Nani aingie na nani atoke bungeni baada ya uchaguzi Mkuu wa 2020?

Jul 8, 2013
47
65
Pilikapilika za Uchaguzi Mkuu wa 2020 zimeanza. Tayari Mbunge wa Muleba Kaskazini kwa tiketi ya Chama tawala CCM Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka ametangaza kutowania ubunge.

Naye Diwani wa Ubungo Kwa tiketi ya Chadema Boniface Jacob ametangaza kutowania Tena udiwani baada ya kuongoza kwa vipindi viwili huku akisema amewasikia wananchi wa Ubungo. Bila Shaka kuwasikia ni Kuwa sasa atawania ubunge.

Swali kwako mwana JF mwenzangu Ni mwanasiasa yupi ungependa kumuona akiingia bungeni na yupi usingependa kumuona akiwepo bungeni baada ya uchaguzi mkuu ujao?
 
Natamani kuona bunge lijalo kwanza lizinduliwe na mugumu wa kufa TL wabunge wa ccm wawemo 1 makamba 2 Zungu
 
Bunge lijalo litakuwa na wapinzani wawili au watatu tu, hawana uwezo wa kushinda kwa maendeleo haya yanayoletwa na CCM
 
Wabunge wote wa viti maalum na wale wote walipata ubunge kwa rambi rambi @ Goodluck Mlinga @ Kigoda @ Mgimwa etal
Pilikapilika za Uchaguzi Mkuu wa 2020 zimeanza. Tayari Mbunge wa Muleba Kaskazini kwa tiketi ya Chama tawala CCM Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka ametangaza kutowania ubunge.

Naye Diwani wa Ubungo Kwa tiketi ya Chadema Boniface Jacob ametangaza kutowania Tena udiwani baada ya kuongoza kwa vipindi viwili huku akisema amewasikia wananchi wa Ubungo. Bila Shaka kuwasikia ni Kuwa sasa atawania ubunge.

Swali kwako mwana JF mwenzangu Ni mwanasiasa yupi ungependa kumuona akiingia bungeni na yupi usingependa kumuona akiwepo bungeni baada ya uchaguzi mkuu ujao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mm wakitoka wote, pamoja na Rais halafu wakaingia wapya chini ya Presida B. MEMBE

Sent
 
Back
Top Bottom