MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Salma Kikwete 'Mama Salma' amesema, maendeleo makubwa yaliyofikiwa jimboni humo chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ni kama muujiza kwani kwa muda mfupi tu amegusa nyanja mbalimbali.
Amesema hayo leo Septemba 25...
Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa endapo atapata ridhaa ya wananchi, serikali yake itaendelea kutoa ruzuku ya mbolea kwa wakulima ili kuendeleza sekta ya kilimo nchini.
Dkt. Samia ametoa ahadi hiyo leo Septemba 25, 2025 wakati akinadi sera...
Msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, ameibuka hadharani akilalamikia kile alichokiita uvunjifu wa sheria za hakimiliki baada ya kuona mdundo wake (beat) ukitumika katika mikutano ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bila ruhusa yake.
Kupitia andiko lake kwenye mitandao ya kijamii, Roma...
Hemed Suleiman Abdulla, akihutubia mkutano wa kampeni Septemba 24, 2025 katika eneo la Makombeni, Mkoani, amesema tofauti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vingine ni kwamba vyama hivyo havina cha kueleza walichokifanya kwa wananchi, na bahati mbaya havielezi pia nini vitakavyofanya...
Kanisa katoliki nchini limeweka marufuku kwa watawa wa kike na kiume na kiongozi yeyote wa kanisa katoliki kujihusisha na kampeni za siasa au kutambulishwa na chama chochote cha kisiasa kama mshirika wao. Na kukumbushwa kwamba jukumu lao ni kuinjilisha kadiri ya wito wao
Katazo hilo...
Watawa wa Shirika la Masista wa Afrika wa Benedektina Bikra Maria Msaada wa Kristo Ndanda wamesema wanamuunga mkono Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa wana imani na uongozi wake
Wameahidi kuendelea kumuombea Dkt. Samia ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu...
Kada wa Chama cha Act-Wazalendo Monalisa ndala amesema kwa maoni yake Rais Samia anafanya vizuri kuliko hata wanaume akibainisha kuwa wasiokubali kazi zake wanaendekeza mfumo dume. Monalisa Ndala, ameyasema hayo kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV.
Huyu bado ni mwanachama wa ACT...
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema endapo akipata ridhaa ya kuiongoza tena Zanzibar ataendelea kuboresha zao la karafuu.
Kauli hiyo ameitoa wakati akihutubia maelfu ya wananchi ambao wamejitokeza katika uwanja wa...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameahidi kuwa akichaguliwa hakuna mwanamke atakayelipa fedha wakati wa kujifungua.
Akizungumza leo katika Kata ya Buhanda, Kigoma, Zitto pia ameahidi kuboresha miundombinu ya barabara za kuunganisha Buhanda na mjini...
Hakika hii moja ya hoja nzuri sana kutoka kwa gombea urais wa ADA TADEA.
==============
Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Ada Tadea Georges Bussungu ameahidi kuwa iwapo atapata ridhaa ya kuongoza, ataanzanisha kituo maalum cha teknolojia ya akili bandia...
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia wafanyabiashara ambao hawajapata mkopo unatolewa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi(ZEEA) watapata endapo akipata ridhaa ya kuiongoza tena Zanzibar.
Kauli hiyo ameitoa...
Watu wa Uyole na kwingineko amkeni, huu unyenyekevu ni wakati kuomba kura tu, Huyu ni Fyandomo amepiga na magoti jimbo la Uyole lakini wakishazipata wanawasahau wananchi na badala yake ndiyo tunakuwa wapiga magoti.
Hii Picha ya Jenista Mhagama ni mfano mzuri
Mbunge Wa Viti Maalumu Mkoa wa...
Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Mtama Mkoani Lindi kujiandaa na ujio wa Bima ya afya kwa wote, ambayo amesema ndani ya siku mia moja za uongozi wake ikiwa atapewa ridhaa na watanzania, zoezi hilo la bima...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewaahidi wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi kwamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo hilo, ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanayo sababu ya kumchagua Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwakuwa nia yake ni thabiti kwa Watanzania.
Wananchi wa wilaya ya kati Unguja wamelalamikia Serikali wakidai ya kunyanganywa ardhi zao na kupewa wawekezaji.
Akizungumza katika mkutano maalumu wa kusikiliza shida za wananchi, Mkaazi wa eneo hilo, Ali Suleiman Abdallah amesema wao wanasumbuliwa na uwekezaji ambapo baadhi ya maeneo yao...
“Kazi ya maendeleo itafanywa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, mimi pamoja na ninyi wananchi. Ninatakiwa kuwa na wasaidizi wengine ambao ni madiwani wa CCM, hivyo kazi kubwa kwetu ni mwezi Oktoba kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura,” alisema Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo...
“Msimu wa korosho unakuja, Mungu atujalie tuuze kwa bei kubwa. Serikali yenu haipumziki. Tunajua biashara ni mashindano, wakati tunazalisha wengine pia wanazalisha na bei hushuka, lakini tunajitahidi kuhakikisha wakulima wanapata bei kubwa,” alisema Dkt. Samia.
Aidha, aliwahimiza wananchi wa...
Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, amekosoa tamko la Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) lililopinga uamuzi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kuwataka wanachama wake kuandamana nchi nzima kulaani tukio la kukamatwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.