uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo Desemba 01, 2025 ameainisha mambo 6 ambayo yatachunguzwa na tume hiyo. 1. Kuchunguza na kubaini chanzo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Museveni amemuonya mwandishi Larry Madowo kuelekea uchaguzi mkuu Uganda

    Wakuu Nimeona hii video ikimuonesha Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambaye pia ni mgombea wa wa Urais kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Janury 2026.
  4. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
  5. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Watanzania wengi walipiga kura kabla ya vurugu, ni maeneo machache yaliyokuwa yameaithiriwa na vurugu na ndio maana hatukupata 100%

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amethibitisha kuwa ushindi wa CCM katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 29 ulikuwa dhahiri na sivyo taarifa zinavyosambaa kuwa batili akilinganisha kuwepo kwa idadi nyingi ya vituo vya kupigia...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KKKT: Tumehuzunishwa na kusikitishwa na matukio yalitokea Oktoba 29 yaliyokosa UTU, HESHIMA na TAMANI ya binadamu

    Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake. Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi Mkuu 2025: "Kumbukumbu zilizochorwa kwa damu za waliolala kabla ya alfajiri ya Haki"

    Ni majira ya saa tisa usiku. Dunia imelala, lakini macho yangu yamekataa mapumziko. Usingizi umetoweka kama kivuli kinachokimbia mwanga. Ghafla, sauti isiyo na uso inanong’ona ndani ya kichwa changu: “Andika kuhusu matukio ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kabla, wakati, na baada.” Nageuka kulia...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaribio la kuhatarisha usalama wa taifa lilianza uchaguzi mkuu 2020 idara na mamlaka wakajiona washindi sasa tunavuna matokeo

    Hii idara huenda haipo huwa tunadanganywa kama taifa, inawezekana vipi idara ilishindwa kuona hatari iliyopo wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, then 2024 serikali za mitaa na mwaka huu wakapuuza security alert iliyokuwa imeshaonekana mapema? Hii idara ivunjwe kama ipo kweli maana naona mambo mengine...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shura ya Maimamu: Tunalaani mauaji ya watu wasio na hatia wakati wa uchaguzi mkuu. Tunakataa kupongeza uchaguzi mkuu uliofanyika

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KAMATI KUU YA SIASA TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2025 Imetolewa Tarehe 15/11/2025 Utangulizi Taifa letu la Tanzania lilifanya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa Rais, Wabunge na Madiwani Tarehe 29 Oktoba 2025. Katika uchaguzi huo Shura ya Maimamu Tanzania ilikua...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BBC yathibitisha UKWELI wa VIDEO za Mauaji yaliyotokea Tanzania mwezi Oktoba 2025

    ONYO: Maudhui ya kutisha. BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania. Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo. Aidha video hizo zilizosambaa zinaonesha miili ya watu waliopigwa risasi, majeraha katika sehemu...
  11. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kwenye malumbano ya hoja ITV kuna kijana anasema siku ya uchaguzi mkuu wa Bara alikuwa Zanzibar

    Ni nani huyu? Zanzibar alienda kufanya nini? Kwani hakupiga kura? Au ndio resource mobilization? Alisema anaona mitandaoni kuhusu habari ya D09, na kama ikitokea waachiwe wao (kijana) wadili na hao waandamanaji...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo Katoliki Bagamoyo latangaza kuwaombea marehemu pamoja na Majeruhi siku ya 13/11/2025, waliotokana na uchaguzi mkuu

    Kufuatia Vifo Vilivyotokea Wakati wa Kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025 nchini Tanzania Mhashamu Stephano Lameck Musomba OSA, Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo Amewaomba na kuwaalika Mapadre, WATAWA, Waamini na Wote wenye Mapenzi Mema Tarehe 11/11/2025 Iwe ni Siku Maalumu ya Kuwaombea...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania bado ni salama kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya matukio ya uchaguzi mkuu?

    AFCON 2027 Nitashangaa sana kuona CAF inaicha Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 baada ya yote yaliyotokea Nashauri CAF waiondoe Tanzania mapema kabisa katika nchi mwenyeji wa AFCON 2027
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Policy Forum yalaani ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, matumizi makubwa ya nguvu na kuuliwa kwa watu wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Policy Forum inasikitishwa na taarifa za vifo vya wananchi, ukiukwaji wa haki za binadamu na changamoto nyingine za utawala bora zilizojitokeza katika kipindi kilichofuata baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Tunaungana na Watanzania wote kuomboleza wale waliopoteza maisha na tunatoa pole kwa familia...
  15. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo Kuu Katoliki Mbeya latangaza Dominika ya Novemba 9, 2025 kuwa siku ya kuombea Marehemu na Majeruhi wa Uchaguzi Mkuu

    Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Mbeya limeitangaza dominika ijayo ya 32 ya mwaka C ni maalum kwa ajili ya kuwaombea marehemu na wahanga wote waliofariki wakiitetea nchi yao. Tuungane nao katika sala na michango yetu.
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Media za Tanzania zilivyoripoti matukio ya Uchaguzi Mkuu 2025; Je, tatizo ni uwezo wa Wanahabari au uhuru umesiginwa?

    Wakati Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulipofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, huku Huduma za Mtandao wa Intaneti zikiwa zimezimwa, Vyombo vya Habari vikuu (Mainstream Media) kama televisheni na redio, pamoja na Vyombo vya Habari vya Mtandaoni, vilitarajiwa kutoa taarifa sahihi na zenye uwiano kuhusu yale...
  17. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Wito kwa mashabiki wa soka Tanzania kuomboleza kwa pamoja mauaji yaliyofanywa na vyombo vya Dola Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu 2025

    Ndugu Wachezaji, Mashabiki na Wanaharakati wa Amani, Tanzania yetu imetoka katika kipindi kigumu cha kisiasa, kipindi ambacho baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zetu wamepoteza maisha mikononi mwa vyombo vya dola wakati wakisimama kudai haki zao za kidemokrasia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa 2030: Je, bado kuna ambao mtashiriki?

    Kwa miaka mingi sasa kwenye haya majukwaa ya majadiliano [discussion forums] nimekuwa nikisema kwamba bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi, kuiondoa madarakani CCM kupitia chaguzi, haiwezekani. Kwa njia ambayo si ya kura na si ya kijeshi, kuiondoa CCM madarakani inawezekana. Lakini hapa sipo...
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania Takwimu za wapiga Kura Uchaguzi Mkuu 2025

    Takwimu za wapiga Kura Uchaguzi Mkuu 2025 Idadi ya Wagombea Ubunge Manyara Wanawake - 4 Wanaume - 13 Idadi ya Wagombea Ubunge SIMIYU Wanawake - 7 Wanaume - 20 Idadi ya Wagombea Ubunge SINGIDA Wanawake - 16 Wanaume - 15 Idadi ya Wagombea Ubunge SONGWE Wanawake - 3 Wanaume - 13 Idadi ya...
  20. JF Summary

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025: Matukio na taarifa Mubashara za Uchaguzi

    Utangulizi Oktoba 29, 2025 Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu katika mazingira yanayoelezwa kuwa yenye hali wasiwasi mkubwa na taharuki. Uchaguzi huu unakuja takriban mwaka mmoja baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, uliosababisha mijadala mikubwa kutokana na matukio ya...
Back
Top Bottom