wa vitu na kubadilisha vitu vilivyokuwa na mifumo wa njia nyingi za uchakataji wa jambo...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga. Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono . Mdoli waneupaka rangi ya Tanzania, mdoli hautembei, haujui Kiswahili wala lugha yoyote. Waliohusika kuununua washikwe wafunguliwe...
  11. CHAGOSI GERALD

    Kwanini Shilingi inazidi kupoteza thamani yake dhidi ya Dola?

    Kipindi nipo chuo miaka miwili iliyopita nilikuwa naona USD inacheza kwenye Tsh2300 hivi lakini hivi sasa Dollar imepanda sana. Hii inamaana gani kwenye uchumi wetu? Kwanini Shilingi inadhidi kupoteza Thamani yake dhidi ya Dollar? Labda tuseme uchumi unakuwa kwa maana hiyo hata Garama za...
  12. Jengoz

    SoC04 Uwezeshwaji wa wananchi kumiliki uchumi

    Kwa majina naitwa Majengo Saidi Swadi. Nianze kwa kuangazia namna ambavyo maisha halisi ya wananchi yanavyotofautiana na takwimu za kukua kwa uchumi wa nchi. • Kwa kawaida tunasema kipimo cha uchumi mifukoni ni namna ambavyo watu wanaweza kumudu maisha yao ya kila siku kutokana na kipato chao...
  13. S

    Wakati uchumi wa Tanzania ukitegemea zaidi Kilimo ulipita wa Kenya na Ethiopia

    Ni muda wa kurudia misingi ya zamani. Ardhi kubwa yenye rutuba ipo.
  14. Vugu-Vugu

    Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6

    CEO wa PPP Bw David Kafulila amesema Mpango wa Serikali ya Tanzania wa Miaka Mitano umelenga kutekeleza jumla ya miradi yenye thamani ya TZS 114 Trilioni, TZS 40.6Trilioni zitatoka katika Sekta binafsi Kwa kutumia JV, UBia na Utaratibu Mwingine Serikali itakaoona unafaa. Mkurugenzi huyo...
  15. Kazanazo

    Imechukua muda gani kutoboa katika biashara yako? Umejifunza nini?

    Wakuu hebu fungukeni ni miaka mingapi upo kwenye biashara na je, umefanikiwa kutoboa kibiashara? Na, ulifanyaje kufika hapo. Nina kaduka kangu mwaka wa tano huu sioni dalili ya kutoboa japo sijakata tamaa ila changamoto ni nyingi sana ikiwemo madeni na mtaji kiduchu bado napambana. Je, wewe...
  16. BabuKijiko

    Jesca Msambatavangu: Elimu yetu ya juu ihakikishe inakuwa chazo cha kuboresha uchumi wetu

    Jesca Msambatavangu: Elimu yetu ya juu ihakikishe inakuwa chazo cha kuboresha uchumi wetu.
  17. N

    Unaweza ukahisi industry inayoendesha uchumi wa taifa letu kwa sasa ni mpira, comedy na muziki

    Sikatai hivyo vitu Kwa sehemu kubwa vimeajiri watu wengi na ni matumain ya kila mmoja kuona vinakuwa kwani vina mchango pia ila why vimeshika kasi mno kipindi hiki cha uchaguzi huku tukiwa tumechezea majanga ya asili ya kutosha. Sijasikia wabunifu wa sayansi na teknolojia kuitwa ikulu au kwenye...
  18. Salman raj jetha

    SoC04 Mwongozo wa Maendeleo: Njia ya Tanzania kuelekea Uchumi Endelevu na Usawa

    Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25 Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu 1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
  19. G

    SoC04 Tanzania Tutakayo: Bei ya nauli ya SGR izingatie hali halisi ya uchumi wa wananchi

    Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia kutokana na kutumia nishati mbadala ya umeme badala ya mafuta sababu tumekuwa tukishuhudia kupanda kwa...
  20. Tanzanized S

    SoC04 Tanzania 2044: Miaka Ishirini ya Kujiimarisha

    Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu katika ustawi wa nchi. Katika makala hii nimeelezea mpango wa maendeleo tunaoweza kuutumia...
Back
Top Bottom