Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,899
- 44,848
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard
Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo
Uchaguzi hauzungumziwi kinachozungumziwa ni maandamano
Tukimaliza kuchoma vituo vya kupigia kula tukutane barabarani
Asubuhi sana wanangu
LONDON BOY