Tume Huru ya Uchaguzi haijileti yenyewe katika kishaza cha dhahabu - shurti itafutwe kwa kudai kwa nguvu zote!

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Kichwa cha uzi huu ni synonymous na ujumbe mujarab kutoka kwa baba wa kupigania haki za Wamarekani weusi huko US, Dr Martin Luther King, Jr.

Hadi Barak Obama kuja kukubaliana kuwa rais wa taifa kubwa kama hilo haikuwa lelemama kabisa. Ama kina Condoleezza Rice na Collin Powell kushika nafasi nyeti kama ya Secretary of State haikuwa kazi ya kitoto hata kidogo.

Kuna sacrifices zilitokea kupelekea hali hiyo.

Come on!

Zitto John Mnyika CHADEMA Chadema Diaspora ACT Wazalendo

20200704_185303.jpg
 
Naunga mkono hoja, bila tume huru ya uchaguzi hakuna uchaguzi, bali ni kutimiza matakwa ya rais aliye madarakani. Wapinzani wahakikishe wakati huu wa kampeni ajenda ya tume huru ya uchaguzi iwe ndio kuu. Watangaze kabisa hakuna kupiga kura bila tume huru. Hapa hakuna kisingizio cha muda wala nini. Inatakiwa hiyo tume ivuliwe nguo mpaka imani ndogo iliyopo itoweke.
 
Back
Top Bottom