uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. tonicimmobility

    GE2025 Samia akabidhi Ilani ya Uchaguzi kwa wagombea Uyui

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa wagombea Ubunge wa chama hicho mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Uyui katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa chama hicho mkoani Tabora tarehe 11 Septemba, 2025. Soma...
  2. Adharusi

    GE2025 Uchaguzi Mkuu ni uhalali wa kutakatisha Fedha za Walipa Kodi

    Kwenye kalenda ya uchaguzi, tunaambiwa kutakuwa na kupiga kura, niwaambie watanzania wenzangu Chadema wanahoja, mfumo uliopo sasa, naomba sana muelewe ile kauli mbiu ya October tuna tiki, maana yake hata usipoenda kupiga kura, watakutikia .. Tume ifunge camera vituo vyote ,kama wanataka haki
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Sumaye awaonya wanachama wa CCM Manyara wasibweteke Uchaguzi Mkuu

    Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu. Fredrick Sumaye, ambaye kwa sasa ndiye mratibu wa kampeni za uchaguzi za CCM mikoa ya Kanda ya Kaskazini...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 TAFEYOCO yataka wananchi watumie mitandao kwa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Shirika la Vijana na Wanawake Tanzania (TAFEYOCO) limewataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kwa manufaa, ili kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais, huku likikemea vikali watu wote wanaojihusisha na vitendo au kauli zenye viashiria vya...
  5. B

    StarTV yakatisha matangazo ya BBC Swahili baada ya mtangazaji kusoma kichwa cha habari

    Kutokana na habari za utekaji kutrend Leo kwenye vyombo vya habari hasa habari hiyo kurushwa na BBC. Nikaamua niwafate BBC Swahili kupitia Star Tv Kila saa 3 kamili usiku. Cha ajabu hiyo habari ya utekaji imekatwa na star tv muda huu na kuweka matangazo TU. Aisee hii nchi ilikofikia na mbaya...
  6. M

    GE2025 Othman Masoud hana uwezo kabisa mbele ya Dkt Hussein Mwinyi, Bora Babu Duni

    Othman ni mjanja mjanja tu hana uwezo kabisa wa kuwa Rais, hakutakuwa na mpinzani Zanzibar wa kumfikia hata robo Maalim Seif, kiongozi Peker aliekuwa na uwezo na sifa za kuwa kiongozi ni Babu Duni au Juma Duni Haji. Othman hana mvuto mbele ya wananchi, hajui kujenga hoja, amelazimishwa tu kuwa...
  7. 6 Pack

    GE2025 Utabiri: Baada ya uchaguzi mkuu, kwa mara ya kwanza Tanzania inakwenda kuwa na Waziri Mkuu mwanamke

    Niaje waungwana Baada ya uchaguzi mkuu kuisha, na serikali mpya kuingia madarakani, namuona mwanamke fulan ambae kiumri sio mkubwa sana akiteuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania. Uteuzi huo utakuwa wenye mshangao, na mjadala mkubwa kutokana na ugeni wa mteuliwa, ila mwisho hali itatulia na...
  8. The Burning Spear

    Huyu hapa mpinzani wa Samia uchaguzi Mkuu

    GT Siongezi neno jionee mwenyewe
  9. SankaraBoukaka

    Badala ya kuzuia Hospitali, kwanini usiwakuze kiuchumi wananchi ili walipie huduma za maiti wao?

    Moja ya tabia zinazojirudia mara nyingi katika siasa ni matumizi ya matatizo ya wananchi kama nyenzo ya kisiasa. Wananchi wanapolia kuhusu gharama za huduma mbalimbali, wanasiasa badala ya kuwajengea mazingira bora ya kiuchumi, huibuka na kauli zinazowaridhisha kwa muda mfupi. Mfano ni pale...
  10. P

    GE2025 Serikali kugharamia magonjwa yasiyoambukizwa kwa watu wasio na uwezo

    🔹 Magonjwa yenye gharama kubwa mara nyingi ni kama vile: Saratani (cancer) Magonjwa ya moyo Upandikizaji wa figo na matatizo ya figo Upasuaji mkubwa Magonjwa ya kurithi na yasiyoambukiza ambayo yanahitaji tiba ya muda mrefu 🔹 Umuhimu wake kwa jamii: 1. Kupunguza vifo – wagonjwa wengi...
  11. Pascal Mayalla

    GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi. Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
  12. Mr Dudumizi

    Uzi Maalum kwa ajili ya kampeni za vyama mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.

    Habari zenu wanaJF wenzang Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu. Kama una taarifa, una...
  13. E

    GE2025 Baraza la Kidigitali CHADEMA: Viongozi wajadili mustakabali wa uchaguzi Mkuu 2025

    Chama cha Demokrasia na Mendeleo kimeandaa Baraza la Kidigitali ambalo leo Agosti 27, 2025 kwa lengo la kujadili mustakabali wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Fuatilia... https://www.youtube.com/watch?v=X6MuQ8tB36M
  14. JanguKamaJangu

    GE2025 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi Mgombea Urais wa ADC (Wilson Malumbe) kwenye kuwania Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo. Haya yanajiri wiki...
  15. Roving Journalist

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Z2GEtzscmaY https://www.youtube.com/watch?v=2cTVOqAW2xg Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
  16. Nipe Maji

    PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema, anaiunga mkono CCM uchaguzi mkuu

  17. Mkalukungone Mwamba

    Maliki Marupu: Polepole alitoa madai ya uongo kuhusu wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

    Baada ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kuendelea kutoa kauli kuhusu mwelekeo wa kisiasa nchini, Mwanachama wa CCM na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia mkoani Morogoro, Maliki Marupu, amemjibu vikali Polepole na kumtuhumu kwa upotoshaji. Akizungumza na...
  18. JamiiCheck

    Esau: kuelekea uchaguzi mkuu tuanzishe madawati ya uthibitishaji habari

    Akiwasilisha mchango wake katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari na utangazaji kanda ya mashariki kuelekea uchaguzi mkuu 2025, Esau Ng'umbi, alishauri kuanzishwa kwa madawati ya uthibitishaji wa taarifa ili kukabiliana na taarifa potofu kipindi. Kumbuka katika kipindi cha uchaguzi taarifa...
  19. F

    Kwa hali ilivyo sasa rais Samia asisubiri hadi alazimike kufanya maridhiano ya mapya na vyama vya upinzan juu ya madai ya msingi kuhusu uchaguzi mkuu.

    Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali. Komredi Polepole...
  20. Tlaatlaah

    GE2025 Uchaguzi mkuu wa tanzania hufanyika kila baada ya miaka mi5 kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa mujibu wa reforms anazotaka mtu au chama

    Ni vizuri wale ambao wanahadaa wananchi na kuwapotosha kwa makusudi kabisa, eti ya kwamba hapatakua n uchaguzi mkuu baadae mwaka huu mwezi wa wafahamu na kuelewa kwamba huo ni uongo wa wazi na upotoshaji wa kiwango cha chini sana. Sio lazima pawepo na reforms ili uchaguzi mkuu ufanyike, bali kwa...
Back
Top Bottom