Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Tanga na aliyewahi kugombea ubunge wa Jimbo la Tanga, Omari Ayoub, amesema kuwa kazi kubwa iliyosalia kwa sasa ni kuhakikisha Rais Samia Suluhu Hassan anashinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu ujao.
Akizungumza na Global TV, Ayoub alisema kuwa Mkoa wa Tanga...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Salma Kikwete, amewasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Lindi Mjini kwa ajili ya kuchukua barua ya utambulisho.
Barua hiyo inamwezesha kuelekea katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi mkoani humo kuchukua fomu ya kugombea...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 wa ACT Wazalendo Emmanuel Mvula, amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Segerea lililopo Manispaa ya Ilala Jijini Dar es Salaam.
Mvula amechukua fomu hizo katika ofisi ya msimamizi msaidiza wa uchaguzi jimbo la Segerea...
Mgombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika Jimbo la Kinondoni, Rahma Mwita ameahidi kuwekeza nguvu zake katika kuboresha huduma za kijamii na miundombinu endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwaongoza.
Hayo ameyabainisha Agosti 24, 2025 mara baada ya kuchukua fomu katika Ofisi za...
Chama cha Ukombozi wa Umma kimemteua kada wake Vitus Nkuna kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu (2025) kwa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iringa mjini
Naibu Katibu Mkuu wa CHAUMMA Tanzania Bara Benson Kigaila amemtangaza Nkuna kugombea...
Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA.
Nami sikusita kutoa ushirikiano.
Hata hivyo nilijiuliza maswali mengi sana.
Sasa naona majibu yanajitokeza yenyewe kupitia Polepole.
Siku hizi CCM haisikilizi tena mawazo ya wananchi, wajumbe wanachagua watu wao wanaowataka ili wawaongoze alafu CCM inakuja inawatoa na kuwaweka watu wao ambao tayari walishakuwa wamepanga kuwaweka.
Hii hali inaondoa maana ya kuwepo kwa mchakato wa wajumbe kuwapendekeza watu wao. Kama CCM...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Tanga, Ramadhan Omary Agosti 24, 2025 ameongoza kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Tanga kilichoketi kwa ajili ya masuala mbalimbali ya Jumuiya ndani ya Mkoa huo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu.
Pamoja na mambo mengine baraza liliazimia kwa kauli moja...
"Viongozi wa kijamii, viongozi wa kidini, dini zote. Wazee wetu kama wapo mnakubalije kwenda kwenye uchaguzi mnaojua ni kiini macho? Kwa mfano viongozi wa kidini au na nyie ni sehemu ya ukiini macho huu.
Hivi mnapokwenda sirini kumuomba Mungu, mnaamini kuna uchaguzi?
Mnaamini ACT ni chama...
Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao.
Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako na kiongozi wake kuu Bw. Tundu Lissu yupo jela. Hii...
Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram
Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga...
"Chama chetu kimetekwa, lakini bado tunaendelea kuwatia moyo hasahasa mwenyekiti wetu afanye mageuzi makubwa ya Chama cha Mapinduzi, atuondolee kundi la wanamtandao kisha atuwekee mchakato mpya kwa kupata wagombea wapya wa Chama Cha Mapinduzi. Wahuni wamejimilikisha chama, wamewashika viongozi...
Ndugu Humphrey Polepole ameibuka usiku huu wa tarehe 24, agasti amefunguka wazi sababu za kwanini Rais Samia hatakiwi kugombea na kumtaka apumzike.
Katika maelezo yake ameweka wazi namna ambavyo Rostam Azizi anazidi kujizolea utajiri mwingi kwa kutumia maliasili za nchi hasa migodi ambayo ya...
“Kuna watu wengi jana na leo wamenipigia kuhusu yanayoendelea kwenye teuzi za CCM na wengi wanasema kutokana na vurugu, kuumizana, migogoro na chuki ambazo ziko ndani ya CCM kwamba hii ni fursa kwetu kupata wabunge wengi kama CHADEMA,” amesema John Heche Makamu mwenyekiti Chadema.
Hata hivyo...
Katika historia ya nchi yetu hakujawai kutokea kiongozi dhaifu kama mama Samia na mbaya zaidi anatumia mbinu dhaifu ili watanzania wasigundue udhaifu wake na aendelee kuongoza hii nchi akiwa dhaifu
Kila mtanzania mwenye akili timamu anajua ukweli kwamba hii nchi inaongozwa na ushauri wa raisi...
Nimetoka kuangalia hii video chini, huko Tanga wana CCM wakiandamana kukatwa kwa Ummy Mwalimu, nimechambua na taarifa zingine za maandamano na malalamiko ya Wanaccm.
Kuna fursa ya kutekeleza maandamano ya tarehe 28, na kuifanya CCM (kamati kuu) ifanye kikao cha dharura, kamati ya ulinzi wa...
Wanachama wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Nachingwea mkoani Lindi, wameonekana wakirudisha vifaa mbalimbali na kadi za chama hicho, chanzo kikielezwa kuwa mgombea ubunge waliyemtaka ameondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hiyo
Chanzo: Habari Digital
Ni nani ameweka fedha hapa? Tamasha la bure kabisa, hii jeuri wanaitoa wapi kwa usawa huu?
====
Mkesha wa muziki wa taarabu utakaohusisha mastaa na wakongwe wa muziki huo nchini utarajiwa kufanyika Agosti 28, mwaka huu katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Mkuu...
Wakuu, nawasogezea wino mzito wa Askofu Dkt. Benson Bagonza alioutumia kuwasilisha fikra tunduizi kupitia ukurasa wake Facebook
===
WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?
Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.