uchukue

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa Watumishi wa Umma: Kipi Bora Kwako Kama Mwajiriwa? Uchukue Mkopo Mkubwa Kwa miaka 10 au Uchukue Mkopo Kidogo Kidogo?

    Kwa maoni yangu kuliko kuchukua vimikopo vidogo vidogo vya kulimbikiza Bora nichukukue pesa ndefu miaka 10 kabisa au zaidi nifanye jambo linaloeleweka. Ukiona wale waliokopa na wakafanya ujenzi ukaishia njiani, wengi wao ni walichukua Mkopo wa muda mfupi (less than 5 years). Lakini ukichukua...
  2. Mafunzo 10 ya kifedha kutoka kitabu cha Rich Dad, Poor Dad Cha Robert Kiyosaki (Toleo la kiswahili)

    Kitabu Rich Dad Poor Dad cha Robert Kiyosaki kinatoa masomo kadhaa ya msingi kuhusu pesa, uwekezaji, na mtazamo. Yafuatayo ni mambo makuu kumi tunayojifunza kutokana na kitabu hicho: --- 1. Matajiri Hawafanyi Kazi kwa Ajili ya Pesa Maelezo: Baba maskini anafundisha kufanya kazi kwa ajili ya...
  3. Kama unahitaji kifusi nicheki uchukue Bure

    Habari zenu wakuu, kuna sehemu nafanya kazi hapa Buguruni imevunjwa nyumba na limechimbwa shimo la choo sasa kifusi ni kingi na ni eneo la baarabarani, ikiwa unahitaji nicheki uje ubebe asubuhi bure kbisa. Njoo na gari na watu wako wa kupakia hicho kifusi 0624254690
  4. Njoo uchukue BOXER X 125 "DRD"

    Pikipiki makini ya kupiga kazi hii hapa. BOXER X 125 "DRD" 🔥🔥🔥 Unaipata kwa 1,880,000/= Tu Napatikana Mbezi Beach, Dar es Salaam na kama uko mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. CALL/WHATSAPP 0683535699
  5. Njoo na 350k uchukue steering wheel

  6. Rais Samia, atekwe nani ndo uchukue hatua?

    Ulipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida. Ni kweli kifo ni kitu cha kawaida sana kama hayajakukuta. Swali langu kwako mama ni hili," Ni nani atekwe au apotee ndo uchukue hatua nzito kama mkuu wa nchi"?. Kama vyombo vya Dola ndani ya nchi vimeshindwa...
  7. A

    KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo. Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
  8. PS 3 GAME KWA AJILI YAKO AU WATOTO WAKO NJOO UCHUKUE

    Ps 3 hiyo, wafurahishe watoto wako kipindi hiki cha likizo 300 k Games za kutosha Nipe 300k tu Temeke. MORTAL KOMBAT GTA 5 NEED FOR SPEED ARMY WAR SPIDERMAN
  9. UNAHITAJI KITANDA? NJIO UCHUKUE HIKI

    Kama unavokiona kwenye picha kipyaaa, njoo ubungo riverside 150k tu nakuachia 0697224996
  10. Una mshahara wa laki nane, kwanini uchukue mkopo na kuanza kukatwa karibu laki nne?

    Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano. Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini...
  11. Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
  12. Maendeleo/ Furaha Yako Ni Zao La Unaotumia Nao Muda Mwingi. Yajue Haya Na Uchukue Hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile...
  13. SoC03 Maendeleo/ Furaha yako ni zao la unaotumia nao muda mwingi. Yajue haya na uchukue hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile ipo...
  14. Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
  15. Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  16. Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

    Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
  17. House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  18. Mtanzania njoo uchukue ujuzi ukapige pesa

    Nimeleta fursa hii kwenu watanzania wenzangu lengo ni kuona ni jinsi gani tunaweza kujikwamua kiuchumi. Idea hii hakika akuna mtu atajutia,so watanzania wengi awatambui kwamba kunapesa nyingi sana kwa sasa kupitia mfumo wa teknolijia.. Kwakutambua hilo nimekuja na huu mfumo ambao kila mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…