Kila kitu kinachosemwa na kufanywa na wanasiasa katika kipindi hiki Cha uchaguzi faida na hasara itakwenda kwa wananchi wa kawaida, hivyo wanasiasa tuchunge ndimi zenu na vitendo vyenu kwenye majukwaa.
Kwa vyovyote vile sisi wananchi tunapenda kusikia wagombea wakisema namna watakavyotupatia...