uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Hakuna kiongozi wa CCM anaezungumzia rushwa hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi, hii ina maana kuwa CCM wamehalalisha rushwa?

    Katika mazungumzo ya aliyekua balozi wa Tanzania nchini Cuba mjini Havanna ndugu Humphrey plepole kwa njia ya mtandao amegusia suala la viongozi wa CCM kutozungumzia suala la rushwa hasa kipindi hiki cha kampeni ambacho ndico kipindi pekee rushwa inatawala sana. Namna ya mazngumzo yake juu ya...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Anauliza Pole pole mbona CHAUMMA ilikuwa inazungumza ubwabwa tu mara ghafla imegeuka imekua na nguvu kubwa na uwezeshaji wa hali ya juu?

    Anahoji Polepole; Mbona CHAUMMA ilikuwa inazungumza ubwabwa tu mara ghafla imegeuka imekua na nguvu kubwa na uwezeshaji wa hali ya juu?
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yaungana na kanisa la Katoliki katika maombi ya Kitaifa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Watanzania wote kushiriki maombi ya Novena Takatifu yanayofanyika chini ya Kanisa Katoliki, ambayo yanahitimishwa tarehe 23 Agosti 2025, kwa lengo la kuliombea taifa amani, haki na mshikamano wa kitaifa. Katika taarifa kwa umma...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Ponda aonya ushawishi wa wafanya biashara kwenye siasa

    Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameeleza wasiwasi wake kuhusu wafanyabiashara wenye ushawishi mkubwa serikalini akisema hali hiyo ni tishio kwa maslahi ya wananchi wa kawaida. Akizungumza katika mahojiano maalum na mtangazaji Wilberforce Ngoto kupitia...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, vyombo vya habari vinapotumika kwenye matangazo ya vyama fulani, ni njia ya kuathiri demokrasia na uchaguzi huru?

    Wakuu! Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari vimeanza kutangaza kauli mbiu za vyama vya siasa. Hali hii inanitia wasiwasi kuhusu uadilifu na mustakabali wa demokrasia yetu kipindi cha uchaguzi. Swali: Je, hili si mwanzo wa kampeni kabla ya muda wake? Na je, taarifa hizi kwa wapiga kura...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 DCP Misime: Tutatumia polisi jamii katika kubaini uhalifu kipindi cha uchaguzi

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema kuwa Jeshi la Polisi litashirikiana na polisi jamii kubaini viashiria vyovyote vya uhalifu na vyanzo vya kuvuruga amani wakati wa kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa 2025 ili kuweza kuchukua hatua za kisheria kwa wale watakaovuruga amani...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Hali ya Usalama Nchini ni Shwari, Wananchi muwe Huru kushiriki shughuli za Kisiasa

    Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu.
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Susan Lyimo: Uchaguzi mkuu wa 2025 kama utaendeshwa kwa kanuni zile zile utakuwa umekosa mvuto

    Akizungumza leo Agosti 22,2025 kwa njia ya mtandao, Susan Lyimo Mwenyekiti Mteule wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA), amesema, “Uchaguzi Mkuu wa 2025 kama utaendeshwa kwa Sheria na Kanuni zilizopo utakuwa umekosa mvuto wa Kitaifa na Kimataifa kutokana na madhira...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ponda Issa: Tushirikiane kupinga sheria kandamizi

    Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania ambaye ni mwanachama wa ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa wito wa umoja na ushirikiano kwa Watanzania wote katika kupinga kile alichokiita sheria kandamizi. Akizungumza na Wilberforce Ngoto katika kipindi cha Maswali na Majibu...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti CCM Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 21 Agosti, 2025, kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 TCRA yawataka Waandishi wa Habari kukemea vurugu Uchaguzi Mkuu 2025

    Meneja wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele kukemea vurugu na migogoro yoyote itakayojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 badala ya kushiriki kwa njia ya kuripoti au kuchochea...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Hadi sasa tumeshateua wagombea udiwani 3,182 kati ya kata 3,962 kwa upande wa Tanzania Bara

    Naibu Katibu mkuu CHAUMMA, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa kwa kiwango kikubwa wamefanikiwa kuteua wagombea wa nafasi ya udiwani kwa upande wa Tanzania bara ambao kwa sasa wanaruhusiwa kwenda kuchukua fomu kwenye tume. Kigaila ameeleza kuwa wagombea...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi mna mpango gani na watu wetu mnaowashikilia? Ni siku tatu hadi sasa mmekaa kimyaa na wala hamtoi taarifa?

    Baadhi ya wananchi wamekamatwa hapa Mbarali na Jeshi la Polisi kwa sababu wamepinga matokeo ya kura za maoni za kupatikana kwa mgombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwaweka mahabusu lakini Jeshi la Polisi halitoi taarifa yoyote juu ya kukamatwa kwao...
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Upinzani na Mabadiliko ya kweli katika Nchi yetu yataanzia ndani ya CCM 2028-2030 na kusambaa Nchi nzima na kuunganisha wazalendo wote

    Habari JF, binafsi sina uwezo wa Mungu wa kuweza kujaza mtungi wa gasi au kufanya miujiza , lakini ninaiona Tanzania baada ya 2030 ikiwa chini ya Mikono salama , wazalendo na wapenda maendeleo . Tuombe Uzima
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, usambazaji wa vifaa kama tisheti, Kofia na vitenge vya vyama kabla ya kampeni ni sawa, au ni mbinu ya kudhoofisha demokrasia?

    Wakuuuu! Wakati taifa letu likielekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, vyama vya siasa vimeanza mchakato wa kuwapata wagombea wao. Hata hivyo, kumekuwa na hali inayoibua mjadala, baadhi ya vyama vimeonekana kugawa kofia, tisheti na hata vitenge vyenye nembo zao kabla ya muda rasmi wa kampeni...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Yustus: Tuna imani na Tume Huru ya Uchaguzi

    Bado kuna vyama vya siasa vinasema vina imani na tume huru ya uchaguzi taifa INEC. ameskika Yustus wa TLP akisema ''Tuna imani na Tume Huru ya Uchaguzi, tuko nayo na tunaendelea nayo” Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira amesema anaridhishwa...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania (TBT) Rais Samia: Mkiambiwa Rais wenu ni muuaji waambieni ndiyo ameua nguvu hasi ya wapinzani

    Moja ya hutoba za rais samia miezi michache iliyopita alisikika akisema haya? ''Mkiambiwa Rais wenu ni muuaji waambieni ndiyo ameua nguvu hasi ya wapinzani'' Soma pia: H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Tulia anatafuta ushawishi kwa nguvu kupitia mikopo ya asilimia 10

    Wakuu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameyataka Mabenki yanayotoa mikopo ya Asilimia 10 kuacha mara moja kutoa masharti magumu ya pesa hizo ikiwemo kuvitaka vikundi kuwa na Hati Miliki, akisema hazina masharti hayo zaidi ya kuunda vikundi. Dkt.Tulia ameyasema...
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Rias Samia: Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi

    Hebu tumskie kidogo Rais wetu akijaribu kutuambiwa kuwa hii ni nyeupe na wakati sisi kwa macho yetu tunaona ni nyeusi. Ulaya na marekani sasa hivi hawafanyi vizuri kiuchumi kama tunavyofanya sisi.
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Khatau achukua fomu ya udiwani Makonde

    Mgombea udiwani Kata ya Makonde Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijana Abdalah Khatau amechukua fomu ya kugombea udiawani ambapo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Ngazi ya Kata hiyo amemkabidhi fomu mgombea huyo. Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea...
Back
Top Bottom