Wananchi mbalimbali na wanachama wa chama cha mapinduzi wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza mgombea ubunge kupitia chama hicho kwa ajili ya kwenda kuchukua fomu kwa ajili ya Ubunge.
Hata hivyo sherehe hizo zimepambwa na vyakula ikiwemo nyama na ng'ombe 200 wamechinjwa kwa ajili ya kusherekea.
Wakuu,
Haya sasa waliochangia kampeni wameanza kufoka huku, ila tunajua hii ni njaa tu baadae waweze kujitwalia fedha bila tozo
-----------------------------
Wachimbaji wa Wadogo wa Madini Mkoa wa Singida wamesema Wataendelea Kumpongeza na Kumsifu Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa...
Wakuu habari,
Nimegundua tu CCM wana akili sana na wanawaza kimkakati zaidi
Tunaweza kuona chawa hafai kuwa kiongozi, lakini wao wametumia ushawishi wa uchawa katika siasa na kuangalia wingi wa wafuasi, japo wajumbe huwa hawasomeki moja kwa moja.
Kwa hili nyomi naona kabisa Baba Levo anachukua...
Zoezi la uchukuaji wa Fomu wa nafasi ya Ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa Mgombea wa Nafasi hiyo Mhe. Paul Makonda litaambatana na burudani kutoka katika vikundi mbali mbali vya Muziki lakini pia Ng'ombe zaidi ya 100 kwa ajili ya nyama choma kama anavyobainisha Katibu Mwenezi wa CCm Wilaya ya...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Nasra Mohamed Ramadhan, amesema Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 itaipeleka Dar kuwa kama New York, akisisitiza Vijana wamechagua 'Future bila Stress' katika uzinduzi wa Kijani Chat Bot uliofanyika leo Agosti 25, 2025 jijini Dar es...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackon, leo tarehe 25 Agosti 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya wananchi wa jimbo jipya la Uyole katika Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Dkt. Tulia amechukua fomu hiyo katika ofisi za tume huru ya Uchaguzi zilizopo katika...
Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu...
Jamaa aliaga akisema msipofungua kanisa la ufufuo na uzima baada ya siku kumi nitarudi tena, sasa hivi nikirudi jambo nitakaloliongea litachafua hali ya hewa.
Na mpaka sasa hivi hakuna tamko lolote kutoka kwa ofisi ya msajili wa taasisi za kidini, unavyowaza jamaa atakuja na comeback gani kama...
ADV. STEPHEN BYABATO AMPIGIA CHAPUO KWA WANANCHI ENG. MUTASINGWA, UBUNGE BUKOBA MJINI
Salaam sana ndugu zangu
Naomba tusambaze ujumbe huu
Leo jumatatu ni siku ya tatu tangu Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iteue wagombea Ubunge na Bukoba Mjini ikatuletea ndugu yetu Eng Johnston Johansen...
Wakuu!
Tunapoelekea kwenye uchaguzi, kumekuwa na harakati nyingi za kisiasa ambapo wagombea wanachuana vikali. Mara nyingine wananchi wamekuwa wakiwapinga au kuwakataa baadhi ya wagombea walioteuliwa na vyama.
Swali linalojitokeza ni: Je, wajibu wa mwananchi ni kumchagua mtu anayemjua binafsi...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kwela, Mkoa wa Rukwa Deus Sangu siku ya leo amechukua fomu ya kugombea ubunge ikiwa ni utekelezaji wa kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wote kuanzia nafasi ya Udiwani, Ubunge na Urais.
Sangu ameongozana na wanachama wa CCM Jimbo la Kwela, na...
Baada ya Ummy Mwalimu baada ya Jina lake kukatwa kwe Ubunge Tanga Mjini, amesema ni wakati wa kumuunga Mkono Kassim Amar Mbaraka (Makubel) na kumpa kura za ndio Rais Samia
“Nikiwa Rais wa Nchi hii watu watakimbia fomu za Ubunge maana nitwalipa mshahara mdogo wa Milioni 4 Kwa Mwezi, na mimi kaka Rais nitalipwa Milioni 6” Doyo Hassan Doyo - Mgombea Urais - NLD
Amani ni Tunda la Haki (Yak. 3:18).
Kazi ya haki ni kuleta amani (Isa. 32:17)
Pasipo Haki, hakuna Amani.
Furaha na upendo ni matunda pacha na amani (Wagalatia 5:22)
Mama Kanisa anatutuma kama Taifa kusimama pamoja na Kuomba Haki ikatawale nchini mwetu, na Amani itokanayo na hiyo Haki, hasa...
Mwenyekiti wa CHASO (CHADEMA Student Organization) mkoa wa Dar es Salaam Martin Samson Abduli ametoa tamko kwa waandishi wa habari akilalamikia mwenendo wa Rais wa TAHILISO Geofrey Kiliba akidai kuwa unakiuka misingi ya Katiba ya umoja huo wa wanafunzi wa vyuo na vyio vikuu nchini
Akizungumza...
KWa mdomo aliokuwa nao Baba Levo ambaye hachagui cha kuongea, Zitto Kabwe kazi unayo.
Wapiga kura wa Tanzania wamebadilika, hawaangalii usomi tena ndio maana wako tayari kumpa ubunge Mr Two a.k.a Sugu au kama walivyompa Ramadhan Kihiyo mwaka 1995 akatenguliwa na mahakama.
Zitto ni msomi sana...
“Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi"
"Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.