Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Hii siku hakuna wanayoyajua hata waliopo madarakani wanatamani kujua ila hii siku imebeba mengi mno.
Ila pia maandamano yamekuwa maarufu kuliko hata uchaguzi wenyewe sasa
Huu uchaguzi lazima watu watakufa.
Kama tu uchaguzi mdogo mambo yalikuwa mabaya huu si ndiyo balaa kabisa.
Kwanini mkuu asitoke hadharani kuwaambia hawa walinzi wa raia na Mali zao wasitumie silaha kabisa siku ya uchaguzi?
MUNGU bariki Tanzania.
MUNGU bariki watanzania.