uchawi

  1. Chuo kikuu India kufundisha madaktari masuala ya uchawi

    Chuo maarufu nchini India kimeanza kutoa kozi ya ngazi ya cheti kwa madaktari jinsi ya kutibu wagonjwa wanaopatwa mapepo au huyaona. kozi hiyo ya miezi sita katika chuo kikuu cha Banaras Hindu (BHU) kwa mji wa kaskazini wa Varasanasi, kozi hiyo itaanza mwezi Januari. Na pia kozi hiyo itakua...
  2. Sababu za kiroho kwanini uganga na uchawi wake siku hizi hauna nguvu kama.ilivyo kuwa zamani.

    Kwenye kamusi yangu, neno mganga linatokana na neno "kuganga" yaani.kubahatisha..Kwa hiyo mganga NI mtu.anae bahatisha.bahatisha tu yani Hana uhakika na.kile anacho kifanya. So unapokuwa na tatizo serious halafu ukaenda kwa.mganga ili akusaidie Basi jua unapeleka shida yako kwa.mtu ambae Hana...
  3. Tetesi kutoka kwa mmoja wa wanaKamati ya Ufundi/ Uchawi wa ''Jangwani FC'' zinasema ya hivi

    Kumbe ile ajali ya basi lile la mashabiki wa Yanga SC wakati wakiwa safarini kwenda Mwanza kulitakiwa wengi wao watangulie mbele ya haki ili ushindi uweze kupatikana jana, ila Mwenyezi Mungu hakutaka kukubaliana na huo ''Upopoma'' na badala yake ''akawaadhibu'' sasa kwa kufungwa. Kazi ipo...
  4. K

    Waganga/ Wachawi Congo waiombea nchi yao. Je, wana nguvu yoyote?

    Nilika naangalia kwenye youtube nikakutana na Video ambayo imegishangaza sana nikaona basi nishirikishe wana JF na kusikia maoni yao Na video yenyewe hii hapa Je? kuna nguvu yoyote ndani ya jitihada Zao?
  5. Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

    Enzi zile nasoma shule ya msingi kulikuwa na vijana waliokuwa wakija shule kwa ajili ya mazingombwe. Walikuwa wakifika shuleni mara kwa mara kwa ajili ya maonyesho hayo. Walikuwa wakipewa kibali na mwl mkuu/mwl wa michezo pamoja na kupewa darasa la kufanyia mazingambwe yao kama ukumbi. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…