uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyejipanga kupora uchaguzi tunamjua, Wananchi tukapige kura kwa wingi kumkataa!

    Kwa wananchi wote ambao miaka mitano wameathirika kwa utawala mbovu wa Rais Magufuli na chama chake, ni wakati wa kuungana kumkataa kwenye sanduku la kura! Hofu kubwa waliyonayo wananchi ni kuporwa kwa matokeo na tume ya uchaguzi ambayo kwa mazingira ya uwepo wake na utendaji wake kwenye...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Shura ya maimamu yakana kutoa waraka wa uchaguzi, yampongeza Rais Magufuli kwa kuitokomeza Corona

    Amiri mkuu wa Shura ya maimamu Shehe Kundecha amekana Taasisi anayoiongoza kutoa waraka wowote unaohusu uchaguzi. Kundecha amesema yeye kama kiongozi mkuu wa waislamu hana taarifa yoyote juu ya waraka unaosambazwa mitandaoni na kwamba waraka huo ni feki. Shehe Kundecha amempongeza Rais...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania tuwe makini: Viongozi wengi hupenda kugawa "vitu" badala ya "akili" ya kuvipata vitu hivyo

    Ni aibu karne ya leo kupokea baiskeli, chumvi, T-shirt kama kichocheo cha kutoa kura yako. Tumesikia Wabunge kadhaa tena wa Chama chetu Tawala wakishikiliwa na Takukuru kisa ni kutoa rushwa. Ni aibu vilevile Kiongozi kujinadi kuwa amejenga barabara za vijijini hivyo tumpe Kura. Je, niwaulize...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi atashinda uchaguzi, Maalim Seif atashinda kura

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha mchakato wa kupata mgombea wake wa urais kwa upande wa Zanzibar. Ni Hussen Ali Hassan Mwinyi. Mwanasiasa mtulivu, mkimya na asiyependa kujikweza. Zipo tetesi kuwa ukimya wa Hussein Mwinyi, unavuka mipaka ya kawaida. Hata kwenye vikao vya Baraza la...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt Khalid Salim Mohamed -kura 19 (11.58%) 3. Shamsi Vuai Nahodha -kura 16 (9.75%). Zanzibar 2020 - Wasifu...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

    Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele . Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii wasiwe na uchu wa madaraka kwa kutaka kila mmoja kugombea kwenye Uchaguzi

    Ni miezi michache tu imesalia kwa Tanzania kushuhudia wananchi wake wakijitosa kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kutumia demkorasia yao halali ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kwa wananchi wengi, uchaguzi ni hatua moja kubwa ya kuchagua viongozi ambao watakuja kulijenga au kuliporomosha...
  9. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wabunge na watia nia ambao kama watagombea hawatarudi bungeni 2020 kupitia vyama vyao au kisanduku cha kura

    Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea . 1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown. 2. Zitto - Kigoma Mjini 3...
  10. JamiiForums Tanzania Maendeleo yote yaliyoletwa na awamu ya tano, kwanini wanaogopa Tume huru ya Uchaguzi

    Kwa mujibu wa serikali ya awamu ya tano ,imefanya mambo makubwa sana , ununuzi wa ndege ,ujenzi reli ya kisasa SGR, Stiegersgorge , rais aliyepo amefanya makubwa kuliko marais wote waliopita ikiwrmo ujenzi wa viwanda 100 kila mkoa ,kama hivyo ndivyo kwanini wanaogopa tume Huru ya uchaguzi? Ili...
  11. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheria zinazozuia matusi katika Uchaguzi Mkuu ni zipi?

    Ninajiuliza ni sheria zipi zinazosimamia na kuzuia matusi wakati wa Uchaguzi ujao wa Udiwani, Ubunge au Urais hapo Oktoba 2020. Tafsiri ya tusi/matusi ni nini? Je,hawa watakaotuhumiwa kuwa wametukana watawezaje kuthibitishwa? Je, haiwezekani mtu akamtuhumu mshindani wake katukana ili asiwe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe ameanza kukanyaga kwenye uwanja wa uchaguzi kwa mguu wake mbovu

    Hivi karibuni Mwanasiasa BM amekuwa akitumia uwingi pale anapoeleza azma au nia yake kwa jamii. Mara kadhaa amesikika akitumia maneno kama vile Tutagombea, Tutachukua fomu, Tutashinda, nk. Watu wengi na hasa wachambuzi wa mambo ya siasa wamekuwa wakijiuliza maana halisi ya matumizi hayo ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tume huru ya uchaguzi haitoshi kuiondoa CCM madarakani

    Habari waungwana? Mara zote ukweli haupendwi na wapinzani na wanaCCM pia hawaupendi. Ukweli ni kwamba CCM haiwezi kuondolewa kwenye dola kwa kutumia tume huru ya uchaguzi. Simaanishi kuwa Tume huru ya Uchaguzi haina maana hapa nchini. Nitaelezea hili kwa njia ya swali kisha msomaji utajibu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fomu za kugombea urais kupitia CHADEMA, zaanza kutolewa. Wanachama wahimizwa kuchukua fomu

    Watia nia na wote wanaotaka kutumia haki yao ya Kikatiba, kugombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA wataanza kuchukua fomu leo Julai 4, 2020, Ofisi za Makao Makuu ya Chama, Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Kwa Urais wa Zanzibar, watachukulia Makao Makuu, Kisiwandui, Unguja-Tumaini Makene on...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Geofrey Timoth mtia nia Ubunge Jimbo la Kawe

    Jimbo la Kawe 2020
  16. JamiiForums Tanzania Tabia ya wanaCCM mtandao waliokuwa wanakitishia Chama nyakati za uchaguzi imekoma!

    Wapo baadhi ya wanaccm waliokuwa wanajiona ni wanamtandao na wakiamua kuleta taharuki ndani ya chama katika ngazi mbalimbali hasa nyakati za uchaguzi. Zama hizo zimeshapita kwani CCM ilishaonesha Umma kuwa inaweza kumshughulikia mwanaCCM yoyote iwapo hatozingatia maadili ya Chama. Wapo baadhi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT, mkishindwa kuwa kitu kimoja na kuachiana majimbo mtawafaidisha CCM

    Sijui nini kinaendelea kati ya CHADEMA na ACT juu ya kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu, ila napenda tu kuwatahadharisha kuwa wakishindwa kukaa pamoja na kuja na mpango mkakati wa pamoja juu ya namna bora ya kushirikiana katika uchaguzi huu,basi watakaofaidika na hali hii...
  18. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Anguko kubwa kwa watu wote maarufu wanaodandia siasa za CCM wakati wa uchaguzi

    Mwaka huu wa 2020 kuna uchaguzi mkuu, kumekuwa na heka heka kila kona ya nchi, katika vyama mbali mbali watu wakipigana vikumbo kuomba kugombea nafasi mbali mbali, hususani viti vya ubunge. Kwa leo hapa nitajikita kuchambua heka heka hizo kwa nafasi ya ubunge hasa kwa chama cha mapinduzi (CCM)...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Wapinzani, mikakati yenu yote kuhusu uchaguzi ikiwemo kusimamisha mgombea mmoja, msiifanye kwa njia ya simu

    Kutokana na maongezi ya vigogo wa chama fulani kuvujishwa mitandaoni kwa siku za karibuni huku wahusika wakipeta utadhani hawajavunja sheria, nawashauri sana kuepuka kujadili mipango yenu yoyote inayohusu uchaguzi kwa njia ya simu kwani inaweza kuvujishwa kwa lengo la kutoa siri zenu na hata...
  20. JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi haijileti yenyewe katika kishaza cha dhahabu - shurti itafutwe kwa kudai kwa nguvu zote!

    Kichwa cha uzi huu ni synonymous na ujumbe mujarab kutoka kwa baba wa kupigania haki za Wamarekani weusi huko US, Dr Martin Luther King, Jr. Hadi Barak Obama kuja kukubaliana kuwa rais wa taifa kubwa kama hilo haikuwa lelemama kabisa. Ama kina Condoleezza Rice na Collin Powell kushika nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…