uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aweso: Tutafanya kampeni za kistaarabu pangani

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani ambaye pia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025. Aweso amepokea fomu hiyo leo, Agosti 26, 2025, kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Pangani...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ilani za uchaguzi mkuu 2025: Digitali na akili mnemba zinavyojadiliwa katika ilani za vyama vya siasa

    Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, vyama vya siasa nchini Tanzania vimeweka mkazo mkubwa katika kuzungumzia maendeleo ya teknolojia ya kidigitali na nafasi ya akili mnemba (AI) katika kuchochea uchumi, utoaji wa huduma, na utawala bora. Hapa tunalinganisha ahadi kuu za vyama vikuu vinne: CCM, CUF...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Zamani maaskofu, mapadre nk walikuwa wanasoma Biblia kwanza kupata mahubiri sasa hivi wanaangalia hali ya siasa nchini kwanza na kutungia mahubiri

    Tofauti ya mahubiri ya zamani na sasa ni moja Zamani maaskofu, mapadre, Wachungaji, mitume na manabii nk ilikuwa wanasoma Biblia kwanza kupata mahubiri sasa hivi wanaangalia hali ya siasa nchini na kutungia mahubiri Ndio maana kuhubiri sasa hivi kumekuwa kwepesi kila mmoja aweza hubiri Sababu...
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Boni Yai ameikana 'No reforms no election' asema wapo tayari kwa uchaguzi

  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Askofu Laiser: Taifa bila haki ni taifa la kuangamia

    Askofu Dkt. Isaac Kissiri Laiser wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Magharibi Kati Tabora, ametoa wito kwa Watanzania kusimama imara kutetea haki, akisisitiza kuwa bila misingi ya uadilifu na usawa taifa haliwezi kusonga mbele. Akihubiri Agosti 24, 2025 katika ibada...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, taarifa za wagombea unazoziona mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya maamuzi?

    Katika kipindi cha uchaguzi mkuu, taarifa kuhusu wagombea husambaa kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii. Hata hivyo, si taarifa zote ni sahihi; nyingine huenezwa bila uhakika na mara nyingine unaweza kukutana na habari zinazopingana kuhusu mgombea mmoja. Hali hii huwafanya wananchi...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Rukwa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Rukwa katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wana CCM Mkoani Masasi wazikataa Baiskeli na Pikipiki walizopewa wadai wamechoka kuburuzwa

    Baadhi ya Wana CCM Mkoani Mtwara, mjini Masasi katika Kata LUKULEDI wadaiwa kuzikataa Baiskeli na Pikipiki walizopewa wadai wamechoka kuburuzwa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mayeye: Kigoma Kaskazini imekuwa shamba la bibi la wachache wanaojinufaisha huku wakisahau maslahi ya wananchi wengi

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Kiza Mayeye, ameeleza kuwa jimbo hilo limegeuzwa kuwa “shamba la bibi” la wachache wanaojinufaisha huku wakisahau maslahi ya wananchi wengi. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge, Mayeye amesema...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere achukua fomu kuwania Ubunge Kigamboni, ahaidi kufanya mabadiliko

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Yericko Nyerere amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu kwa msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Kigamboni, Yericko amesema kuwa Wanakigamboni wanahitaji mabadiliko, na kwamba...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts

    Katika press aliyoiitisha Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Boniphace Mwabukusi amesema maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts. Maelezo hayo yameibuka mara baada ya mmoja wa waandishi kumtaka Mwabukusi aelezee suala la Polepole kuwa mifumo inasoma akiirejelea mifumo aliyoisema pole...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Katavi

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Katavi katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haya hapa ni majina ya wagombea Ubunge kupitia CCM katika majimbo ya Mkoa wa Mbeya

    Hii hapa Orodha ya Majina ya Wagombea Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Mbeya 1.Patrick Mwalunenge - Mbeya Mjini 2.Patali Shida Patali- Mbeya Vijijini 3.Dkt.Tulia Ackson - Uyole 4.Bahati Keneth Ndingo - Mbarali 5.Baraka Ulimboka Mwamengo - Kyela 6. Lutengano George Mwalwiba - Busokelo 7. Anton...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole

    Siku Chache Baada ya Kuteuliwa Na Ccm Kugombea Ubunge katika Jimbo la Uyole, Dkt Tulia Ackson Leo amechukua Fomu ya Kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa Ya Uchaguzi katika Jimbo Hilo Akihutubia Mamia ya wanachama wa Ccm na wananchi wa Jimbo la Uyole Dkt Tulia amewashukuru kwa imani kubwa...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwalunenge achukua fomu kugombea ubunge Mbeya Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm Mwalunenge Amechukua fomu hiyo siku chache baada ya kuteuliwa na Chama chake kukiwakilisha katika...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha na heshima yao yote wananunuliwa kwa nyama na baada ya kula hawana chao tena

    Siasa za Tanzania zimeharibika sana, Jamaa mmoja kutoka Burkinafaso jina lake Captain Thomas Sankara mwaka 1979 aliwahi kusema ''who feeds you controls you'' sasa leo naanza kuelewa alikuwa anamaanisha nini. Ona wanaojiita wadudu wa Arusha, wanaojiona ndio wajanja wenye akili timamu...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watu wa Arusha: Samia usichanganye siasa na mila hatutaki mazoea na wewe

    Wazee wa Arusha kabla hawajapitishiwa bahasha walikuwa siliasi kuikataa CCM na uongozi wa Samia lakini sasa hivi sijui nini kimewapata, ule ujanja akilini hawana tena. Wananchi wa kitanzania siku wakija kuacha kushibishwa kwa siku moja ili wauzwe maisha yao na vizazi vyao ndipo wataanza kuwa na...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Mabadiliko yamefanyika kwenye Sheria za Uchaguzi, unapobadilisha sheria, tujiulize unataka kutibu nini?

    Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema, "Hatukatai kwamba kulikuwa na mabadiliko, mabadiliko yamefanyika ya Kisheria kwenye Sheria za uchaguzi, lakini tuwe wa kweli unapobadilisha unataka kutibu nini? Hiyo ndiyo hoja siyo mabadiliko tu"
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 TLS yaomba kukutana na Rais Samia

    Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi: Uchaguzi wa mwaka 2025 umeleta mgawanyiko wa Kisiasa, Kidini na Kikabila

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi aemesema Uchaguzi wa Mwaka huu umekuwa na changamoto na hii inatokana na yaliyojiri wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2018 ambapo iliuwa trend ya ukuaji wa demokrasia ya Vyma vingi katika taifa letu. "Uchaguzi...
Back
Top Bottom