uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa Ndala: Mpina angekuwa mpinzani kweli asingevaa Fulana zenye picha ya Magufuli

    Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema: "Mpina angekuwa mpinzani kweli asingevaa Fulana zenye picha ya Magufuli." Soma > Mpina na T-Shirt yenye picha ya...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Atembea Kiliomita 74 kumwona na kumsikiliza Samia Nakapanya

    Kijana Musa Said Musa ametumia zaidi ya saa 15 akitembea kutoka kijiji cha Kitanda kilichopo Kata ya Mlingoti Magharibi hadi Nakapanya kumwona na kusikiliza mubashara Sera za Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan alipofanya mkutano mdogo wa Kampeni za kuwania Urais wa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Karen Mbowe: Waandishi wa habari kwa sasa wana uhuru kuliko kipindi cha nyuma

    Karen Tausi Mbowe ambaye ni Mjumbe wa Kamati Tendaji jukwaa la Wahariri, Muhariri na Mwandishi wa Habari amesema, Waandishi wa habari kwa sasa wana uhuru kuliko kipindi cha nyuma. Ni kweli Waandishi wa Habari wana Uhuru wa kuwasilisha kazi zao kwa jamii hasa wakati huu wa Uchaguzi?
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: ACT ndiyo imeshikilia Ufunguo wa Maendeleo

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kuibua upya Barabara ya Msimba-Ujiji ili kuwaondolea wananchi wa Kata ya Businde changamoto ya kushindwa kufanya safari zao Zitto ameyasema hayo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Businde...
  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Kitila awatembelea waajiri wake Sinza kuomba kura

    Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Professsa Kitila Alexander Mkumbo Septemba 23 ameendelea na kampeni zake katika kata ya Sinza kuinadi ilani ya Chama cha Mapinduzi na kumuombea kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt Samia Suluhu Hassan. Soma pia: Prof. Kitila aridhishwa na zoezi la kura za...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza atua kwenye tawi la Yanga, Kisukuru kuomba kura

    Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, akiomba kura wakati wa kampeni yake ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika kwenye kata ya Kisukuru jimboni hapo. Akiwa tawini hapo mgombea huyo amesema kuwa wale walioaminiwa kwa miaka 10 hawajafanya...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba wa TAHLISO: Ni muhimu kufanya maamuzi ya kuchagua viongozi walio bora bila kujali hisia na mihemko

    Wakuu, Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka vijana nchini kutambua nafasi yao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisema matokeo ya uchaguzi huo yatakuwa na mchango mkubwa katika mustakabali wao. Akizungumza katika kipindi cha...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wamasai: Mwinyi Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako

    “Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako” amesema Mmasai akimaanisha kumpa kura Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Hussein Ali Mwinyi. Amesema watalii wanaokwenda kwenye mbuga za wanyama wanakwenda kuona pia wamasai kwa hivyo hata hapa Zanzibar kuwa uchumi wa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Mshamu: Kwa aliyotufanyia Samia hatakiwi kuomba Kura, Matokeo yake yanaonekana vizuri

    Ally Mshamu Nampwita, mkulima wa zao la korosho kutoka Kijiji cha Mnavira, Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, amesema mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, hakuwa na sababu ya kuomba kura kwa wananchi wa mkoa huo, kwa kuwa tayari amewatendea mambo makubwa...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Mkinichagua bei ya Simenti itashuka Kigoma

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amewaambia wanakigoma wakimchagua kuwa Mbunge atashusha bei ya Simenti ambayo inazalishwa katika Mkoa huo kutokana na bidhaa hiyo kuuzwa bei sawa na Simenti inayotoka Dar es salaam. Zitto Kabwe amesema...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Hata aje Trump! Mama Samia atashinda

    Wakazi wa Masasi Mjini wameonesha mshikamano na upendo wa kipekee kwa kujitokeza kwa wingi katika kibanda umiza katikati ya mji kufuatilia kampeni za mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Wananchi wa rika zote, wake kwa waume, vijana kwa wazee...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 October 29 ni kipimo sahihi cha hasira ya watanzania dhidi ya CCM dhalimu

    GT Hii tarahe tunaingoja kwa hamu. Tuone ni akina hao watakaoenda kupiga kura gizani. Hili Zoezi ni hiari hakuna kushikiana mabango. Je ni akina nani hao watakaohiari?. NRNE Wasaliti wapo
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchange: Kulazimisha kususia uchaguzi ni kupora haki za wananchi

    Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) kimekemea vikali tabia za baadhi ya vyama vya siasa kuwalazimisha wananchi kususia uchaguzi ni kuwanyima haki ya msingi kwa mujibu wa katiba. Chama husika hakishiriki uchaguzi hatua hiyo ambapo ni kinyume cha demokrasia ya...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia na Watu wake , hawana Mamlaka Tena ya kuliponya Taifa dhidi ya haya yanayoendelea Nchini !!

    Hawezi Kaa Mezani na Upinzani zaidi ya vibaraka wake wa ACT na CHAUMA. Hawezi Kukaa na TEC Hawezi Kukaa na Viongozi wa Dini wa Kikristo Hawezi Kukaa na Jumuiya za Kimataifa Hawezi Kukaa na Taasisi za Haki za Binadamu Ndani ya Nchi Hawezi Kukaa na Wananchi, Tena Hawa ndo kabisa wamemnyima...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Nataka kulifufua Soko la Ujiji ili nikiwa napita wanione kama Nyerere wao!

  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa CCK: Tutalipia mahari vijana wanaotaka kuoa

    Kumbe vijana wengi tunachelewa kuoa kwa sababu ya mahari? Lakini tukipewa mahari ndio inatosha? Vipi kutunza familia? =============== Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Kijamii (CCK) David Mwaijojele amesema iwapo atapata ridhaa ya kuwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Kama nitashindwa kuleta barabara, 2030 nifukuzeni

    Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema, "Kama nitashindwa kuleta barabara hapa Ujiji, 2030 nikitokea mbele yenu nifukuzeni. Barabara zitakuja kivyovyote, iwe kwa Uchawa, kwa kufoka ama kubembeleza lazima nilete...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo afanyiwa maombi na Wachungaji 100 Kigoma

    Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo, amefanyiwa maombi maalum na wachungaji zaidi ya 100 mkoani Kigoma.
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tupeni kazi, tukafanye kazi ili kuinua utu wa Mtanzania

    "Tupeni kazi, tukafanye kazi ili kuinua utu wa Mtanzania." Amesema Dkt. Samia wakati wa Mkutano wake wa Kampeni leo Septemba 23, 2025 Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Rais Samia akisisitiza kupewa kazi ili akasimamie utu wa Mtanzania, amebainisha kuwa ataendelea kusimamia suala la mitaji, masoko...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baraza la Wazee Namtumbo: Samia amekuwa kielelezo cha uongozi wenye dira, huruma na usikivu

    Wazee wangu nawaona huruma hivi. Pesheni vipi? au ndio mmeshalambisha asali ================ Baraza la Wazee wa Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma, limetoa tamko rasmi likionesha uungwaji mkono wao kwa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao...
Back
Top Bottom