uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Corona isififishe juhudi za kudai Tume huru ya uchaguzi

    Kichwa cha habari chahusika . Natambua juhudi zote za kila mmoja ikiwa ni pamoja na serikali na Taasisi mbalimbali , zinazofanyika kwenye kuzuia na kupunguza na bila shaka kuondoa kabisa ugonjwa wa hatari wa virusi vya COVID - 19 , naunga mkono juhudi hizo kwa vitendo baada ya mimi pia kugawa...
  2. Askofu Shoo asisitiza NEC kusimamia uchaguzi huru, wa haki na wenye ukweli

    Moshi/Mwanza. Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limeisihi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia mchakato mzima wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kwa uaminifu, uhuru na haki. Kanisa hilo limesema haki na kweli ikitamalaki katika taasisi au taifa lolote, umoja...
  3. Uchaguzi CWT: Wakuu wa Shule na Ma-MEK hawafai

    -Wengi wao ni vibaraka wa Wakurugenzi na Maafisa Elimu (DEO);Wametumwa --Wakuu wa shule, Waratibu Elimu Kata (MEK) hawafai kuchaguliwa Siku na Tarehe ya kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) utatangazwa muda wowote, hii ikiwa ni baada ya tarehe ya awali kuhairishwa...
  4. GE2020 Anguko la upinzani na hoja pofu ya Tume Huru ya Uchaguzi

    Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Ni wazi kuwa Tanzania ina vyama vinne pinzani vyenye nguvu na ushawishi katika medani ya...
  5. GE2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

    Kwanza tuombe Mungu hii homa isitufikie. Pili Ulaya wameshaanza kuzungumzia baadhi ya match kuchezwa bila mashabiki kwa hofu ya kuambukizwa hii homa. Kwa jinsi ninavyoona kitakuwa kisingizio valid kwa serikali kubakia madarakani na kuchelewesha uchaguzi. Au uchaguzi utafanyika bila campaign...
  6. T

    Hili la kutoteua bodi na kutowapandisha vyeo watumishi litawagharimu Selikali ya CCM uchaguzi huu

    Basi sometime huwa natoka huku Idukilo naenda hadi jijini Mwanza na siku zingine naenda Shinyanga hata Simiyu. Kwa kabiashara kangu ka kukopesha vihela na kununua mazao na biashara nyingine sometime na madini ya Mwadui basi wafanyakazi wa Selikali wamekuwa marafiki zangu sana. Basi juzi nikiwa...
  7. GE2020 Dar: Meya Boniface Jacob atangaza kutogombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob ametangaza kutogombea tena nafasi ya udiwani wa kata ya Ubungo katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2020 nchini Tanzania. Boniface Jacob ametangaza uamuzi huo kupitia mtandao wake wa Twitter unaotumia jina la @MayorUbungo ambapo...
  8. Nani aingie na nani atoke bungeni baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020?

    Pilikapilika za Uchaguzi Mkuu wa 2020 zimeanza. Tayari Mbunge wa Muleba Kaskazini kwa tiketi ya Chama tawala CCM Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka ametangaza kutowania ubunge. Naye Diwani wa Ubungo Kwa tiketi ya Chadema Boniface Jacob ametangaza kutowania Tena udiwani baada ya kuongoza kwa...
  9. M

    NEC yakabidhiwa magari 12 maandalizi Uchaguzi Mkuu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama amekabidhi magari 12 kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ambayo ni sehemu ya magari 20 yalionunuliwa na tume ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu...
  10. Mjadala mpana kuhusu 'madai' ya tume huru ya uchaguzi

    Wakuu, Mjadala huu unawahusu wale ambao 'in a serious note' wanafikiri Tanzania tunahitaji 'tume huru' ya uchaguzi tofauti na hii tuliyo nayo. Kama wewe ni miongoni mwao, fuatilia mjadala huu kwa karibu, utakujengea uelewa ambao haukuwa nao hapo kabla.Kama pia wewe unadhani ndio unatakiwa...
  11. Bunge letu ni bunge la ajabu kweli! Je wanawakilisha wananchi gani? ni wabaguzi na wabinafsi wasiludi uchaguzi ujao

    Sijui ni utoto na mzaha wa Ndungai? Au ni kibri cha Tulia Akson? Wamejipunguzia masaa ya kufanya kazi wakati mshahara wao na posho zikiwa vile vile, baada wakate pesa zao ziende kwenye kupambana na corona wao wanajipunguzia masaa ya kazi! Wanapitisha kujipunguzia masaa ya kazi kisa corona...
  12. GE2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

    Rais Magufuli akipokea ripoti ya Takukuru na ya CAG amesema kwamba uchaguzi hautaahirishwa kutokana na uwepo wa ugonjwa wa Corona. NUKUU "Sisi tunaendelea kukutana, ndiyo maana hata Bunge linaendelea na vikao vyake, hata huko kwenye nchi zilizoathirika kabisa, mamilioni ya watu wamekufa kwa...
  13. Kujipanga kwa uchaguzi mkuu 2020

    Sasa ni muda muafaka kwa vyama vya siasa, kupitia kwa hatua ya mwisho kabla ya kwenda kunadi SERA NA ILANI ZA UCHAGUZI 2020 za vyama zao. Hii itasaidia wananchi kupata SERA ZILIZO SHIBA, hivyo kutakuwa na wigo mpana wa kuchagua sera bora kutoka vyama mbalimbali vya siasa, Kuliko sera na ilani...
  14. H

    GE2020 Uchaguzi Mkuu 2020

    Habarini za asubuhi wanajamvi? Kama ambavyo vyama vya upinzani viliungana 2015 na kutengeneza neno UKAWA na hatimaye kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2015 basi kwenye uchaguzi wa 2020 wafanye hivyo hivyo. Mwanachama aliyefukuzwa Kule CCM basi awe mgombea wao 2020 bila...
  15. Israel: Mahakama yaamuru Bunge lifanye uchaguzi wa Spika mpya bila kisingizio cha Corona

    Mahakama ya juu nchini Israel imeamuru spika wa bunge aandae uchaguzi wa mrithi wake kufikia Jumatano ijayo, amri inayoongeza mkwamo uliopo kati ya wapinzani na wanaomuunga mkono waziri mkuu Benjamin Netanyahu. Spika wa sasa Yuli Edelstein wa chama cha Likud cha Netanyahu alikuwa amepuuzilia...
  16. Membe anaweza saidia sana katika mchakato wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Vyama vya siasa vinavyo jitambua ambavyo vimeanzisha mchakato wa kudai Tume Huru ya uchaguzi vinaweza kucheza vizuri karata kama watamtumia Bernard Membe. Namshauri Membe kutojiunga na chama chochote cha siasa ili kile anachokiamini kiweze kufanikiwa, apigane hii vita akiwa kama mwanaharakati...
  17. CHADEMA yaanza kutumia mbinu za kisasa kudai Tume Huru ya Uchaguzi. Kalamu na Mask zenye maneno "TUME HURU" zaanza kusambazwa mitaani

    Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa , Tuendelee kutega sikio kwa Taarifa zaidi . Mungu ibariki Chadema
  18. Tetesi: Uchaguzi Tanzania kusogezwa mbele

    Zilizovuja ni kuwa Meko amecopy kwa dikteka mwenzake Museveni kusogeza uchaguzi mbele. Ila tunawakumbusha mataga, tutadai tume huru mpaka itakapopatikana
  19. Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, John Magufuli (kulia) USULI Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa waraka wa Kwarezima ya 2020. Katika makala hii nafupisha, kutafsiri na kutumia hoja yao yenye madokezo makuu saba, katika kuonyesha kwamba Tanzania inayo Katiba...
  20. Maoni yangu: Naomba Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 hili liwe Baraza la Mawaziri

    Naomba uchaguzi Mkuu mwaka 2020 ili liwe baraza la Mawaziri kwa maoni yangu, lakini pia unaweza kukosoa na kupendekeza manaibu wao. Rais - Lissu (Chadema) Waziri Mkuu - Juma Assad (Hana chama) Makamo wa Rais - Bernard Membe (Hana chama) Uchukuzi na Mawasiliano Bashe (CCM) Waziri wa Mambo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…