Mwananchi kaamua kujisema bila kuogopa kwamba jamaa anajuwi kusoma wala kuandika, na Jimbo la Kigoma Mjini ni jimbo lenye viwanda kwahiyo linamtaka mbunge msomi.
Na akaukubali kupiga kura kwa Zitto Kabwe kwamba yeye ni msomi
================
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia...
Huyu Mzee naye, anavyotamba. Mbona mnawapiga pini wapizani wenu wakubwa kama nyinyi mnajiamia na mnauwezo wa kuongoza nchi?
Tuone nafasi muone balaa lake
================
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kina uzoefu wa kuongoza nchi...
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema wanaohoji utu wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan anatakiwa kupingwa kwani amefanya mengi makubwa ikiwemo kumimina...
Kikatiba maandamano sio jambo haramu kunapokuwa na sababu ya kufanya hivyo. Ni namna ya watu kuonyesha hisia zao. Kuna mwaka UVCCM wa Mbeya walitaka kuandamana kuonyesha furaha yao kwa hotuba ya kihistoria ya masaa matatu iliyotolewa na rais mstaafu Kikwete.
Haya maandamano yanayotajwa...
Mgombea ubunge wa Jimbo la sumbawanga mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Aesh Khalfan Hilaly ameendelea kufanya mikutano ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi na akiwa katika kata ya Katandala, ameinadi ilani ya uchaguzi ya CCM na kueleza vipaumbele vyake endapo atapewa ridhaa na kuchaguliwa...
Wenye ndoto za kuoa na Mahali ni kipengele baasi tumsikilize huyu mgombea wa CCK
==
CHAMA cha Kijamii (CCK) kimewataka Watanzania, hususan vijana, kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Ubunge na Udiwani unaotarajiwa...
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 jimbo la Ruangwa MKoani Lindi, Mgombea urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan ameonekana akiwashukuru wamama na vijana wa hamasa wakiwa wanajigalagaza chini kwa ujio wake. Hiki kitendo kinatafsiriwa kama wananchi...
Kamishna wa Polisi Zanzibar CP KOMBO KHAMIS KOMBO amesema Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vikosi vingine vya ulinzi limejipanga kuimarisha Ulinzi na usalama wakati wa uchaguzi na kwamba wananchi watatumia haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa katika mazingira ya utulivu...
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kutokana na utekelezaji wa miradi ya maendeleo uliofanywa na CCM, chama hicho kinakuwa chama pekee kinachofaa kuendelea kuongoza nchi
Paresso ambaye alikuwa mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha na kwa muda mrefu kada wa CHADEMA kabla ya...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea na kampeni zake kwa kutembelea wananchi mtaa kwa mtaa katika Kata ya Buhanda, Kigoma Mjini, akiwahimiza kumpa kura ifikapo Oktoba 29, 2025.
Zitto amekuwa akitumia fursa hiyo kueleza sera na mipango...
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa na Mbunge wa Ruangwa anayemaliza muda wake amesema kuwa anaifahamu Nia thabiti ya Dkt. Samia kwa watanzania na namna anavyotaka kuwaletea maendeleo.
Majaliwa amesema hayo akiwa katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Ruangwa...
Kada wa Act-Wazalendo Monalisa Ndala amesema kuwa yeye hapaswi kulaumiwa kwa chama hicho kumkosa mgombea urais na wanaopaswa kulaumiwa ni katibu wa chama na mwanasheria wa chama, huku akibainisha kuwa vyama vyote vitanufaika kwa chama hicho kumkosa mgombea urais.
Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29
=
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi...
Kada wa ACT-Wazalendo Monalisa Ndala amemwahidi mtangazaji Charles William kiasi chochote cha fedha atakachotaka iwapo Luhaga Mpina hatarejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwaka 2026.
Ahadi hiyo imetolewa na Monalisa Ndala, Kada wa ACT Wazalendo ambaye anapinga uamuzi wa chama hicho kumteua Mpina...
Wakuu,
Sasa Tumefika mbali, hadi watu tunaotegemea kuhimiza usawa, haki na amani kwenye nchi yetu nao wameanza kuwa Machawa
Hii imefika mbali wadau kama huyu ni Sheikh inamaanisha anawaongoza, kuwaaminisha na kuwataka waumini wake wake wasimame na mama Oktoba 29, 2025 siyo tena kuwa chaguo la...
Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema yeye alikuwa akimuunga mkono Dorthy Semu, pia ni mgombea mzuri huku akibainisha kuwa Dorthy alishaajiandaaa...
Masista wa Mtakatifu Benedicto wa Msaada wa Kikristo Afrika kutoka Ndanda wakimuombea Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara...
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Mtwara, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Ndanda Wilaya ya Masasi ametaja vipaumbele vitano alivyoviahidi kwa wananchi wa jimbo hilo ambavyo ni Ujenzi wa baraba, Maji...
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda amesema kuwa ni aibu kubwa kwa jiji kubwa kama Arusha kutokuwa na stendi ya kisasa. Amesisitiza kuwa jambo hilo linapaswa kushughulikiwa haraka ili kuboresha usafiri na hadhi ya jiji.
“Arusha ni lango la utalii wa Tanzania, haiwezekani...
Jaribu kukadiria ni kiasi gani huyu MC atakuwa amelipwa, kama ulifuatilia Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tunduru Mkoa wa Ruvuma utaona huyu jamaa ndo alikuwa MC
Ingekuwa vyema pia akiweuka akili kidogo kwa kupambania Maslahi ya nchi yake na siyo kupamba mtu anayesimamia kuporomoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.