uchawi

  1. JamiiForums Tanzania Huu ni uchawi kwenye mapenzi

    Hawa wanawake hawa aseoee
  2. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi Mkenya aliyepotea Saudi Arabia kwa miaka 12 apatikana amefungwa gerezani kwa makosa ya uchawi.

    Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia ndugu zake waliokuwa wakimtafuta kwa miaka 12 kwamba walikuwa wote gerezani huku Esther akiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli uchawi upo Duniani ?

    Hii imekaaje jamani... Leo usiku majira ya sa 8 kasoro niliamka na kutoka nje Kuna kitu nilisahau nilienda kuchukua hapo nje ( ndani ya fence) Nilivyofika kwenye varanda la nje sijui nini kilitokea Mimi nilianguka sehemu ambayo hata mtoto mchanga anayejifunza kutembea hawez kuanguka...
  4. JamiiForums Tanzania Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

    Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa. Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania. Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na nguvu ya Nuru umeanza tangu Binadamu alipoumbwa hapa duniani. Na sehemu nyingi kuonekana Nguvu ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuamka ukiwa umechanjwa shingoni (imezungukwa yote) mbavuni na mapajani Ina maana gani?

    Dogo yamemkuta hayo mambo mara kadhaa jamani. Ni uchawi wenye tafsiri gani huu?!!!! Mbona maisha yanakera namna hii!!!!!!😡😡😡😡
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwenye imani kuna Uchawi eeh?

    Inakuaje mtu mpaka anaanza kumwamin mtu kama Tonny na wengine wa aina yake kiasi cha kumpa hela ati akiita sadaka, kwenda kushinda na kukesha huko? Kwa akili ya kawaida haikuji, hawa huwa wanalogwa kwanza...🤔
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

    Duh haya maisha sio poa sikutegemea kama dar es salaam jiji lenye kila aina ya starehe , kwamba na penyewe uchawi upo , yaani kuna uchawi balaa,sio poa hususani maeneo ya Mbagala, Chanika na chamazi dar nimeishi maeneo mengi ila sio kwa hayo maeneo yaani uchawi ndo ulipo lala, bora hata mikoani 😜
  8. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shattered Evil: Light And Shadow

    SHATTERED EVIL:LIGHT AND SHADOW MTUNZI:KAILOJONHJO.  UTANGULIZI SHATTERED EVIL: LIGHT AND SHADOW Ni simulizi inayochanganya ,mystery, fantasy,mapenzi, ujasusi Miaka ya zamani watu walisifika sana kua na nguvu iyo ilitokana na kua na upeo mkubwa wa akili mpaka...
  9. JamiiForums Tanzania CWT kuna uchawi gani mabilioni ya wanachama inaliwa bila maelezo?

    Nini maana ya kuchanga, kutoa michango. Kwa kawaida michango ikitoka kwa wanachama linafwata jambo lingine. Matumizi ya michango kwenye malengo mliojiwekea. Hii cwt nilianza kuisikia miaka nenda rudi. Je haijafikia lengo? Je wanachama wanaendelea kuchanga? Kwa nini hawakomi kuchanga na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Zijue athari za Uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato

    Zijue athari za uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato Habari ya mchana ndugu mpendwa mfuatiliaji wa makala zetu mbalimbali zenye kukupa ufahamu juu ya maradhi mbalimbali yanayoizunguka jamii yetu, iwe ni maradhi yanayotokana na mazingira yanayotuzunguka au viumbe wenzetu...
  11. JamiiForums Tanzania Ukipanda Mimea au miti inazuiaje nguvu za Giza na uchawi.

    Nitakueleza kwa kina na kwa lugha rahisi jinsi mimea na miti hii inafanya kazi kuzuia nguvu za Giza: --- 🌿 1. Jinsi mimea inavyofanya kazi kuzuia nguvu za Giza ✅ (a) KIMWILI (Physical effect) 1. Harufu kali (aromatic compounds) Mimea kama uvumba, manemane, mkaratusi (eucalyptus), mikusu...
  12. JamiiForums Tanzania Uchawi hupo hii ni live tukio wala sio sinema.

    Kuna kipindi kinaitwa Easterntv kupitia youtube kikionesha kisa kilianza baada ya jamaa mwenye kipindi kuibua challange ya wapenzi ambaye mwanamke wake kumbe alikuwa anauza watoto na kuwaotoa bone marrow. kama mnaweza kufatilia mtafatilia mwanzo mpaka sasa. Sasa askari wamemtafuta sana ila baada...
  13. JamiiForums Tanzania Je watumishi wa Mungu hamuwezi kuhubiri bila kuongelea uchawi?

    Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa . Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi? Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina.
  14. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

    Kutoka Pm: " Mkuu Likud mbona siku hizi uandiki mada kuhusu uchawi? Anyways mtaani kwetu kuna mdada kafariki ghafla, mama ake anasemekana ni mchawi. Tetesi ni kwamba binti aliingizwa Kwenye uchawi then akaukataa. So nauliza kwanini MTU akijitoa Kwenye chama cha uchawi wana muua...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Waafrika wamejizolea umaarufu kwenye sifa mbaya kama wivu, fitna, kusalitiana, tamaa, rushwa, uvivu, uchawi, uzinzi na umaskini ?

    (i) wivu/husda/fitna (ii) kusalitiana/kuuzana (iii) tamaa/rushwa (iv) uvivu (v) uchawi (vi) umaskini vii) uzinzi viii) kukwepa uwajibikaji kwa kupenda kuhamisha lawama
  16. JamiiForums Tanzania Kama unaogopa kulala nyumba zenye uchawi au ushirikina, dawa hii hapa

    Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa nywele, kujikuta umelala nje ya nyumba na kitanda chako nk nk. Ukilala katika nyumba zenye uchawi au...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli uchawi huwa hauvuki bahari?

    Wataalam wa mambo ya jadi embu tusaidieni, kwa mfano inawezekana Mchawi wa Zanzibar kuja kuwanga bara na kinyume chake?
  18. JamiiForums Tanzania Uchawi, budha, Islamic, ukristo, Jewish, shinto nk

    In short m sijihusishi na dini yoyote hapo juu kuna ile kasumba ya wafasi kujiona wao bora na kuwaita wenzao majina yasio faa. Mnakosea sana kwa mtazamo wangu usije kumvunjia vyungu vya uchawi mtu angalia pita hivi sababu vinamnufaisha yeye sasa kumuona mwenzako pepo ni hakili ndogo tu Mimi...
  19. JamiiForums Tanzania CEO JKT Tanzania ameiabisha taasisi ya umma kwa uchawi michezoni, hafai

    Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale. JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya...
  20. JamiiForums Tanzania UCHAWI: Ongezeko la paka kukatwa mikia

    Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections) Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani) kuwaona wamekatwa mikia ,mwanzo niijisemea ni mambo ya watu wakatili kwa wanyama ,badae nikaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…