uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agness Kaiza: Nakwenda kuwa msemaji wa Wana Segerea kuhusu changamoto zao

    Nakwenda kuwa msemaji wa Wana Segerea kuhusu changamoto zao"-Agness Kaiza - Mgombea ubunge jimbo la segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA).
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu, amempa 'maua yake' Aida Kenani, Amepambana sana jimbo la Nkasi Kaskazini

    Haaa! Mwalimu umeyatoa ya moyoni kwa Aida, ila furshi huyu dada alijatihdi sana kuwatumikia wananchi wake wa Jimbo Nkasi Kaskazini na ukizangatia katika uchaguzi wa 2020 yeye ndiye alikuwa mgombea pekee aliyeshinda ubunge kutoka vyama vya upinzani Tanzania nzima. Anarekodi yake...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majalio Kyara: Nikipewa Urais Nitaimarisha Soko la Mbaazi kwa Wakulima

    Mgombea urais kupitia Chama Cha Sauti ya Umma Mh. Majalio Kyara amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya kushika nafasi hiyo atahakikisha anafungua fursa ya soko la mbaazi kwenye mikoa ambayo wakulima wanazalisha kwa wingi. Kyara ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kibaigwa jijini...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia awahakikishia umeme wa uhakika Masasi

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kujengwa kwa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Mkoani Ruvuma- Tunduru mpaka Masasi Mkoani Mtwara ili kutoa uhakika wa upatikanaji wa umeme wa kutosha na wa uhakika...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Halima Mhando: Kususia Uchaguzi ni kosa, ni sawa kususia maendeleo

    Halima Mhando Rajab, akizungumza kupitia Crown FM, amegusia kuhusu athari za vijana kutoshiriki katika uchaguzi na jinsi hali hiyo inavyoathiri utendaji wa vyama vya siasa, akisema wazi, 'Kususia uchaguzi ni kosa, ni sawa kususia maendeleo.''
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nondo: Kigoma hatupeleki wagonga meza (Baba Levo), Tunapeleka Wapambanaji (Zitto)

    Abdul Nondo, Meneja wa Kampeni wa Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, amecheza sauti za zamani za msanii Baba Levo mbele ya wananchi wa Kata ya Bangwe, zikionesha kauli zake za kumsifia Zitto Kabwe Akizungumza na wakazi hao, Nondo amesema “Zitto amekuwa sauti ya...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Dkt. Bagonza: Tusipochukua hatua, tunaelekea kubaya

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Dkt. Benson Bagonza ametoa wito kwa Watanzania hususani wanasiasa kutafakari mustakabali wa Taifa ulivyo, akidai kuwa endapo mambo yatabaki kama ilivyo sasa huenda 'kama Taifa' tukaelekea kubaya zaidi kutokana na mgawanyiko uliopo sasa hapa nchini Akihojiwa na...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais NRA ashindwa kunadi sera Zanzibar

    Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha NRA, Almas Hassan ameshindwa kufanya mkutano wa kampeni kwa muda baada ya maafisa wa polisi kufika eneo lake la mkutano na kumtaka ashuke katika gari alilokuwa akilitumia kuzungumza na wananchi. Hata hivyo mgombea mwenzake kwa nafasi ya Urais...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarimba: Wananchi ndio wenye mamlaka yakutoa viongozi

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tarimba Gulam Abbas, amesema wananchi ndio wenye mamlaka ya kuchagua viongozi wanaowataka kwa ajili ya maendeleo yao. Akihutubia wananchi wa Kata ya Hanasif katika kampeni zake leo Septemba 19, 2025, Tarimba amesema...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 BAKWATA yampatia Rais Samia tuzo maalum ya Mufti Tanzania

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeipa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tuzo maalum ya Mufti Tanzania, ambayo iliwasilishwa na kupokelewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa niaba ya Rais, tarehe 20 Septemba 2025. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania amkabidhi tuzo hii Samia, akitambua...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia asitisha hotuba kwa dakika 1 kupisha Adhana

    PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania sasa kutumia umeme utokanao na upepo

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba miongoni mwa malengo yaliyopo kwenye mkakati wa utekelezaji ni pamoja na kutengeneza umeme wa upepo ambao utategwa na kuingizwa kwenye Grid ya Taifa. Dkt. Samia ameyasema hayo Visiwani Zanzibar katika Mkutano...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mhando: Kususia uchaguzi ni kosa ni sawa na kususia maendeleo

    Wakuu, Crown wamemtoa wapi huyu mwanadda? au ndio makada hawa na hatujui? Soma pia: Susan Lyimo: Kususia uchaguzi ni kama kumuachia ngedere shamba la mahindi, sisi tutazuia hatususii
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arnold Mvamba: Asitokee Mpuuzi yeyote akasema kwamba Tarehe 29 Oktoba hatutatiki

    Wanachama na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanajiamini sana, yaani wanatoa kauli chafu hadharani bila hofu ila angekuwa ni mwanachama wa chama fulani au mwananchi mwenye harakati zake hapa angeambiwa wanaleta Taharuki Kulingana na kauli ya huyu jamaa ni kwama ukidai haki yako ya msingi...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto nyumba kwa nyumba kuomba kura kata ya Businde

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiomba kura wakati wa kampeni yake ya nyumba kwa nyumba iliyofanyika kwenye kata ya Businde jimboni hapo, mkoani Kigoma, Septemba 23, 2025. Zitto aliambatana na viongozi na wanachama wa chama hicho katika zoezi hilo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Madoga: Wafanyabiashara tutawafutia kodi zisizo na Msingi

    Umasikini tulionao ni wakujitakia ------------ Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chma cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Aisha Madoga, amesema chama chake kitalinda wafanyabiashara kwa kufuta kodi zisizo na msingi ndani ya siku 100 za kwanza kikipewa dhamana ya kuongoza...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekatwa CCM nakutimkia Act- Wazalendo awashukuru wananchi

    Aliyekuwa diwani wa kata ya Kitangiri wilayani Ilemela jijini Mwanza Donnard Ndaro na kukatwa kwenye mchakato wa kutetea nafasi yake kupitia chama cha mapinduzi CCM ambae kwa hivi sasa anatetea nafasi yake kupitia chama cha ACT wazalendo amewashukuru wananchi wa kata hiyo kwa jitihada za...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa Ndala: Naweza kufika ofisi za chama za mkoa wa Dar lakini sio makao makuu

    Kada wa ACT- Wazalendo Monalisa Ndala, amesema aweza kufika ofisi za chama za mkoa wa Dar lakini sio makao makuu. Kwa hali ilivyo sasa huwezi kujua watu wana hasira na mimi kwa kiasi gani,” Ndala, ameyasema hayo wakati akizungumza na kipindi cha One on One cha wasafi Tv.
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete: Samia ameweka elimu bure mpaka kidato cha sita nani kama Samia?

    “Hakuna kitu muhimu kama Elimu, Mama Samia kwa kutambua hilo ametoa ada zote kuanzia ngazi ya awali mpaka kidato cha Sita, Nani kama Samia..?”
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe aahidi Vijana Jimbo la Hai kufundishwa Kiingereza wakafanye kazi Mlima Kilimanjaro

    Zingatia hizo sera za Mgombea Ubunge kutoka Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kisha zingatia Mavazi aliyovaa ni ya Makamanda wa CHADEMA Jamaa kahama chama lakini bado itakadi za CHADEMA anatembea nazo hadi kwenye kampeni za CHAUMMA hii ni dharau tosha kwa CHAUMMA Baasi tuendelee kuzingatia...
Back
Top Bottom