uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Dola isiruhusu uhuni wa mtu kujipitisha kugombea Urais CCM , Mwaka 2030 kuna Muhuni atamptisha Kijana wake na hakuna atakayehoji, Tupige vita mapema

    Mpaka Sasa hamna Mahali Ambapo RAIS SAMIA kachukua Fomu, na kuijaza, na kuirejesha , yaaan Uhuni MTUPU Mtu kaamua kujipitisha Mwenyewe kavunja Katiba ya CCM ,kavunja Katiba ya Nchi Licha ya uvunjifu huo, Hata kuchukua Fomu, hajachukua Wakuuu !! Nitoe Rai, kama Vyombo vya Usalama Nchini...
  2. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025

  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Polepole amesema twende tukashiriki uchaguzi mkuu kwa utulivu na mshikamano

  4. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: CHADEMA muigeni Baba yenu Mbowe ile ndiyo siasa, acheni chuki

    "Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa na Sheikh Mwaipopo kufuatia tukio la kuonekana kwenye uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 -...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apata mpinzani mwingine: Rose Kahoji wa CUF atangaza nia ya kugombea Urais

    Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatima ya watia nia CCM waliopenya, kuliwa kichwa kuwekwa hadharani kuanzia Julai 19, 2025

    Wakuu! Hatima ya wagombea waliopenya, kuliwa kichwa kuwekwa hadharani! CCM inatarajia kutangaza majina matatu ya wagombea ubunge na udiwani kwa kila jimbo na kata ndani kuanzia leo, baada ya kikao cha Kamati Kuu Julai 19, 2025. Mchujo umehusisha maelfu ya watia nia, huku viongozi wakisisitiza...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Serikali imeanza ujenzi wa ofisi mpya ya kisasa ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera

    , ambayo itagharimu shilingi bilioni 9 hadi kukamilika kwake. Katika hafla fupi ya makabidhiano ya eneo la ujenzi na usaini wa mkataba iliyofanyika jana, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa, alieleza kuwa jengo hilo litakuwa la kisasa, imara na litaweza kudumu kwa zaidi ya miaka 100 bila...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shekh Mwaipopo: Askofu Gwajima anaandaliwa na CHADEMA kugombea Urais uchaguzi mkuu 2025

    Shekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari tulizo nazo Gwajima anaandaliwa kushika bendera ya CHADEMA agombee urais ili apambane na rais Samia...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigaila awajia juu wanaosema 'no reforms no election' asema walikuwa wabunge kwa sheria hizi hizi

    "Sheria hizihizi zimetupeleka bungeni, wote wanaosema 'no reforms no election' wamekuwa wabunge miaka 10, miaka mitano na sheria hizihizi, zilitufanya tukiwa CHADEMA tukafika wabunge 72, na madiwani 1108 sheria hizihizi. Kinachotakiwa, kuwe na sheria mbaya, kuwe na sheria nzuri, kushinda...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waratibu na wasimamizi wa uchaguzi Kilimanjaro na Tanga, watakiwa kupunguza makundi sogozi 'WhatsApp'

    Waratibu na wasimamizi wa uchaguzi kutoka mikoa ya Kilimanjaro na Tanga, wametakiwa kupunguza makundi sogezi 'Whats App' katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kuepuka kuvujisha taarifa za siri kwa kutuma sehemu isiyostahili. Mbali na hilo pia waratibu hao na wasimamizi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Tunduru wagombea kadi za CHAUMMA kama 'njugu'

    Wananchi wa Tunduru, mkoani Ruvuma leo wamejikuta wakigombania kadi za kuomba uanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA). Tukio hilo limetokea leo baada ya viongozi wa chama hicho kuzungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Tunduru. Baada ya kumaliza kuzungumza, viongozi wa...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Mim na Ado ni wabunge kwenye bunge lijalo

    "Nitakuja Tunduru kufanya Mkutano na Mkutano wangu wa Tunduru nitatamani niambatane na Katibu Mkuu mwenzangu, Kaka yangu Ado Shaibu tuje tungurume hapa. Leo ilikuwa nije naye, yule ndio pacha wangu, yeye akicheza 11 mimi namba saba na tumekubaliana mwaka huu Mimi na Ado Shaibu kiwake kisiwake...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Kilimanjaro: Tunafanyia kazi malalamiko 11 ya rushwa dhidi ya watia nia Ubunge CCM

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imeeleza kuwa imepokea malalamiko 11 yanayohusu vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watiania wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumanne Julai 15, 2025 na...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Aweso: 'Tufocus' katika miezi hii miwili, kufikia Oktoba wananchi Tabora wapate maji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji-28 kufanya kazi Usiku na Mchana ndani ya Kipindi cha Mwezi Julai na Agosti, akiagiza wananchi wa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge mkoani Tabora kuanza kupata huduma ya Maji Mwezi Oktoba mwaka huu. Wakati wa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

    Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo...
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yatupa maombi kupinga kanuni za maadili uchaguzi mkuu 2025

    Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Watanzania wawili, Kumbusho Kagine na Bubelwa Kaiza, waliokuwa wakiomba kibali cha kufungua maombi ya mapitio ya mahakama kupinga Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu 2025. Soma pia: Waishitaki INEC wakitaka irekebishe kanuni za maadili...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Tutashinda Majimbo yote 272

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Tanzania Bara (CHAUMMA) Bw. Benson Kigaila, amesema wako tayari kusimamisha wagombea katika majimbo 272 na wana uhakika wa kushinda viti vyote sababu wana sera za kuiletea maendeleo nchi Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Serikali kupitia mradi wa SEQUIP yatoa Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule mpya mbili za sekondari

    Serikali Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) imetoa kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya ujenzi wa shule mpya mbili za sekondari zitakazorahisisha upatikanaji wa huduma za elimu mkoani Kigoma. Shule hizo ni pamoja na Shule ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima amezungumza na vyombo vya habari ameendelea kupinga utekaji na kusisitiza umuhimu wa Reforms

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana Je leo atatoa povu gani kwa umma? https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE? si=gFkBJUPxNlpuD-gR Ni muhimu sana wakuu wa vyombo vya dola wawe na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Magdalena Rwebangira ametoa wito kwa Watendaji wa uchaguzi kuzingatia sheria, kanuni na miongozo

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia mchakato wa uchaguzi nchini Akizungumza akiwa Tabora wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji wa...
Back
Top Bottom