Wanasiasa wanasipidii kweli!
Kwani kuivunja ndio soluhu? Kuliko kuiboresha zaidi na iwe imara na kuleta faida kwa wakulima wa zao hilo na nchi pia katika kuongeza pato
===============
Mgombea Urais wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema chama chake kitaleta mageuzi makubwa kwenye sekta ya...
"Tusifanye makosa hayo, kwa sababu tukifanya hivyo tutakuwa tumewaambia CCM watambe lakini pia ukiachilia nafasi ya urais, tutaacha bunge la wapiga makofi bungeni na hakutokuwa mtu wa kuwatetea wananchi," amesema Mwalimu.
"Tusifanye hayo makosa, tukapige kura tuchague viongozi wa upinzani ambao...
Unaweza kusema zimedolola. Au watu hawana mpango na siasa za uchwara?
Ukiacha zile za Mgombea urais na makamu wake sababu ya watu kusombwa na malori ta mizigo. Kampeni za ubunge na udiwani zimedolola na watu hawazifuatilii kabisa.
Hata zile nazo kama ni ziara za kunadi ahadi.
Naona wasanii wakiendelea kutumika kweli kweli na CCM, najiuliza muafaka wao ni upi baada ya uchaguzi huu?
Lakini wananchi baadhi yao wameonyesha kumuunga mkono Samia na kusema amefanya mengi sana na wao hawana cha kumlipa zaidi ni kumpa kura za ndio Oktoba 29, 2025 ili aendeele kuwaletea...
Haya sasa Washaenda hadi kuwaharibu Wahadzabe huko, usishangae hata ile siku ya uchaguzi watawapelekea kilo kilo za nyama kama walivyowafanyia uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024
==========================
Jamii ya Wahadzabe, moja ya koo za kifugaji na wawindaji wa asili nchini Tanzania, imetoa...
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 25, 2025 mkani Lindi ameonekana mgombea ubunge wa Chama cha Ukombozi wa Umma (#CHAUMMA) akipiga magoti mbele ya mkutano huo akiomba kurejea CCM na kupokelewa kama mwanachama mpya.
Swali la kujiuliza ni je, kwahiyo CHAUMMA...
Aliyewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Baruani amesema watu wa Lindi wana mimba ya mradi wa gesi ambayo inamsubiria Samia aje aizalishe mimba hiyo. Ameyasema hayo leo septemba 25, 2025 katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea katika mkoa wa...
Mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, uliofanyika kata ya Buhanda, alimpa changamoto kwa kumuuliza:
"Ubunge tukupe wewe, lakini urais tumpe nani endapo chama chenu hakitasimamisha mgombea wa urais?"...
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Lindi, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Mchimba ameonekana akiwasema ahadi za vyama pinzani ni za maigizo bali za CCM ndizo za kweli na halisi.
Soma pia: Mradi wa maji...
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi ameahidi kufutwa kwa utaratibu wa kuzuia miili ya Marehemu Hospitalini kwa sababu ya deni la matibabu.
Dkt. Nchimbi amesema haya leo Septemba 25 katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Kilolo, Iringa kwa...
Mgombea urais wa Chama cha ADC visiwani Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed, ameahidi kupunguza gharama za mchele maarufu wa Mapembe endapo Wazanzibari watamchagua kuwa rais.
Amesema kuwa moja ya vipaumbele vyake ni kuhakikisha "mchele wa Mapembe" unapatikana kwa bei nafuu ya shilingi 1,200 za...
Mgombea Ubunge wa jimbo la Uyole kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt Tulia Ackson ameendelea Na kampeni zake katika Kata Ya Ilomba na Kuahidi Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara,Afya,Elimu na Umeme
Wakuu
Bwege anaendelea kupiga kichwani anaeleza kuwa Mpina anapambania haki lakini alikosea kujiuna na ACT wazalendo na akasisitiza chama hiko kina shida haiwezekani mara ya pili mfululizo kinakosa mgombea wa Urais ni uzembe.
"Ni kweli kabisa Mpina anataka haki lakini kapotea kuingia kwenye...
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Mchinga, mkoani Lindi, Yusuph Tamba, amejiunga rasmi leo, tarehe 25 Septemba 2025, na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia Chama hicho, Samia Suluhu Hassan, mkoani...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara, ameahidi kushughulikia kwa haraka changamoto ya msongamano wa magari katika jiji la Dodoma, akisema tatizo hilo limekuwa likitesa wakazi wa majiji makubwa nchini na kudhoofisha shughuli za...
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameahidi kujenga barabara za juu (flyovers) katika mji wa Tunduma ili kupunguza msongamano wa malori katika eneo hilo la mpakani.
Mwalimu alitoa ahadi hiyo leo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Tunduma, kabla ya kuelekea...
Nabii Mkuu wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dkt. Geordavie ametoa mchango wa shilingi Milioni 50 za Kitanzania kwa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha kwaajili ya kuwezesha Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania Samia anayetarajiwa kuwa na kampeni za Uchaguzi Mkuu Mkoani Arusha tarehe mbili mwezi...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema hakuna chama chochote cha siasa nchini kinachoweza kulinda na kuinua utu wa Mtanzania kama CCM.
Akihutubia wananchi wa Mchinga mkoani Lindi katika mkutano wa kampeni...
"Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.